Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
Hivi kati ya waislam na wakristo ni wakina nani ambao wanabuluzwa katika ibada zao?.Si tunaona makanisani mnavyo wanyenyekea wachungaji Mpaka mnawaita baba mchungaji?. kwa taarifa yenu najivunia kuwa muislam kwa sababu dini yangu ndio bora mbele ya mwenyezi mungu,quran ndo kitabu pekee dunia ambacho hakija fanyiwa editing na mtume wangu ndo kipenzi cha mwenyezi mungu.mtake ni hivyo msitake ni hivyo.
Mods msiiutoe huu uzi tutapambana kwa hoja mpaka mwisho.

katika hii thread umeona nini mkristo? au udini na roho zenu za visasi Ndo zinakuongoza kuropoka?
 
Part 2 Siriwazi ya Ushoga wa Vatikano:

Naked but for the towel around his waist, a man of a certain age sat by himself, bent slightly forward as if praying, in a corner of the sauna at a gym in central Rome. I had not met this man before, but as I entered the sauna, I thought I recognized him from photographs. He looked like a priest with whom I’d corresponded after mutual friends put us in touch, a man I had wanted to consult about gay clerics in the Vatican Curia. My friends told me that this priest was gay, politically savvy, and well connected to the gay Church hierarchy in Rome.
But this couldn’t be that priest. He had told me that he’d be away and couldn’t meet. Yet as I looked at the man more closely, I saw that it was definitely him. When we were alone, I spoke his name, telling him mine. “I thought you were out of the country,” I said. “How lucky for me: you’re here!” Startled, the priest talked fast. Yes, his plans had changed, he said, but he was leaving again the next day and would return only after I was gone...

The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair

Faiza hali ya ushoga ipo siyo kwa Wakristo tuh bali hata kwa Waislam wapo na ushahidi ninao. Juzi hapa kuna Ustaadhi amemwingilia kinyume cha maumbile mtoto mdogo aliyekua akimfundisha mandrasa kule mkoani Kilimanjaro ushenzi huu pia upo kwenye dini zote bila kujali wakristo au waislam
 
Kuna ndoa za muta(mkataba) huko hii kama mtoa maada alivyosema ni full ushoga huko
 
Faiza hali ya ushoga ipo siyo kwa Wakristo tuh bali hata kwa Waislam wapo na ushahidi ninao. Juzi hapa kuna Ustaadhi amemwingilia kinyume cha maumbile mtoto mdogo aliyekua akimfundisha mandrasa kule mkoani Kilimanjaro ushenzi huu pia upo kwenye dini zote bila kujali wakristo au waislam

Unaongela ustadh? mimi naongelea Makau Makuu ya Vatikano na si bahati mbaya umesoma lakini? endelea part 3:

During the previous few days, I had heard a lot about this man. I had heard that he is a gossip, a social operator whose calendar is a blur of drinks and dinners with cardinals and archbishops, principessas and personal trainers. Supposedly, he loves to dish male colleagues with campy female nicknames. But I would never have the experience firsthand. The priest was embarrassed: to have been chanced upon at this place; to have had his small evasions revealed. The encounter was awkward. No, he did not wish to discuss the subject I was interested in. No, he did not think the subject worthwhile. These things he made clear. We left the sauna and, after further conversation, civil but stilted, went our separate ways...

The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair
 
we mtoa mada,ni siku tatu sasa nakutumia majin laki yana goma kuja! kwanza nitengeneze mambo na ustadhi utanitambua
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS
I think umezungumza kitu cha msingi.. Kwa wale wenye kuhofu kuwa dini imeguswa watatoa mapovu. lakini wanaoelewe kuwa kuwa huu sio uchambuzi wa koran bali ni mchanganuo wa kiuchumi kupitia masuala ya dini watakupa Like. Manungu'uniko yako mengi hata nchini kwao...
Kuna watu wanapeleka pesa hawajui zinafanyia kitu gani...
 
Kuna Mfalme (Sultani) wa Afrika (Dola yake ilikuwa hapo Afrika Magharibi - Mali / Niger) alikuwa anaitwa Hassan Sundiata. Wakati anaenda kuhiji Makka (na si Mecca, Mecca = Wine Cellar) alikuwa na msafara mkubwa wa Ngamia (Caravan) na wafuasi kadhaa na njiani alikuwa akigawa zawadi ya vipande vya dhahabu. Safari yake ya kuhiji ilimchukuwa mwaka mzima !

Kwa hili utakunywa sumu FRANCIS DA DON !? :A S 11:

Last edited by a moderator:
Unaongela ustadh? mimi naongelea Makau Makuu ya Vatikano na si bahati mbaya umesoma lakini? endelea part 3: During the previous few days, I had heard a lot about this man. I had heard that he is a gossip, a social operator whose calendar is a blur of drinks and dinners with cardinals and archbishops, principessas and personal trainers. Supposedly, he loves to dish male colleagues with campy female nicknames. But I would never have the experience firsthand. The priest was embarrassed: to have been chanced upon at this place; to have had his small evasions revealed. The encounter was awkward. No, he did not wish to discuss the subject I was interested in. No, he did not think the subject worthwhile. These things he made clear. We left the sauna and, after further conversation, civil but stilted, went our separate ways...

The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair
FaizaFoxy mpaka leo uko saudia Utumwa wa mtu mweusi unafanyika kwa siri.. Kwani hii ni suna aliyoiacha mtume.. wewe hujui lakini habari zinazidi kuvuja. Kumbuka kwenye utumwa kuna kitu wanaita sex slave. Sitashangaa kusikia hao watumwa wanatumikishwa kingono.. Subiri habari ya mfalme mpya tuone kitakachoibuka..!!

Kama Saudia na huko iran pangekuwa mahali pa wacha mungu sana kusingekuwa na IDAdi kuwa ya watu wanaoongozwa kwa wananyongwa na kupigwa mawe kila siku kuliko sehemu yyoyyote duniani. It means waovu wapo. Swala la makao makuu. MAkao makuu ni Moyo wa MTU. Sio majengo wala hapo mecca. Moyo wako ndio unapaswa kuwa mtakatifu. kwa Nyinyi mnaobusu mawe meusi, nyota na mwezi, na kuyakumbatia kama vile kitu cha kipekee ndio unayeweza kuona Duniani kuna sehemu takatifu.
LAkini anayeelewa zaidi atakwambia mahali patakatifu ni Mbinguni tu. Na Huo ndio Ukweli.
Hapo mecca tu kama ingekuwa sehemu takatifu wasingehangaika kufuta historia yake kwa kupajenga paonekane pa kisasa zaidi. Lakini wanaamini teknolojia ya binadamu inapatakatifuza.
 
I think umezungumza kitu cha msingi.. Kwa wale wenye kuhofu kuwa dini imeguswa watatoa mapovu. lakini wanaoelewe kuwa kuwa huu sio uchambuzi wa koran bali ni mchanganuo wa kiuchumi kupitia masuala ya dini watakupa Like. Manungu'uniko yako mengi hata nchini kwao...
Kuna watu wanapeleka pesa hawajui zinafanyia kitu gani...
.........Kanisa limetakatisha fedha haramu kupitia Banki yake ya Kanisa wakishirikiana na kundi la wezi wa Kikiristu na Maaskofu wao ! 2013
 
FaizaFoxy mpaka leo uko saudia Utumwa wa mtu mweusi unafanyika kwa siri.. Kwani hii ni suna aliyoiacha mtume.. wewe hujui lakini habari zinazidi kuvuja. Kumbuka kwenye utumwa kuna kitu wanaita sex slave. Sitashangaa kusikia hao watumwa wanatumikishwa kingono.. Subiri habari ya mfalme mpya tuone kitakachoibuka..!!

Kama Saudia na huko iran pangekuwa mahali pa wacha mungu sana kusingekuwa na IDAdi kuwa ya watu wanaoongozwa kwa wananyongwa na kupigwa mawe kila siku kuliko sehemu yyoyyote duniani. It means waovu wapo. Swala la makao makuu. MAkao makuu ni Moyo wa MTU. Sio majengo wala hapo mecca. Moyo wako ndio unapaswa kuwa mtakatifu. kwa Nyinyi mnaobusu mawe meusi, nyota na mwezi, na kuyakumbatia kama vile kitu cha kipekee ndio unayeweza kuona Duniani kuna sehemu takatifu.
LAkini anayeelewa zaidi atakwambia mahali patakatifu ni Mbinguni tu. Na Huo ndio Ukweli.
Hapo mecca tu kama ingekuwa sehemu takatifu wasingehangaika kufuta historia yake kwa kupajenga paonekane pa kisasa zaidi. Lakini wanaamini teknolojia ya binadamu inapatakatifuza.

Utumwa upo Dunia Nzima ! haswa Kutoka Eastern Europe kwenda Western Europe, wenyewe wamebadilisha jina wanaita 'Human Trafficking !
Tanzania pia baadhi ya Wananchi wake wanashiriki kwa kuvusha watu kwenye makontena kuwapeleka utumwani.
Hili hulioni, umekalia uongo na uzushi ! 2013
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy mpaka leo uko saudia Utumwa wa mtu mweusi unafanyika kwa siri.. Kwani hii ni suna aliyoiacha mtume.. wewe hujui lakini habari zinazidi kuvuja. Kumbuka kwenye utumwa kuna kitu wanaita sex slave. Sitashangaa kusikia hao watumwa wanatumikishwa kingono.. Subiri habari ya mfalme mpya tuone kitakachoibuka..!!

Kama Saudia na huko iran pangekuwa mahali pa wacha mungu sana kusingekuwa na IDAdi kuwa ya watu wanaoongozwa kwa wananyongwa na kupigwa mawe kila siku kuliko sehemu yyoyyote duniani. It means waovu wapo. Swala la makao makuu. MAkao makuu ni Moyo wa MTU. Sio majengo wala hapo mecca. Moyo wako ndio unapaswa kuwa mtakatifu. kwa Nyinyi mnaobusu mawe meusi, nyota na mwezi, na kuyakumbatia kama vile kitu cha kipekee ndio unayeweza kuona Duniani kuna sehemu takatifu.
LAkini anayeelewa zaidi atakwambia mahali patakatifu ni Mbinguni tu. Na Huo ndio Ukweli.
Hapo mecca tu kama ingekuwa sehemu takatifu wasingehangaika kufuta historia yake kwa kupajenga paonekane pa kisasa zaidi. Lakini wanaamini teknolojia ya binadamu inapatakatifuza.

Tanzania leo hii ina watumwa wengi kuliko nchi nyingi duniani, jisomee:

The Truth About the Catholic Church and Slavery | Christianity Today

Modern Day Slavery Statistics - The World Counts
 
Mkimaliza mkae chini mfanye hesabu za mlichovuna,
biashara yenu inaenda vizuri mno na faida KUBWA ni lazima.
Note: Mgao wenu uwe sawa na muuonyeshe majumbani kwenu na mseme "Hili ni zao la ujinga wetu sogeeni tule wanangu.
 
Hija ni biashara kama biashara nyingine, sema Mohamad aliiboresha na kuifanya Makkah iwe Kituo Kikuu cha Utalii wa dini ya Kiislam. Mohamad japo haktjua kusoma na kuandika lakini alikuwa ni mjasiliamali mzuri maana siyo kazi ndogo kuwaaminisha mamilion ya watu kwamba kuligusa na kulisujia Jiwe jeusi unapata dhawabu. Pia biashara ya kununua mawe ya kumpiga Shetani, huwa nashangaa huyu shetani anapigwa miaka yote bado yuko pald pale? Dah! kweli Imani ni upofu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom