Meditation in your daily routine

Huyo Rakim hapo juu hatari sana. Anajua sana hii elimu ya meditation lakini nasikia ni tapeli. Tunakuomba kaka mshana jr utuelekeze hapa kwa weledi na usawa. Natanguliza shukrani za dhati kwa niaba ya wenye hamu ya kujifunza
Mmh
 
kuna siri nzito sana mtu ukifa....

kuna wimbo wa Selena Gomez - It Ain't Me Official Video
utazame huu....ni wimbo unaonesha kabsaaa maisha baada ya kufa...tazama kwa makini mtu yupo kafa hospitalini kitandani lakini yupo dunia nyingine...

kila unachofanya pale anakuwa anakiona huko aliko dunia nyingine...
 
Yeah kinachokufa ni nafsi ndani ya mwili baada ya roho kutengana na mwili uozao....roho hukaa pembeni ikiona kila kitu
 
Sio huyu kaka, RRONDO ameshamtaja pale ktk post ya mwanzo kabisa (ameedit)
Leo ni motroooo
Chama moja! Mtuhumiwa halisi nami kanipiga cha 30 jana jioni...huyu ndugu yangu naye ilikuwa kama ilivyotokea halafu kuna mfanano wa herufi za mwanzo
 
Aliibaje hizo pesa mkuu??
 
Chama moja! Mtuhumiwa halisi nami kanipiga cha 30 jana jioni...huyu ndugu yangu naye ilikuwa kama ilivyotokea halafu kuna mfanano wa herufi za mwanzo
Kwani yule mtuhumiwa wetu wewe ulimtumia?
 
Tafakuri maizi
hivi mkuu naomba kujua juu ya hii kitu....

inakuwaje mtu kila ifikapo usiku umelala unajikuta unathink beyond yiur normal daily thinking na unajikuta unaizyumu universe in three dimension state mpaka unafikia hatua ya kuwa kila ukilala unaanza kukumbuka matendo yote uliyoyatenda siku hiyo kuanzia asubuh mpka usiku ule lakini kila tendo unalofikilia unajikuta unaliwaza katika weekness yake( I mean yani ukianza tu kuzama deep during meditation unajikuta unareview your weeknesses nying katika kila hatua uliyoipitia siku hiyo...yani kwa mfano kama ulikuwa unatoa speach mbele za watu na ukimaliza kutoa speach na watu wakakupongeza lakini kila ukifika nyumbani unagundua errors nyingi sna katika uwakilishaji wa speach yako katika watu japo hakuna mtu aliyekucorect kwa lolote...inafikia hatua unakuwa unajikorect wew mwenyew kuwa ningefanya hivi ingekuwa poa..na ukiangalia kweli unakuta ni kweli you cud do something amazing though what you interact with others they value your presence much kias cha kutokufikia hatua ya kukucorect au kukushauri kwa lolotr juu ya interaction yako na wao....

inakuwaje hii..je ni namna gani ya meditation hii au ndo psychic illusions...??

kwanin ufikie hatua ya kugundua weekness zako hata bila kuambiwa na mtu...??
imekaaje hii mkuu....?

is this normal way of meditation or is psychic illusion and if so what has its advantages....??

should it be stoped or.??...but its difficult to stop ....every day you start reviewing your weeknesses during interaction na watu...how is this valid under normal circumstance.....??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…