Mmh!! Hayo ulosema n mtazamo wako!! Lakini nielewe ili tuwezekuelewana
Kiranga, Frendi Tumezungumzia upendeleo tuu !!
So ulitaka wewe kuwa sote tupe equal gift?!! au ulitaka sie sote tuwewakuu yaani kama level ya maji?
Sasa nikujuze hekima ya upendeleo aliyotuteremshea... MwenyeeziMungu katupa equal TIME (wakati/Hewa/Uhai/Mauti)!
Hapa katuwekea kidaraja kila mmoja amfae mwengine ili wote tumenyeke au tuhangaike kuweza kutumikia maisha (tumbo) stahili...Tuwajibike katika wakati maalum !!
Ndiyo ukaona kaumba hapa Duniaini Mataifa yenye kutugemeana kama vile kaumba ardhi zenye Rasilimali kwa manufaa ya ardhi sehemu ingine!!
Hapo mie sioni upungufu wowote!! ila sie wanaAdam tunadhanna za ukakasi za kulalama kwa wingi !! Hebu tusikimbie hulka yetu...KM:- Waafrika tunatamaani ya wenzetu (kasumba fulanifulani) !! na Wazungu nao wanatamaani ya wenzao,Na waAsia pia wanatamaani cha wengine,,nk,nk...!! Hakuna Viumbe sisi waliotosheleka au kuridhika (huo ndo ukweli kwani aliyekuwa kwenye Baridi na theluji anasema bora walokwenye Joto na ukavuni, Ambapo alokuwepo Jangwani asema bora aishi kwenye baridi na Uzunguni !!
Hapo hao wote wamesha sahau neema walizoteremshewa na kukarimiwa na Muumba !
Tuache uchoyo wa Fadhila.......tuwe watu wenye kushukuru !!