Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimuKama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.
Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Upo std ngapi? Zingatia masomo mpira utaukuta tuKama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi
Elimu ndogo ni sumuKama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.
Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Halafu ikirudiwa?Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena.
Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu Tanzania.
Who is Mwamusi ?
Sio upumbavu tuu, Bali na ujinga wake.Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimu
Azam ni toto la Simba, lakini zitakuja timu zinazojitambua halafu zitenge mpira na kucheza bila kipyenga cha refa halafu refa akatae utaona kitakachotokea.Ingependeza zaidi ukauficha ujinga wako. Azam wenyewe wamekiri lile ni goli halali na wamesema uzembe wao ndiyo umewagharimu