Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
Kabla ya kutoa hukumu kwamba elimu yetu imeshuka au kupanda, inabidi kwanza mtuelimishe imeshuka au kupanda kutoka wapi? Yaani kabla ya sasa tulikuwa wapi na sasa tupo wapi, hapo tutaweza kupima. Na wasiwasi bila kuweka vigezo thabiti tutaongozwa na hisia zaidi kuliko ukweli wa mambo.
Yeeeah
 
ya watu yaache mbona nyie kina kilaini wanafanya harambee si hatuna neno,we Dada wivu utakuua
 
Huyu Da don francis kama si ridhiki basi ana tatizo sugu la mtindio wa ubongo na taahira ya akili. Eti Hijja ifanyike kwa mzunguko! mbona huchagizi hija za kwenda kwa mayahudi kule jerusalem zielekezwe kwa mzunguko kwenda sumbawanga, uchina ama kwengineko. Ni heri kufunga kebe lako kuliko kucokonoa usichokijua! Pumbafu!

mkuu haka ka dada kanawashwa na uislam sana
 
Moderator habari ya kweli ya Vatikan umeifuta mbio mbio.

Sisi habaro za uzushi na uongo zinazohusu Waislam wala hatutosema uzifute na usizifute kwa sababu, tunazijuwa ni za uongo na ndiyo tunapata kuutangaza vizuri uzuri wa Uislam.

Leo kabla ya dakika 10 nimeweka habari za kweli kabisa na za uchunguzi wa kina uliofanywa na Mkristo na jarida la Kikristo ndiyo limechapisha na nimeweka link zote, mmeufuta, kwa kuwa tu liwawaumbua Wakatoliki jinsi ushoga ulivupkubuhu huko Vatikan.

Kwa kuwa hii nyuzi tunauhakika hamuifuti basi nnaweka link hapa, watu watapitia na kujisome hayo maovu ya makao makuu ya kanisa katoliki Vatikano:The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair

jf inajishusha yenyewe ikiwekwa mada ya wagalatia haichukui muda inafutwa,ila hizi pumba zinaachwa
 
Wakristo wanaweweseka sana na uislamu, kila siku zinavyozidi kwenda dini ya hakki inazidi kuonekana huku ushetani wao makafiri uikjidhihirisha zaidi, uislamu unazidi kukubalika hadi kwenye nchi zao kwa kasi ya ajabu,
Hakika makafir wana haki ya kuweweseka.
Wewe una kesi ya kubaka yule mwanafunzi madrassa
 
Nimegundua huu mtandao ni wachama gani na imani gani,mada zao udini,chama,ubaguzi,,shame on you!halafu mnajifanya watu safi!m*vi matupu.

nna uhakika wagen kama sisi hatutachukua muda kuangalia mtandao usio na maadili wenye kuchagua upande was kuegemea
 
Mada za kukashifu Uislam zinapewa airtime kubwa sana Jf, Hii mada ingekuwa inahusu Ukristo ingeshafutwa muda mrefu sana
 
Wanaingiza matrilioni !!! ni senti za kitazania au dollar za kimarekani , muweka mada inaonyesha hana fikra au kufahamu viwango anavyo vinukuu.

Kabla hujawaonea wengine gele - wewe jiulize umefanya nini kuongeza idadi ya watalii kuja Tanzania kwenye mbuga na mali asili zisizo na mfano kwa uzuri. Sana ukimuona mtalii unafikiri vipi utamtapeli
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS

nonsense ongea point wise wat wanatekeleza maagizo ya iman we ----- we kama we ni mvatican
 
mleta mada huelew tu hija si sehem ya kuozesha ndoa za jinsia moja,si sehem ya kulawit watoto,si sehem ya Ku escrow wala so sehem ya kwenda nusu uchi
 
Ujinga mtupu

Kafiri utalijua tu...ww huwe unaenda Israel si ndiyo mnadai taifa la Mungu...unadhani Mungu muisrael...Uislam ni dini ya Mwenyezi Mungu ndiyo maana ukienda nchi yoyote utafanya ibada ktk mfumo ule ule ...
 
Mtoa mada kipi kinacho kusumbua ni wivu au huruma??

Imani yako ina matatizo sana mbona haushauri Vaticano ihamie kijijini kwenu??
 
Watumwa wa imani wanapambana

Wacha watoboane mpaka macho.

Kuna Rais wa Burundi miaka ya nyuma nimemsahau jina alipiga marufuku mispika ya misikitini na mikengere ya kanisani na akawaambia kila muumini anajuwa muda wa ibada msipigie watu mikelele kwa dini zenu. I like the Man.
 
kuna walio ona kama wewe Mkuu, walitaka kuiba lile jiwe na kidogo tu wangefanikiwa kuko Wayahudi kuwatonya wa-saudia! Walifikwa na kitu mbaya sana.

jiwe lipi kaka?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom