Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,786
Reaction score
46,904
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS
 
Sasa imeumbuka nini? Unanchekesha.

Au roho imekuuma kusikia Makkah wanaingiza matrillioni wakati wa Haj? Utaungilika sana. Hiyo ni nchi iliyoombewa na Ibrahim na dua yake kukubaliwa:

Qur'an 14:37. Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu Mlezi, ili washike Sala. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku matunda, ili wapata kushukuru. ***

"O our Lord! I have made some of my offspring to dwell in an uncultivable valley by Your Sacred House in order that they may perform As-Salat. So fill some hearts among men with love towards them, and (O Allah) provide them with fruits so that they may give thanks."

(Quran, Surah Ibrahim, Verse, 37)
 
kuna walio ona kama wewe Mkuu, walitaka kuiba lile jiwe na kidogo tu wangefanikiwa kuko Wayahudi kuwatonya wa-saudia! Walifikwa na kitu mbaya sana.
 
Ukiona mkristo ana kwenda Israel basi ujue anakwenda huko kama mtalii kwasababu Mungu wetu yupo kila eneo la dunia hii yeye ndiye aliyeiumba hivyo si rahisi kuteua eneo fulani eti ni takatifu kuliko eneo lingine.Mungu wetu anasikia kila lugha ya makabila yote hafungwi na lugha moja kwasababu huo nao ni ubaguzi wa wazi.


Duh wivu wa kike huo, we wahimize wagalatia wenzako hija ya jerusalem mfanye kila mwaka

Ni bora kufa mwili kuliko kufa kiroho sasa wewe umechagua vyote viwili kwa wakati mmoja.

Bora kufa kuliko kuwa kafri kama wewe, nendeni mkahiji Israel wakati siyo nchi ya kikristo
 
Sasa imeumbuka nini? Unanchekesha.

Au roho imekuuma kusikia Makkah wanaingiza matrillioni wakati wa Haj? Utaungilika sana. Hiyo ni nchi iliyoombewa na Ibrahim na dua yake kukubaliwa:

Qur'an 14:37. Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu Mlezi, ili washike Sala. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku matunda, ili wapata kushukuru. ***

“O our Lord! I have made some of my offspring to dwell in an uncultivable valley by Your Sacred House in order that they may perform As-Salat. So fill some hearts among men with love towards them, and (O Allah) provide them with fruits so that they may give thanks.”

(Quran, Surah Ibrahim, Verse, 37)

unamsema ibrahim yupi alioombea saudia? Labda ibrahim mwalimu wangu wa Sayansi kimu.
 
unamsema ibrahim yupi alioombea saudia? Labda ibrahim mwalimu wangu wa Sayansi kimu.

Qur'an 14:
38. Ewe Mola wetu Mlezi! Hakika Wewe unajua tunayo yaficha na tunayo yatangaza. Na hapana kitu kinacho fichikana kwa Mwenyezi Mungu katika ardhi wala katika mbingu.
***



39. Alhamdulillahi! Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu aliye nipa juu ya uzee wangu Ismail na Is-haq. Hakika Mola wangu Mlezi ni Mwenye kusikia maombi. ***


40. Mola wangu Mlezi! Nijaalie niwe mwenye kushika Sala, na katika dhuriya zangu pia. Ewe Mola wetu Mlezi, na ipokee dua yangu. ***
 
Duh! hivi wewe unaupenda usingizi? ndiyo maana nchi haiendelei kwa watu kama wewe wanaolala hovyo.

Kuna MTU asiyependa usingizi? Kuna MTU asiyelala? Utasemaje hupendi usingizi ilhali ukiukosa hata kwa siku mbili unakimbilia kwa daktari?
 
Dah watanzania tunekua mahodari namna hii kwa kuongelea juu ya ufisadi na rushwa naona tungesha pata suluhisho siku nyingi sana na tugesha kuana maedeleo makubwa sana. Ebu jaribuni kua na heshina na dini, kila mtu ana paswa kuiheshimu dini ya mwenzake.

Mkuu bongo ni kisiki cha mpingo hata ushinde unajadili utaishia kupigwa tu
 
Threads za namna hii hazina tija kokote duniani... tunatengeneza chuki kupitia imani kitu ambacho mshindo wake hatuuwezi kamwe... ha polisi wa virungu tu tunalialia wiki nzima

Watanzania... si lazima kuiga upumbavu wa wapumbavu wengine na kuharibiana amani in the name of religion... there are so many ways we can argue and fight bila kupitia Mungu na mitume wake

Nimemdharau sana mleta mada... he must be a sick, poor and pathetic person
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom