Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
Kweli humu kuna watu imani zenu ni haba,hivi kweli kama wewe ni muumini mzuri waweza ongelea dini ya mwenziyo vibaya???nani alishawahi kufa akaambiwa uislamu/ukristo ndo halali??acheni umaskini wa roho fanyeni matendo mema tena yampendezayo Mungu ndo mtaurithi ufalme wa Mungu!!!
 
Tanzania au nchi nyengine imeshindwa nini au imezuiwa na nani kutafuta kitega uchumi cha aina hiyo? some kind of thinking ni aibu sana, heubu muwe mnatafakari kabla ya kupost jamaniiiiii, mnajitia aibu.
Hija ni kwa waislamu pekee, wewe ambae si muislamu inakuhusu nini? tena wanaotakiwa kuhiji ni waislamu wenye uwezo (LIMANIS TATWA3A ILAYHI SABILA) mafakiri na masikiri hawawajibikiwi na kuhiji.
post yako inaonyesha kiwango cha ujinga ulichonacho katika akili yako.
try to be wise sometimes.

Ni chuki binafsi, hakuna kingine kwani sioni alichoandika cha maana. Hekima ni kwa wanaojiheshimu
 
Watoto wa paul mna tabu nyie, haya na nyie nendeni Rome
 
Kweli humu kuna watu imani zenu ni haba,hivi kweli kama wewe ni muumini mzuri waweza ongelea dini ya mwenziyo vibaya???nani alishawahi kufa akaambiwa uislamu/ukristo ndo halali??acheni umaskini wa roho fanyeni matendo mema tena yampendezayo Mungu ndo mtaurithi ufalme wa Mungu!!!

Kipimo cha matendo mema au mabaya umekipata wapi? Bila shaka kupitia kwa Uislam au sijui kama ukristo unatoa kwa uwazi vitendo vibaya. Basi sisi kwenye Quran imetuanishia kabisa hakuna dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu zaidi ya Uislam. Dini ya mitume yote ya Mwenyezi Mungu kuanzia Adam mpaka Muhammad. Katikati yake walikuwepo akina Ibrahim, Mussa na Issa (Yesu). Kaa ukidanganywa na watu wa Antokia wapagani walioleta uzushi kwa kuuleta ukristo. Kwa kuwa ushetani unaenea na kuaminiwa kwa kasi sana ndicho kilichotokea kwa ukristo kwa sababu ni mchanganyiko wa kishetani na kipagani. Kama ilivyoenea tu bongo fleva hapa bongo. Tafakari chukua hatua.
 
Jane Steven hatukupewa jina jingine chini ya Mbingu lipasalo kuokolewa wanadamu ila ni jina la YESU.
Unauliza kuhusu kufa na kujua know nachoendelea ni nini?
Knowledge is. Vast.

Em fuatilia case za Near Death Experience (NDE).
Kuna Chrisitians, Hindu, budha, atheists, Muslims etc...
There are plenty of them...

I can tell hata the very Muslims wasiomjua YESU kristo wala kuhubiriwa habari zake, wanakiri kukutana na YESU after death.

Sio Muhamadi wala Allah wala kiumbe gani. Bali YESU kristo pekee.it is not a function of brain.
It is otherworld dimension.
It means YESU ndiye kilakitu hapa duniani.
Heri kuwa na YESU kuliko vyote hapa duniani.

Kumbuka baibo na Koran zinakiri kuwa YESU tu hai.

Nb: yupo aliyedai Kumwona Muhammad anateseka na moto vibaya sana.

Scientists wanakiri kupitia hii NDE ni kuwa kuna life after death.
Nimekupa hii in a nutshell. You just google for your own benefit...
 
Last edited by a moderator:
Kipimo cha matendo mema au mabaya umekipata wapi? Bila shaka kupitia kwa Uislam au sijui kama ukristo unatoa kwa uwazi vitendo vibaya. Basi sisi kwenye Quran imetuanishia kabisa hakuna dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu zaidi ya Uislam. Dini ya mitume yote ya Mwenyezi Mungu kuanzia Adam mpaka Muhammad. Katikati yake walikuwepo akina Ibrahim, Mussa na Issa (Yesu). Kaa ukidanganywa na watu wa Antokia wapagani walioleta uzushi kwa kuuleta ukristo. Kwa kuwa ushetani unaenea na kuaminiwa kwa kasi sana ndicho kilichotokea kwa ukristo kwa sababu ni mchanganyiko wa kishetani na kipagani. Kama ilivyoenea tu bongo fleva hapa bongo. Tafakari chukua hatua.

YESU si isa wewe
 
Jane Steven hatukupewa jina jingine chini ya Mbingu lipasalo kuokolewa wanadamu ila ni jina la YESU.
Unauliza kuhusu kufa na kujua know nachoendelea ni nini?
Knowledge is. Vast.

Em fuatilia case za Near Death Experience (NDE).
Kuna Chrisitians, Hindu, budha, atheists, Muslims etc...
There are plenty of them...

I can tell hata the very Muslims wasiomjua YESU kristo wala kuhubiriwa habari zake, wanakiri kukutana na YESU after death.

Sio Muhamadi wala Allah wala kiumbe gani. Bali YESU kristo pekee.it is not a function of brain.
It is otherworld dimension.
It means YESU ndiye kilakitu hapa duniani.
Heri kuwa na YESU kuliko vyote hapa duniani.

Kumbuka baibo na Koran zinakiri kuwa YESU tu hai.

Nb: yupo aliyedai Kumwona Muhammad anateseka na moto vibaya sana.

mtumishi 2013 inatupasa kumshuhudia YESU naye pia alisema, "atakayenikana nami nitamkana mbele ya BABA yangu"
Dada jane hapaswi kuogopa kukiri utukufu wake
 
Last edited by a moderator:
Kwa nn saudia hawamegi hayo mabilioni na kuwasaidia waislamu wenzao wa tz waanzishe mahakama ya kadhi?
Wanakuja na kuwajengea tu misikiti mikubwa kwa gharama kubwa ambayo utakuta ina waumini watano.
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS

Hakika M'mungu humuongoa yule amtakaye,na ktk kumuongoa huko humuongezea fahamu ya kutosha,hakika ipo cku utakuwa ni miongoni mwa waliongoka kwa mapenzi ya Allah,jambo la kusikitisha kabisa ni kwa kwamba unauwezo mkubwa wa kusoma na kuandika lkn pia uwezo mkubwa wa copy & paste.Kibaya zaidi uwezo mdogo wa kuchangua vile unavyo copy & kupaste.

Hakika ni yeye tu ndio mjuzi wa kila jambo na "In Sha Allah" ipo siku utaongoka.
 
Mkuu wa chuo cjapinga hy maandiko yk na yote yp right ila ninachopinga mm ni kubishana na watu wa mataifa ambao ht wanapoishuhudia Quran asilimia kubwa hawaelewi ht kilichoandikwa dat means wamefungwa wacjue mambo vya ukweli..so there is no need let them believe in their stupidity,I hate the way thy abuse our Savior Jesus Christ who saved all of us...together Mr??
 
2013 I can't force to believe wat am believing hy Quran unayoishuhudia I believe unaifata kwa mkumbo mn najua ht kuielewa huielewi mpaka ufafanuliwe ss unahic kuna atakayekufafanulia ukweli while anataka kukufanya umuamini??biblia yng inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"you are among them...unasema dini ya ukristo haitoi kwa uwazi vitendo vibaya how???mbn ndo dini pekee inayocmamia maadili mema?MF mdogo tu kwa issue iliyotokea Mbagara ya mtoto kukojolea msaafu mliona mlivyofanya upumbavu?issue ya watoto makanisa yakachomwa how,why?hamna jibu la mcngi do you think ingekua imechomwa mickiti ingekuwepo amani hd sasa lkn ukristo umefundisha Upendo na Msamaha ndo mn hatukulipiza kisasi...ss hp utanishawishi vp eti dini ya uislamu unafundisha kwa uwaz vitendo vibaya??kwakuwafanya mlipize kisasi??we ndo utafakari na uchukue hatua mn utakuja kujuta whl there is no time
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom