Meditation in your daily routine

Meditation in your daily routine

Huyu Ni Mnafiki The Same Huyu mshana jr Ni Mzabizabina Hayupo Kushoto Wala Kulia... Heri Uandamwe Na Wachawi mia kuliko kanafiki kamoja...

Wewe Hapo ulipo waweza kumsaidia mtu ukamtangaza kama unajua maana ya msaada? aretaskimario

Kama umemsaidia alafu ukamtangaza inakuwa sio poa, Kwanza unakuwa umemdunisha.
 
Last edited by a moderator:
Nenda Ule Uzi Wenu Mlionafikisha Jamaa Yako Anakutaka Ukamsaidia Kutangaza Unafiki We Munafiq mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Binadamu Ni Aina Ya Roho Iliyoumbwa Na Yule Aliekamilika Kwa Kila Kitu... Roho Hii Ilipoumbwa Haikuachwa Wazi Hivi hiviBali Ilibumbwa Kwa Madongo Na Kuchanganywa Kwa Sayansi ya hali ya juu ambayo haikuwekwa ubongoni mwa Dongo Lile... Dongo Hili Liliumbwa Kwa Maji Maji Machafu Yenye Harufu Ambalo Ni Dongo Linalokuwa Na Kukomaa Kila Baada Ya Muda Liliokadiriwa....

Rakims
Wa Tanzania wanapenda sana STORY kama hizi, mkuu Rakims na mshanaJr hii ni Fursa, kaeni chini muitumie
 
Last edited by a moderator:
nimezichukua na wewe umenyea kambi kurudi huwezi umebaki kunya tu hapa... pole

Rudisha sasa hela hizo na me sio kichaa nirudi huko, we huna tofauti na mwanamke hata kidogo, mwanaume unataka kubembelezwa we ni shoga? Rudisha pesa kwanza ndio mambo mengine yafate we ni tapeli tuu.
 
Rudisha pesa zetu full stop

Ukiweza vumilia kidogo amalize kuongea upuuzi wake wote Usimjibu chochote atakupotezea muda na nguvu zako kama unamwamini Mungu fanya hivyo
Ni suala la muda tu kabla ukweli wote haujajulikana
 
Ukiweza vumilia kidogo amalize kuongea upuuzi wake wote Usimjibu chochote atakupotezea muda na nguvu zako kama unamwamini Mungu fanya hivyo
Ni suala la muda tu kabla ukweli wote haujajulikana

anh mnafiq kaongea
 
wacha kujivisha ngozi ya kondoo wakati umeshararua mbuzi wawili wewe ni MNAFIKI Mtenda akitendewa Hujiona Ameonea Ulijua Sitapita Tena JF baada Ya Kunafikisha? kingine Mbona Unakula Matapishi Yako? Huna Hadhi Ya KUJIITA Meditator Ndio Maana Unafail Hata A.P Kwa Maana Kama P.M unatangaza Utashindwa Kumuweka Mkeo Hadharani? Nilikuwa Nakuheshimu Sana As A Fellow Meditator Kumbe Huna Maana... Wasiliana Na Mods Wakufundishe What Is Private Message....

"Rakims"

kuwa na busara japo kidogo mawasiliano yako na mshana jr yafanyen kwa kutumia PM km ukishindwa anzisha uzi wako, hapa tuachie tupate maarifa. unachofanya ni utoto mtupu na unazidi kujidharirisha na kuonesha we ni mtu wa namna gani. Mshana jr naomba usimjib rakeem tena kwa lolote atakaloandika kwa kuwa lengo lake ni kuharibu huu uzi
 
Thanks Mkuu...

"Rakims"
 
Hii meditation tu m ciielewi n nimepata shauku ya kuijua msaada plz
 
Teh,teh,teh..kumbe haka kajamaa kajizi/katapeli..

Saa mbona unamwona mnafiki mshana wewe utapeli wako umeuweka nyuma ya mfuko wa koti?
Rakims utapel haufai,utaishia pabaya bro,nimeona watu wengi wanakutamani sana.
Acha wizi.
uone kama wtu wtakuandama.
 
keep talking.. usilolijua
 
Back
Top Bottom