marcs
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 1,066
- 573
Kakuibia nn? hadi umwite mwiziHahahahaha jamaa unajaribu kijisafisha wewe lakini wapi, watu ndio tushakujua kuwa we ni mwizi tuu hata uongee nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakuibia nn? hadi umwite mwiziHahahahaha jamaa unajaribu kijisafisha wewe lakini wapi, watu ndio tushakujua kuwa we ni mwizi tuu hata uongee nn
Bhangi inafungua mlango wa tatuukivuta bangi na ukiwa high unapowazua jambo NA kupata decisions nzuri mpaka ukakubali kwa maono ya mbali kabisa....inaweza kuhusishwaje MF. ukiwa high unamjua hadi mtu ambaye ni mbaya kwako NA mambo Mengi tu positively
bangi NA maono!?
Kwanza hongera sana pili huo ni mwanzo tu usikate tamaa endelea hiyo hali itaishaKuna uzi niliusoma unaelezea Meditation ya pumzi, niliifatilia sana na nikaanza (1) nimefanikiwa kuacha pombe, sigara, nyama napendelea kula hasa matunda. Sasa kinachonishinda ni kuwa nikifanya Meditation huwa macho yanapoteza uwezo wa kuona 2 kichwa kinauma kama maji nakunywa ya kutosha sasa tatizo liko wapi? tuanze na hayo kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, halafu kuna mtu akasema nisifanye usiku mida ya 3:00 kwamba nitaona viumbe wa ajabu naweza kupiga yowe kuna ukweli hapoKwanza hongera sana pili huo ni mwanzo tu usikate tamaa endelea hiyo hali itaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni imani tuuAsante sana, halafu kuna mtu akasema nisifanye usiku mida ya 3:00 kwamba nitaona viumbe wa ajabu naweza kupiga yowe kuna ukweli hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niendelee na mazoezi, pia na ww endelea na somo sasa mbona kimya
Sawa nipoNgoja niendelee na mazoezi, pia na ww endelea na somo sasa mbona kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uzi niliusoma unaelezea Meditation ya pumzi, niliifatilia sana na nikaanza (1) nimefanikiwa kuacha pombe, sigara, nyama napendelea kula hasa matunda. Sasa kinachonishinda ni kuwa nikifanya Meditation huwa macho yanapoteza uwezo wa kuona 2 kichwa kinauma kama maji nakunywa ya kutosha sasa tatizo liko wapi? tuanze na hayo kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapotea sana mkuu, mada zako nazikubaligi kinomaHello Mkuu.
Ni kweli kuwa meditation ya pumzi inaweza kukufanya ukaacha bad habits kwa sababu ni Insight meditation na inaongeza utambuzi wa kuona uhalisia wa choices zetu katika maisha na kuondoa mashikilio ya mazoea. Unakuwa na focus na hekima.
Kuhusu kusababisha uwezo wa kuona, sio kweli kwamba meditation inaweza kupelekea uwezo wa kuona ukapungua.
Kuhusu kuumwa na kichwa ni kweli kuna sometimes kichwa kinakuwa kizito au kigumu, inatokana na sababu mbili; Kutokana na kufunguka kwa chakra ya utosi, na ubongo kujijenga (rewiring) inapelekea kama kichwa kuwa kizito au kuumwa kwa kichwa lakini huwa hali hii inatokea tu pale mtu akiwa anafanya meditation. Ni hali ya kupita na ukiendelea kufanya meditation zaidi chakra ikifunguka energy inapita kwa urahisi na inapelekea unakuwa okay kama kawaida.
Jaribu kuangalia inawezekana negative impact zake hazijatokana na meditation.
Unapotea sana mkuu, mada zako nazikubaligi kinoma
Share nasi mambo mapyaNipo wakuu, nimekuwa mfuatiliaji zaidi.