Meditation in your daily routine

Meditation in your daily routine

Dah...hapa nzi kadumbukia kwenye glasi ya bia.....! Umtoe uendelee kunywa au uimwage....!

Nachoshauri ni kumtoa nzi....na kuendelea kula kinywaji i.e. Mshana jr acha majibishano endelea na mada yako....
 
mkuu appolo mungu na akuzidishie kwa uamuzi wa kupeana huduma kama hizi.nakiri mimi ni mmoja wa watu waliokua na giza kuhusu mambo haya.

Big up kwa makamanda wenzako akina mshana jr, mkuu ramkins,pasco na wengine woote.mungu awazidishie na msichoke jamani asanteni sana

long live jamii forum

Asante sana ndugu yangu, karibu sana.
 
Duh,Mafahari mawili yakigombana nyasi ndo zinaumia.Samahani walimu, tunawaomba uzi uendelee ili tuzidi kujifunza.Asante

Shukrani mkuu kwani ni wengi tunaitaji kujifunza.Cha muhimu Nawaomba waalimu wangu kama kuna mambo yametokea tusameheane na kusahau ili tusimpe nafasi shetani kama yupo kutukosesha Ufahamu ambao ni wa muhimu kwa maisha yetu soote.Tafadhalini jamani
 
Kwanza mniwie radhi nitachanganya lugha kiingereza na kiswahili
Pili post yaweza kuwa ndefu tuvumiliane lakini nitajitahidi kuifupisha

Wanaforum tumekuwa na masomo mengi mazuri juu ya meditation hasa toka kwa Pasco Mtambuzi heshima kuu kwao na ndugu yetu Rakims
Ni masomo ambayo kwa kiasi kikubwa yaliwanufaisha wengi lakini bahati mbaya sana tulipitiwa na kudhani kuwa wote wako kwenye ile level moja nasi ya uelewa hivyo masomo mengi yakawa in deep na kiufundi zaidi bila kuelewa kuwa wasomaji wengine walihitaji kwenda nao kuanzia chini kabisa

Meditation bado ni kitu kigeni kwenye familia zetu na kwa kiasi kikubwa inahusishwa na nguvu za giza hasa kutokana na mapokeo yetu kwenye mambo kama hayo, hivyo ni vigumu mno kuwa na meditation huru uwapo nyumbani mtaani au kazini, lakini bado kukiwa na uhitaji mkubwa wa hiki kitu hasa kwa wale ambao tayari wana upeo na uelewa fulani wa meditation
Fuatana nami katika mada hii ambayo kwa njia mojawapo yaweza kukupa nafasi ya kufanya basics za meditation bila bughudha

1.Time management n discipline
Tengeneza utaratibu wa kufanya jambo moja kwa muda ule ule at least mara 5 kwa wiki! Yaani kwa mfano lazima uamke saa 12 kamili asubuhi, moja kamili lazima uwe uko njiani kwenda kazini saba kamili lunch mbili kamili dinner na saa nne kamili unapanda kitandani (huu ni mfano tu)

2.lishe na kinywaji
Hakikisha unakua na kipimo kisichobadilika kwenye chakula kuanzia asubuhi mpaka usiku, maji pekeyake ndio unaweza kunywa mengi bila kipimo maalum
chakula ni kwa ajili ya afya ya mwili na si ladha ya mdomoni hivyo usiongeze kipimo kwa ile ladha upendayo na kupunguza kipimo kwa chakula usichokipenda

3.Jambo moja kwa wakati mmoja chochote ufanyacho na muda hata wa dk tano ukipata jaribu kumakinika na kufanya breathing meditation au counting breath meditation kimya kabisa.

Kama unadrive concentrate kwenye driving kama uko kwenye usafiri wa jumuiya kaa kimya na kuwa mtulivu ukiendelea na meditation yako usihamaki kuhusu foleni nk mwachie dereva hiyo headache

Haya yaweza kuwa rahisi kuyasoma lakini practice ikawa ngumu lakini msingi wa meditation huanzia huku
Weza kuji control kwenye muda Weza kuji control kwenye lishe na Weza kuji control kwenye kufanya jambo moja kwa wakati mmoja baada ya hapo tutapeana hatua inayofuata

Bro npe faida zake pls
 
Usichokifahamu mkuu waweza sema mengi sana... ni sawa na wasengenyaji husengenya sana lakini akitokea muhusika kila mtu anaanza kumsakizia mwenzio... sasa kabaki kimya mnafiki mwingine mshana jr nilijua anajijua as a meditator kumbe mnafiki mkubwa huyu....
mshana jr

Mhhh ww bila shaka ni mwanamke....maneno kama haya hayawezi kumtoka mwanaume....
 
Last edited by a moderator:
Rakims nilishakusamehe kwahiyo na hata kwenye post yangu nimekuambia hivyo....!unaweza kuniita majina yote mabaya lakini ukweli utabaki kuwa ukweli
Nimekaa kimya kwasababu as a meditator najua nini maana ya kufanya hivyo
Nimeona unajaribu kwa nguvu nyingi kukanusha na kurusha vijembe mpaka mada na post nyingi za meditation zimegeuka uwanja wa mipasho na hii yote imesababishwa na wewe...post hii ni mfano hai Rakims as a meditator kubali mapungufu na kutengeneza pale ulipoharibu lugha za mipasho majigambo na kujisifu kwingi kunazidi kukudidimiza badala ya kukujenga
Tunajifunza hii elimu ili tuweze kuwa viumbe bora zaidi wema zaidi na wenye hekima na busara zaidi....majina kama tapeli mwizi nk si sehemu ya meditator ni majina mabaya mno ni majina ya mtu ambaye hajajitambua
Nilikuwa nafuatilia replies zako nyingi zilikuwa za majigambo vitisho na ujuaji mwingi sikutaka kuingilia chochote bali nilikuwa napacha picha pana na angavu zaidi kuhusu wewe....
Nimekusamehe na namaanisha Nimekusamehe kwakuwa najua nini maana ya kusamehe na msamaha

Yah...aya ndiyo maneno ya mwanaume wa kweli....
 
Last edited by a moderator:
eo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...

Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.

Pasco
 
Thanks Pasco for the needful
1. Kwa kukusanya mada zote za tahajudi na kuziweka pamoja
2. Pili kwa kutualika katika siku hii muhimu
Nasikitika sitaweza kuhudhuria niko nje ya Dar lakini usikose kutupa uptodates zozote... ! Thanks in advance
 
Dah...hapa nzi kadumbukia kwenye glasi ya bia.....! Umtoe uendelee kunywa au uimwage....!

Nachoshauri ni kumtoa nzi....na kuendelea kula kinywaji i.e. Mshana jr acha majibishano endelea na mada yako....
Duu huu uzi umenikumbusha mbali sana...! Mada nzuri ilikuja kuharibika kabisa na kuwa uwanja wa mipasho na majigambo
We have much to learn in this life
 
eo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...

Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.

Pasco
Ubarikiwe sana Pasco
 
Usichokifahamu mkuu waweza sema mengi sana... ni sawa na wasengenyaji husengenya sana lakini akitokea muhusika kila mtu anaanza kumsakizia mwenzio... sasa kabaki kimya mnafiki mwingine mshana jr nilijua anajijua as a meditator kumbe mnafiki mkubwa huyu....
mshana jr
Meditator uwezi kucontrol temper yaan ww ni disqualified kbs sasa utamfundisha nn beginner khs faida ya meditation... You are reacting rather than acting
 
Mshana, Asante sana kwa mada nzuri katika kufundisha watu vitu vya muhimu.

Pia kuna website ambayo naisimamia katika kufundisha watu mada mbalimbali za kujitambua hasa meditation, yoga, spiritual awakening, elimu za kale ambazo zina siri kubwa, maisha, wisdom na kathalika. Nawakaribisha sana.

Vyema sana mkuu nitaitembelea hiyo link kwa utambuzi zaidi
 
Mara nyingi Meditation niifanyayo ni ile ya wakati wa kulala na uwa hivi:-
1.Nahakiksha sina kilevi chochote.

2.Naondoa mawazo yote hasa ya kifamilia, kazi,marafiki na aina yoyote ya usumbufu/furaha.
3.Najiuliza hasa mimi ni nani na nipo kwa ajiri ya Nini alafu ili iweje.
4.Nini nilichofanya kuanzia kulipopambszuka mpaka kiza kilipoingia.
5.Nini cha kufanya siku inayofuata na kwa nini nifanye alafu ili iweje.
Baada ya Kama nusu saa au saa nzima:-
1.Ni nani nimemkwaza na kwanini nilifanya/ilitokea vile na nini kilifanyika baada ya hapo.
2.Wapi nilipata furaha/faraja na Nini hasa kilisababisha na kwanini alafu ili iweje.
3.Nini matarajio yangu kwa familia na taifa.
4.Kwanini nahitajika/sihitajiki (Nini Umuhimu/Hasara) kwa binadamu wenzangu.
Baada hapo ni Kulala kunakoambatana na Sala/dua.
Meditation ya namna hii ni usaidia sana kujisahihisha/kuzidisha juhudi na kuongeza Itabidi Mahala pake Kazi pia uongeza marafiki/networks.
 
Back
Top Bottom