Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 300
- 494
Hahaha bonge la jibuMeditation ni tendo hai, wewe ulianza lakini kwakuwa ulikuwa usiku mwingi ukasinzia na kupotelea ndotoni...kilichokutokea hakina uhusiano wowote na meditation..ni ndoto za kawaida
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
