Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
mbona hata jukwaa la dini lipo kwa wenye akili timamu, si uingie uone tunavyokemea mapepo? Waislam wenyewe wanaokoka kwa kazi nzuri ya watumishi Ishmael, Nkwesa Makambo, mgen, Lisa Valentine, 2013

Dada wa chadema anahara ovyo!

Sasa sijui itakuwaje hao wadhamini wako wakipigwa chini 2015!
Hio kodi ya chumba utalipiwa na nani.

Labda uombe walokole wakuhifadhi in return na wao wachume vya mwlini mwako km PAULO alivyosema.
 
Last edited by a moderator:
Hivi na marais wa Dunia nzima kwenda New York kila mwaka hili unalizungumziaje? Namaanisha UN.

Usilete stori usizo na uwezo nazo.
Erick Awazi umemrudishia ile Pesa yake?

Na mwanao Samira unapeleka Matumizi? Au ndio nyie mnaolelewa na mashemeji mpaka kufa!
 
Uzuri wa JF.........
 
Attachments

  • 1422643812977.jpg
    1422643812977.jpg
    44.5 KB · Views: 212
Huko ni sehemu ya ibada na tutaenda Allah akituwezesha tena, lakini wanao msapoti mleta mada kama mngekuwa na akili ya ziada mgejiuliza kwanza kuhusu UN wanapofanya mikutano NY maraisi huwa wana lala wapi kwa muda gani na kwa manufaa gani maana kila mmoja wa waliohudhuria wanalipa zaidi ya 40m a night. Think about it

ujue kuwa picchu huvai
 
Last edited by a moderator:
Dada wa chadema anahara ovyo!

Sasa sijui itakuwaje hao wadhamini wako wakipigwa chini 2015!
Hio kodi ya chumba utalipiwa na nani.

Labda uombe walokole wakuhifadhi in return na wao wachume vya mwlini mwako km PAULO alivyosema.

soon nitaanza kukemea naona yameanza. . . .
 
Hakuna maskin anayeenda Saudia kwa ajil ya hiyo Ibada coz sio kila mtu anaweza kuafford 6 mil to around 10 mil.
 
Acheni matusi, jibuni hoja. Saudi Arabia haiingizi mapato makubwa? Hakuna maskini wanaoenda kuhiji huko, kupeleka kidogo walichonacho kwa matajiri? Nyama inayoletwa huku sio reject? Hoja kwa hoja

Qur'an 3:
96. Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko Bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote.
***

97. Ndani yake zipo Ishara zilizo wazi - masimamio ya Ibrahim, na mwenye kuingia humo anakuwa katika amani. Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule awezae njia ya kwendea. Na atakaye kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu. ***
 
Unajuwa tofauti ya Mungu na mungu.

Bangi zangu zimenituma nikuulize swali hili, kama hujui sema upate elimu ya bure usijifanye ujuwaji wakati akili zako ni saa saba usiku.

God = Mungu
Goddess = ???
 
Kwa nini mungu kawapa upendeleo wa kuwekwa kwenye jangwa iki waishike sala na wengine hakuwaweka huko?

Mungu gani mbaguzi hivyo anawapanga watu kwa mafungu, hawa anawapa neema, hawa anawanyima.

Hizi si ndio hadithi zile zile za "Israel taifa teule la mungu" zimekuja kivingine?

Nikisema Muhammad aliona Waisrael wana nguvu ya ushawishi kwa sababu ya siasa za dini na yeye akataka kuanzisha yake kwa watu wake, purely for political reasons ambazo tunaona zinaleta faida hizi za kiuchumi, nitakuwa nimekosea?

"O mankind! We created you from a single (pair) of a male and a female, and made you into nations and tribes, that ye may know each other. Verily the most honoured of you in the sight of Allah is the most righteous of you. And Allah has full knowledge and is well-acquainted. (The Noble Quran, 49:13)"
 
Hakuna maskin anayeenda Saudia kwa ajil ya hiyo Ibada coz sio kila mtu anaweza kuafford 6 mil to around 10 mil.

Qur'an 3:
96. Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko Bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu kwa walimwengu wote.
***

97. Ndani yake zipo Ishara zilizo wazi - masimamio ya Ibrahim, na mwenye kuingia humo anakuwa katika amani. Na kwa ajili ya Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo, kwa yule awezae njia ya kwendea. Na atakaye kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu. ***
 
mbona hata jukwaa la dini lipo kwa wenye akili timamu, si uingie uone tunavyokemea mapepo? Waislam wenyewe wanaokoka kwa kazi nzuri ya watumishi Ishmael, Nkwesa Makambo, mgen, Lisa Valentine, 2013

The Vatican’s Secret Life

Despite headlines about a powerful “gay lobby” within the Vatican, and a new Pope promising reform, the Catholic Church’s gay cardinals, monks, and other clergy inhabit a hidden netherworld. In Rome, the author learns how they navigate the dangerous paradox of their lives.

Source:The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom