Yeah kinachokufa ni nafsi ndani ya mwili baada ya roho kutengana na mwili uozao....roho hukaa pembeni ikiona kila kitukuna siri nzito sana mtu ukifa....
kuna wimbo wa Selena Gomez - It Ain't Me Official Video
utazame huu....ni wimbo unaonesha kabsaaa maisha baada ya kufa...tazama kwa makini mtu yupo kafa hospitalini kitandani lakini yupo dunia nyingine...
kila unachofanya pale anakuwa anakiona huko aliko dunia nyingine...
Aliibaje hizo pesa mkuu??Yani we rakims mkuu mshana usimpe lawama zozote zile jinga wewe, ningekuona wa maana sana kama ungetumia muda wako kurudisha hela za watu ulizotapeli au uombe samahani na sio ujifanye we ni mtakatifu na hustaili hukumu, peleka ujinga wako huko huko kwako na si hapa.
Kwani yule mtuhumiwa wetu wewe ulimtumia?Chama moja! Mtuhumiwa halisi nami kanipiga cha 30 jana jioni...huyu ndugu yangu naye ilikuwa kama ilivyotokea halafu kuna mfanano wa herufi za mwanzo

Doooooh!Ilikuwa nifanye hivyo jana
Mkuu Apollo napata vipi notification za blog yako?Asante sana ndugu yangu, karibu sana.
Tehehe bulaza kumbe wewe ndiye uliyeivuta kamba pale pembamba ilipokua imeozea na kusababisha ikatike kabisa. Poleni sana mliokumbwa na maumivu. Tehehe kweli mujini akili, nguvu kijijini.
hivi mkuu naomba kujua juu ya hii kitu....Tafakuri maizi
![]()