Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
Sasa imeumbuka nini? Unanchekesha.

Au roho imekuuma kusikia Makkah wanaingiza matrillioni wakati wa Haj? Utaungilika sana. Hiyo ni nchi iliyoombewa na Ibrahim na dua yake kukubaliwa:

Qur'an 14:37. Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu Mlezi, ili washike Sala. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku matunda, ili wapata kushukuru. ***

“O our Lord! I have made some of my offspring to dwell in an uncultivable valley by Your Sacred House in order that they may perform As-Salat. So fill some hearts among men with love towards them, and (O Allah) provide them with fruits so that they may give thanks.”

(Quran, Surah Ibrahim, Verse, 37)

Quotation yako haina uhusiano na ulaji ulioneshwa kiwa unatokana na hija toa relevant information or quotation
 
The Kingdom could earn about SR32 billion ($8.5 billion)from this October’shajj, according to a study published on Monday, which predicted that two million Muslims would make the pilgrimage to Makkah.
The Makah Chamber of Commerce said revenuesfrom the world’s largest annual gathering of Muslims would increase by three percentfrom last year.
The study was based on estimates that 1.98 million pilgrims will travel to the holy city of Makkah, including 1.38 million, or 70 percent,from abroad.
According to the report, a pilgrim who has traveledfrom another country will spend an average of SR17,381 ($4,633) duringhajj, which runs for five days. A domestic worshiper pays around SR4,948 ($1,319), the study found.
Expenses include housing, food and drink, gifts and phone bills.
Millions of people visit Islamic holy sitesinSaudiArabia for thehajj, a pilgrimage all Muslims are expected to make at least oncein their lives if health and finances permit.
This article was first publishedinSaudi Gazetteon Monday, Aug. 25, 2014.
Las
 
Kwa taarifa yenu vitimbi vya kutaka kuzuia hija haikuanza leo.walianza makafiri wa enzi hizo kwa kutumia vifaru vya enzi hizo(tembo).lakini walichokipata wanajua.Ile ni amri imetoka kwa mungu na mungu atailanda hija na alkaba insha llah.
 
Waache wakampige shetani kwa mawe!!!Sasa wale ambao watakufa hawajawahi kwenda kuhiji huyo shetani watampiga kwa mawe wapi!!? jehanamu!!!!!!!?

Akili za kusimuliwa,changanya na zako!!!!

Naona kuna kundi la watu linafanywa VITEGA UCHUMI vya WATU FULANI TEULE!!!
 
Duh, ndomana "walioamini" na "kujaaliwa" salio kubwa ndo mana wanashurutishwa na "mtume wa walioamini" kwamba wakapunguze salio walau mara moja ktk maisha yao! kaz kwelikweli!
 
Kwa taarifa yenu vitimbi vya kutaka kuzuia hija haikuanza leo.walianza makafiri wa enzi hizo kwa kutumia vifaru vya enzi hizo(tembo).lakini walichokipata wanajua.Ile ni amri imetoka kwa mungu na mungu atailanda hija na alkaba insha llah.

Al-akh usiumizwe kichwa na vijikafiri uchwara.
Makafiri walikuwa enzi hizo, lakini walishindwa kuzima NURU YA ALLAH, sembuse hivi vya leo vyenye kuongelea nyuma ya keyboard!!!!!!!!!!!
 
Quotation yako haina uhusiano na ulaji ulioneshwa kiwa unatokana na hija toa relevant information or quotation

Huo "ulaji" uko wapi? jisomee vizuri hiyo aya, labda una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii, una ubongo lakini hauna akili.
 
Waache wakampige shetani kwa mawe!!!Sasa wale ambao watakufa hawajawahi kwenda kuhiji huyo shetani watampiga kwa mawe wapi!!? jehanamu!!!!!!!?

Akili za kusimuliwa,changanya na zako!!!!

Tatizo ninyi vijitu, uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana, and
Alas mnatumia hizo hizo nyenzo zenu ndogo kifikra katika kuji-estimate, sasa nini kitatokea wadhani?
Hivi unadhani kijitu kama wewe nikakufananisha na mnyama alie dhalili kuliko wote nitakuwa nimekosea kifikra???
 
Acha kupanic,Jibu hoja!!!!

Huyo Shetani mnaempiga mawe kila siku HAJAFA tu miaka yooooote hiyo!!!

Acheni kuwa VILAZA!!!!
 
Huo "ulaji" uko wapi? jisomee vizuri hiyo aya, labda una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii, una ubongo lakini hauna akili.

Faiza! Nimeongelea aya na yale yalioandikwa ya kuwa hayalingani! Nani ambae hayuko makini hapo?
 
Tanzania mmeng'ang'ania ufisadi na kuwapiga waso hatia Madini, bahari na samani za kila aina mnashindwa tumia eti Mecca imeumbuka point ni ipi hapo? Acha umasikini wa fikra na uchochezi na kuingilia Dini ya mwingine sheria inakataa na Imani pia haikuruhusu
 
Kwa taarifa yenu vitimbi vya kutaka kuzuia hija haikuanza leo.walianza makafiri wa enzi hizo kwa kutumia vifaru vya enzi hizo(tembo).lakini walichokipata wanajua.Ile ni amri imetoka kwa mungu na mungu atailanda hija na alkaba insha llah.

Hivi wewe hapa unamuongelea Mungu au mungu?
 
Ukiona mkristo ana kwenda Israel basi ujue anakwenda huko kama mtalii kwasababu Mungu wetu yupo kila eneo la dunia hii yeye ndiye aliyeiumba hivyo si rahisi kuteua eneo fulani eti ni takatifu kuliko eneo lingine.Mungu wetu anasikia kila lugha ya makabila yote hafungwi na lugha moja kwasababu huo nao ni ubaguzi wa wazi.

Ni bora kufa mwili kuliko kufa kiroho sasa wewe umechagua vyote viwili kwa wakati mmoja.

Kwahiyo leo unakataa kua Israil sio Taifa teule. Au Muungu wako wewe ni Yupi! Kuna yule Mungu aliesulubiwa msalabani na viumbe wake,wanaomuamini Mungu huyo wanaamini Israeli ni Taifa teule.
 
Faiza! Nimeongelea aya na yale yalioandikwa ya kuwa hayalingani! Nani ambae hayuko makini hapo?

Isome aya vizuri. Unaonesha una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii, una ubongo lakini hauna akili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom