Meditation in your daily routine

Meditation in your daily routine

We All do mistakes but when someone realized that he was passing through hard times and had not forget what he is done and going to collect it dat isnt mistake that is called unlimited thinking if i were someone who you think i am, were i bn using this username?? like what others do i were did it too...
but i am who i am, and it will always be me....
japo kuwa mnatumia fake username na avatars haiwabadilishi u are still you...

"Rakims"

Yani we rakims mkuu mshana usimpe lawama zozote zile jinga wewe, ningekuona wa maana sana kama ungetumia muda wako kurudisha hela za watu ulizotapeli au uombe samahani na sio ujifanye we ni mtakatifu na hustaili hukumu, peleka ujinga wako huko huko kwako na si hapa.
 
We All do mistakes but when someone realized that he was passing through hard times and had not forget what he is done and going to collect it dat isnt mistake that is called unlimited thinking if i were someone who you think i am, were i bn using this username?? like what others do i were did it too...
but i am who i am, and it will always be me....
japo kuwa mnatumia fake username na avatars haiwabadilishi u are still you...

"Rakims"

Tehehe bulaza kumbe wewe ndiye uliyeivuta kamba pale pembamba ilipokua imeozea na kusababisha ikatike kabisa. Poleni sana mliokumbwa na maumivu. Tehehe kweli mujini akili, nguvu kijijini.
 
Teach Them... Mtakatifu Perfect Man... mshana jr

Rakims[/QUOTE]

Hapa tayari ni kwamba umesusa na kama nasema uongo watu waje hapa waseme ukweli, na hii ndio tabia uliyokuwa nayo kule na kuweza kutupiga hela mfululizo, na usimpe lawama zozote mshana jr maana hana kosa lolote, alafu we jamaa mtu wa ajabu sana yani unataka unyenyekewe wakati wewe ni mwizi tapeli!! Rudisha hela zetu kama kweli wewe sio tapeli.
 
Last edited by a moderator:
Teach Them... Mtakatifu Perfect Man... mshana jr

Rakims

Hapa tayari ni kwamba umesusa na kama nasema uongo watu waje hapa waseme ukweli, na hii ndio tabia uliyokuwa nayo kule na kuweza kutupiga hela mfululizo, na usimpe lawama zozote mshana jr maana hana kosa lolote, alafu we jamaa mtu wa ajabu sana yani unataka unyenyekewe wakati wewe ni mwizi tapeli!! Rudisha hela zetu kama kweli wewe sio tapeli.[/QUOTE]

Mkuu na we ni mmoja wa majeruhi?
 
Last edited by a moderator:
Ndio hivyo mkuu alafu anajaribu kudanganya watu kuwa hakutuchukulia hela zetu, yani huyu jamaa ana roho ngumu!! Maana kusema uongo mbele za watu na wakati anajua ukweli ulivyo hapo ndio nazidi kumuona mtu wa ajabu zaidi.

Ni mtaalam wa haya mavitu lakini kaingiza tamaa 🙁
 
Usichokifahamu mkuu waweza sema mengi sana... ni sawa na wasengenyaji husengenya sana lakini akitokea muhusika kila mtu anaanza kumsakizia mwenzio... sasa kabaki kimya mnafiki mwingine mshana jr nilijua anajijua as a meditator kumbe mnafiki mkubwa huyu....
mshana jr
 
Rakims nilishakusamehe kwahiyo na hata kwenye post yangu nimekuambia hivyo....!unaweza kuniita majina yote mabaya lakini ukweli utabaki kuwa ukweli
Nimekaa kimya kwasababu as a meditator najua nini maana ya kufanya hivyo
Nimeona unajaribu kwa nguvu nyingi kukanusha na kurusha vijembe mpaka mada na post nyingi za meditation zimegeuka uwanja wa mipasho na hii yote imesababishwa na wewe...post hii ni mfano hai Rakims as a meditator kubali mapungufu na kutengeneza pale ulipoharibu lugha za mipasho majigambo na kujisifu kwingi kunazidi kukudidimiza badala ya kukujenga
Tunajifunza hii elimu ili tuweze kuwa viumbe bora zaidi wema zaidi na wenye hekima na busara zaidi....majina kama tapeli mwizi nk si sehemu ya meditator ni majina mabaya mno ni majina ya mtu ambaye hajajitambua
Nilikuwa nafuatilia replies zako nyingi zilikuwa za majigambo vitisho na ujuaji mwingi sikutaka kuingilia chochote bali nilikuwa napacha picha pana na angavu zaidi kuhusu wewe....
Nimekusamehe na namaanisha Nimekusamehe kwakuwa najua nini maana ya kusamehe na msamaha
 
Hebu na wengine waseme maana naona malalamiko ni ya watu wawili tu. Kama magroup yalikuwa mengi, watu nao walikuwa wengi. Sasa Mshana jr na mwenzako mbona ndio mnalalamika tu?
 
Sijalalamika popote fuatilia majibu yangu yote kwa Rakims na kuna wakati mtu akiongea anachokijua ni facts sio complaints
Narudia tena soma replies zangu kwa Rakims halafu usome zake kwangu
 
Last edited by a moderator:
Rakims nilishakusamehe kwahiyo na hata kwenye post yangu nimekuambia hivyo....!unaweza kuniita majina yote mabaya lakini ukweli utabaki kuwa ukweli
Nimekaa kimya kwasababu as a meditator najua nini maana ya kufanya hivyo
Nimeona unajaribu kwa nguvu nyingi kukanusha na kurusha vijembe mpaka mada na post nyingi za meditation zimegeuka uwanja wa mipasho na hii yote imesababishwa na wewe...post hii ni mfano hai Rakims as a meditator kubali mapungufu na kutengeneza pale ulipoharibu lugha za mipasho majigambo na kujisifu kwingi kunazidi kukudidimiza badala ya kukujenga
Tunajifunza hii elimu ili tuweze kuwa viumbe bora zaidi wema zaidi na wenye hekima na busara zaidi....majina kama tapeli mwizi nk si sehemu ya meditator ni majina mabaya mno ni majina ya mtu ambaye hajajitambua
Nilikuwa nafuatilia replies zako nyingi zilikuwa za majigambo vitisho na ujuaji mwingi sikutaka kuingilia chochote bali nilikuwa napacha picha pana na angavu zaidi kuhusu wewe....
Nimekusamehe na namaanisha Nimekusamehe kwakuwa najua nini maana ya kusamehe na msamaha

wacha kujivisha ngozi ya kondoo wakati umeshararua mbuzi wawili wewe ni MNAFIKI Mtenda akitendewa Hujiona Ameonea Ulijua Sitapita Tena JF baada Ya Kunafikisha? kingine Mbona Unakula Matapishi Yako? Huna Hadhi Ya KUJIITA Meditator Ndio Maana Unafail Hata A.P Kwa Maana Kama P.M unatangaza Utashindwa Kumuweka Mkeo Hadharani? Nilikuwa Nakuheshimu Sana As A Fellow Meditator Kumbe Huna Maana... Wasiliana Na Mods Wakufundishe What Is Private Message....

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:
Sijalalamika popote fuatilia majibu yangu yote kwa Rakims na kuna wakati mtu akiongea anachokijua ni facts sio complaints
Narudia tena soma replies zangu kwa Rakims halafu usome zake kwangu

Ok, haya tuyamalize tuungane tuwe kitu kimoja. Tafadhali nombeni muacheni hasira kwa sababu nyie ndio walimu, sasa mkigombana wanafunzi tutapotea.

Onyesheni mshikamano.
 
Last edited by a moderator:
Ok, haya tuyamalize tuungane tuwe kitu kimoja. Tafadhali nombeni muacheni hasira kwa sababu nyie ndio walimu, sasa mkigombana wanafunzi tutapotea.

Onyesheni mshikamano.

Huyu Ni Mnafiki The Same Huyu mshana jr Ni Mzabizabina Hayupo Kushoto Wala Kulia... Heri Uandamwe Na Wachawi mia kuliko kanafiki kamoja...

Wewe Hapo ulipo waweza kumsaidia mtu ukamtangaza kama unajua maana ya msaada? aretaskimario
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom