Meditation in your daily routine

Meditation in your daily routine

hivi mkuu naomba kujua juu ya hii kitu....

inakuwaje mtu kila ifikapo usiku umelala unajikuta unathink beyond yiur normal daily thinking na unajikuta unaizyumu universe in three dimension state mpaka unafikia hatua ya kuwa kila ukilala unaanza kukumbuka matendo yote uliyoyatenda siku hiyo kuanzia asubuh mpka usiku ule lakini kila tendo unalofikilia unajikuta unaliwaza katika weekness yake( I mean yani ukianza tu kuzama deep during meditation unajikuta unareview your weeknesses nying katika kila hatua uliyoipitia siku hiyo...yani kwa mfano kama ulikuwa unatoa speach mbele za watu na ukimaliza kutoa speach na watu wakakupongeza lakini kila ukifika nyumbani unagundua errors nyingi sna katika uwakilishaji wa speach yako katika watu japo hakuna mtu aliyekucorect kwa lolote...inafikia hatua unakuwa unajikorect wew mwenyew kuwa ningefanya hivi ingekuwa poa..na ukiangalia kweli unakuta ni kweli you cud do something amazing though what you interact with others they value your presence much kias cha kutokufikia hatua ya kukucorect au kukushauri kwa lolotr juu ya interaction yako na wao....

inakuwaje hii..je ni namna gani ya meditation hii au ndo psychic illusions...??

kwanin ufikie hatua ya kugundua weekness zako hata bila kuambiwa na mtu...??
imekaaje hii mkuu....?

is this normal way of meditation or is psychic illusion and if so what has its advantages....??

should it be stoped or.??...but its difficult to stop ....every day you start reviewing your weeknesses during interaction na watu...how is this valid under normal circumstance.....??
Mchana unakuwa kwenye mode ya kuangalia na kuona vitu vingi kwa wakati mmoja kuwaza kupanga na kupangua nknk mind inakuwa extremely busy
Usiku baada ya kupumzika in any mode mind inaingia kwenye auto cleansing mode, auto review mode na hapo ndio unagundua errors kibao
 
You can solve any problem through meditation.

But you need to know how to do it. The reason why Tanzanians in the majority fail is they can not CONCENTRATE ( mind concentration)
 
Hah lengo limetimia. Hii post ya siku nyingi, nilitaka wadau wasome, angalau wewe umesoma
 
Hah lengo limetimia. Hii post ya siku nyingi, nilitaka wadau wasome, angalau wewe umesoma
 
Kwanza mniwie radhi nitachanganya lugha kiingereza na kiswahili
Pili post yaweza kuwa ndefu tuvumiliane lakini nitajitahidi kuifupisha

Wanaforum tumekuwa na masomo mengi mazuri juu ya meditation hasa toka kwa Pasco Mtambuzi heshima kuu kwao na ndugu yetu Rakims
Ni masomo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwanufaisha wengi lakini bahati mbaya sana tulipitiwa na kudhani kuwa wote wako kwenye ile level moja nasi ya uelewa hivyo masomo mengi yakawa in deep na kiufundi zaidi bila kuelewa kuwa wasomaji wengine walihitaji kwenda nao kuanzia chini kabisa

Meditation bado ni kitu kigeni kwenye familia zetu na kwa kiasi kikubwa inahusishwa na nguvu za giza hasa kutokana na mapokeo yetu kwenye mambo kama hayo, hivyo ni vigumu mno kuwa na meditation huru uwapo nyumbani mtaani au kazini, lakini bado kukiwa na uhitaji mkubwa wa hiki kitu hasa kwa wale ambao tayari wana upeo na uelewa fulani wa meditation
Fuatana nami katika mada hii ambayo kwa njia mojawapo yaweza kukupa nafasi ya kufanya basics za meditation bila bughudha

1.Time management n discipline
Tengeneza utaratibu wa kufanya jambo moja kwa muda ule ule at least mara 5 kwa wiki! Yaani kwa mfano lazima uamke saa 12 kamili asubuhi, moja kamili lazima uwe uko njiani kwenda kazini saba kamili lunch mbili kamili dinner na saa nne kamili unapanda kitandani (huu ni mfano tu)

2.lishe na kinywaji
Hakikisha unakua na kipimo kisichobadilika kwenye chakula kuanzia asubuhi mpaka usiku, maji pekeyake ndio unaweza kunywa mengi bila kipimo maalum
chakula ni kwa ajili ya afya ya mwili na si ladha ya mdomoni hivyo usiongeze kipimo kwa ile ladha upendayo na kupunguza kipimo kwa chakula usichokipenda

3.Jambo moja kwa wakati mmoja chochote ufanyacho na muda hata wa dk tano ukipata jaribu kumakinika na kufanya breathing meditation au counting breath meditation kimya kabisa.

Kama unadrive concentrate kwenye driving kama uko kwenye usafiri wa jumuiya kaa kimya na kuwa mtulivu ukiendelea na meditation yako usihamaki kuhusu foleni nk mwachie dereva hiyo headache

Haya yaweza kuwa rahisi kuyasoma lakini practice ikawa ngumu lakini msingi wa meditation huanzia huku
Weza kuji control kwenye muda Weza kuji control kwenye lishe na Weza kuji control kwenye kufanya jambo moja kwa wakati mmoja baada ya hapo tutapeana hatua inayofuata
Nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu

Hunifanyii fair kabisa,MBNA hun tag
Kwenye vitu muhim kama hivi,,meditation in somo nalitaman sana kulijua linaniongezea sana umakini katika project zangu,na pia huniongezea kuelewa mambo kiundani mfano biblia

Hivyo nahitaji kuijua how to practice it efficiently

jw library
 
Mkuu

Hunifanyii fair kabisa,MBNA hun tag
Kwenye vitu muhim kama hivi,,meditation in somo nalitaman sana kulijua linaniongezea sana umakini katika project zangu,na pia huniongezea kuelewa mambo kiundani mfano biblia

Hivyo nahitaji kuijua how to practice it efficiently

jw library
Mada ya kitambo sana hii kaka hebu angalia ina umri gani tangu June 2015

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi Meditation niifanyayo ni ile ya wakati wa kulala na uwa hivi:-
1.Nahakiksha sina kilevi chochote.

2.Naondoa mawazo yote hasa ya kifamilia, kazi,marafiki na aina yoyote ya usumbufu/furaha.
3.Najiuliza hasa mimi ni nani na nipo kwa ajiri ya Nini alafu ili iweje.
4.Nini nilichofanya kuanzia kulipopambszuka mpaka kiza kilipoingia.
5.Nini cha kufanya siku inayofuata na kwa nini nifanye alafu ili iweje.
Baada ya Kama nusu saa au saa nzima:-
1.Ni nani nimemkwaza na kwanini nilifanya/ilitokea vile na nini kilifanyika baada ya hapo.
2.Wapi nilipata furaha/faraja na Nini hasa kilisababisha na kwanini alafu ili iweje.
3.Nini matarajio yangu kwa familia na taifa.
4.Kwanini nahitajika/sihitajiki (Nini Umuhimu/Hasara) kwa binadamu wenzangu.
Baada hapo ni Kulala kunakoambatana na Sala/dua.
Meditation ya namna hii ni usaidia sana kujisahihisha/kuzidisha juhudi na kuongeza Itabidi Mahala pake Kazi pia uongeza marafiki/networks.
Hapo nimeona umesema kuwa huwa unaondoa mawazo yote. Sasa mi ningependa kufahamu kuwa hivi hayo mawazo unayaondoaje!?
 
Nimefatili huu uzi lakini najitahidi kuelewa nashindwa,kuondoa wazo imekua mtihani. Nikijitahidi kuconcentrate ndo sio mabadiliko yoyote. Nkifumba macho ndo naona mashangashanga. mshana jr nisaidie nielewe hizi mambo mi bado mgeni humu
 
Nimefatili huu uzi lakini najitahidi kuelewa nashindwa,kuondoa wazo imekua mtihani. Nikijitahidi kuconcentrate ndo sio mabadiliko yoyote. Nkifumba macho ndo naona mashangashanga. mshana jr nisaidie nielewe hizi mambo mi bado mgeni humu
Endelea usiache, mawazo yakija usiyazuie ila jikumbushe kuwa yamekuja tena, tambua uwepo yake, yafukuze taratibu kwakuwa yatarejea tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu Ni Aina Ya Roho Iliyoumbwa Na Yule Aliekamilika Kwa Kila Kitu... Roho Hii Ilipoumbwa Haikuachwa Wazi Hivi hiviBali Ilibumbwa Kwa Madongo Na Kuchanganywa Kwa Sayansi ya hali ya juu ambayo haikuwekwa ubongoni mwa Dongo Lile... Dongo Hili Liliumbwa Kwa Maji Maji Machafu Yenye Harufu Ambalo Ni Dongo Linalokuwa Na Kukomaa Kila Baada Ya Muda Liliokadiriwa.... Nisiende Mbali Sana Maana Uzi Umeanzishwa Na M/jamii Anaenitambua Kama Tapeli Pia Umekuwa Commented Na Mtu Aliemezeshwa Imani Ya Kuwa Rakims Ni Tapeli....

Niseme Hivi Rakims Si Tapeli Rakims Ni Kama Wewe Na Ni Kiumbe Mfano Wa Gari Ikiishiwa Betri Basi Itazima...

Ningeweka Point Nzuri Hapa Ninaitambua Lakini IT GONNA BE POINTLESS.. maana hawatasoma Comment Watasoma Username:

hawataquote Comment, wataquote USERNAME;

Teach Them... Mtakatifu Perfect Man... mshana jr

Rakims
Mtu mmoja hawezi kukufanya uonekane tapeli kaka
Pia watu 100 wanakusifu na watatu wakakuchafua haitosaidia
 
Back
Top Bottom