Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
Hakuna unachoweza kuhoji wala kujadili kwenye uislamu. Wanaofanys hivyo badala anaitwa apostacy, islamafobia, nk. Ndio maana hao wazungu sa UN wangemuuliza leo hii Muhammad kwanini atumikishe watu utumwa.
Utumwa mbaya ni wa kukataa kuhoji kwa kisingizio kuwa utapoteza imani. I can't help ya.

.........pengine wewe ungehoji Uhalali wa picha ya Yesu !?....hivi ni yeye kweli !:hand:
 
Kilaini kaona pesa ya moto, anataka kurudisha !........serikali inapeleka mahakamani watu woote waliohusika na Escrow na Waziri Muhongo, Tibaijuka na Mwanasheria wamejiuzulu ! huo uhalali wa hiyo pesa uko wapi !? :yawn:

Serikali ya ccm iliwahi kumfunga Aden rage tu kwa kula pesa za soka. I think haitatokea tena.
 
.........pengine wewe ungehoji Uhalali wa picha ya Yesu !?....hivi ni yeye kweli !:hand:

Good comment; hiyo naweza kumhoji hata aje papa Francis na sitegemei kupigwa panga wala kuchukiwa na waumini wa wakristo wenzangu wala kuchukiwa na Yesu kwa kuuliza swali...
But on your turn You can't get out safely.
 
Good comment; hiyo naweza kumhoji hata aje papa Francis na sitegemei kupigwa panga wala kuchukiwa na waumini wa wakristo wenzangu wala kuchukiwa na Yesu kwa kuuliza swali...
But on your turn You can't get out safely.

haaa....haaa...haaa ! Siku zote Waislaam wakiendesha Mikutano ya Hadhara ya Kidini kuna session ya kuuliza maswali.
Hujawahi kusikia 'Yahaya mpe huyoooo !'.........na majibu hayatoki kichwani kwa mtu/muhubiri. Lazima yatoke Katika Qur'an au Biblia. Ingia You Tube mtafute Sheikh Zakir Naik uone anavyowazambaratisha Mabaniani na miungu yao ya kuchonga na kitabu cha cha Geeta.
Your turn: Hivi unaweza kumhoji Gwajima kuhusu ile misukuree anayo ifufua !?
 
..........hebu nitajie Sheikh mwenye 'Hammer' au Chopper !?.......achilia mbali Carina ! 2013

Marehem Shekh yahya tu alikuwa anamiliki "hama"..

Kwanza unatakiwa uwe unaelewa tofauti (mentality)kati ya rich na poor.
Rich people hawahangaiki na show off kama poor. Maskini aki pata matakwe ulia mbwata
Rich people owns real estate but poor are looking for gold.
Si ajabu kumkuta bakharesa na mengi hawana magari ya hammer but that doesn't make them poor.
Kazi ya U-pusher na U-drug dealer ni hatari huwezi kuifanya ukiwa huna pesa ya kueleweka. Kuanzia kuhonga n.k.
 
Last edited by a moderator:
Marehem Shekh yahya tu alikuwa anamiliki "hama"..

Kwanza unatakiwa uwe unaelewa tofauti (mentality)kati ya rich na poor.
Rich people hawahangaiki na show off kama poor. Maskini aki pata matakwe ulia mbwata
Rich people owns real estate but poor are looking for gold.
Si ajabu kumkuta bakharesa na mengi hawana magari ya hammer but that doesn't make them poor.
Kazi ya U-pusher na U-drug dealer ni hatari huwezi kuifanya ukiwa huna pesa ya kueleweka. Kuanzia kuhonga n.k.

Mkuu unaongea maneno mazito sana ....

Tatizo unaemwambia hata kutafakari hawezi!
 
Mkuu unaongea maneno mazito sana ....

Tatizo unaemwambia hata kutafakari hawezi!

Ha ha ha kweli mtumishi; wengine tumeshawahi Tanua na watoto wao mitaani. Wakiendesha V8, Mercedes nk.
Ila hatusemi tu kwakuwa vijana wao ni watu Wa watu sana tu.
Vijana wao wako.kimarekani zaidi.
Wao wakishamwona shekh ana miliki Datsun old model na Carina wanajua kila MTU yu maskini.
Wangejua!!
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS

Tanzania au nchi nyengine imeshindwa nini au imezuiwa na nani kutafuta kitega uchumi cha aina hiyo? some kind of thinking ni aibu sana, heubu muwe mnatafakari kabla ya kupost jamaniiiiii, mnajitia aibu.
Hija ni kwa waislamu pekee, wewe ambae si muislamu inakuhusu nini? tena wanaotakiwa kuhiji ni waislamu wenye uwezo (LIMANIS TATWA3A ILAYHI SABILA) mafakiri na masikiri hawawajibikiwi na kuhiji.
post yako inaonyesha kiwango cha ujinga ulichonacho katika akili yako.
try to be wise sometimes.
 
Bila shaka akili hizi ndio zilezile zinazo amini kua Miungu ni Watatu, Pia Mungu aliwahi kuteswa na viumbe wake, halafu akafa na akafufuka siku ya tatu.
Hivi wewe unaweza sema Allah ni akbar lakini hawezi kuwa na Mwana bila ya kupitia kwa Allat? Huoni unafuata a weird demigod claiming to be your diabolical deity?
 
Hahahahahahahaha, akawapa na ahadi ya danguro pamoja na mito ya pombe...

Jamaa wameanza kubwia ulabu hapa hapa duniani. Una mambo matamu hapa.

Quran 4 :43. Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali MMELEWA,………

Hii aya haikatazi pombe bali inatoa ushauri juu ya waislam ambao walikuwa wana Sali huku wamelewa.


Aya zinazoruhusu pombe ktk Quran
Quran 16: 67. Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ULEVI na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili


Quran 47:15. Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ULEVI yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?


Je hadithi za mtume muhamad zinasemaje kuhusu pombe?
Hadithi au Sunnah ni maneno na vitendo ambavyo Mtume Muhammad alikuwa akisema au akifanya katika kipindi chake cha utume. Hadithi hizi ni moja ya miongozo ya imani kwa Waislamu. Hadithi hizi zinajumuisha pia mambo aliyoyaona, kuyasikia au kuyatenda katika muda wa utume. Na hadithi zilikamilika chini ya usimamizi wa Makhalifa wa Abbasid miaka 200 baada ya muhamad kufa.


Muhamad atumia mvinyo
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA"

Muhamadi huyooooooooooooooooooo
 
Hio nafasi alionipa mimi kwanini asiichukue yeye wakati wanamuua pale msalabani mpaka akaanza kulia na kusema "Mungu wangu Mungu wangu ! Mbona umeniacha?

Km yeye ni Mungu huyo aliyekuwa anamlilia ni Nani?

Mkuu, hivi ile picha ya last Supper nani aliipiga? Nani anaeijua sura ya Yesu hata amchore????

Nani alieichora wa kwanza?????


Nachojua mm kuna upagani ndani ya Ukristo, kuna watu wanatengeneza mambo makusudi ili wachache kama nyie muingie mkenge.
 
Mkuu, hivi ile picha ya last Supper nani aliipiga? Nani anaeijua sura ya Yesu hata amchore????

Nani alieichora wa kwanza?????


Nachojua mm kuna upagani ndani ya Ukristo, kuna watu wanatengeneza mambo makusudi ili wachache kama nyie muingie mkenge.

Ile picha HAIKUPIGWA! Bali Ilichorwa.

Na ukienda VATICAN ndani Ya KANISA la PAPA utaikuta Imejaa Ukuta mzima!

Hao ni Christian Historian ndio waliochora hizo picha.
Sasa hilo swali Kawaulize Wahusika pale VATICAN.
 
wakuu nikweli ile nyama ya msaada kutoka hija uko uarabuni ufikishwa tanganyika ikiwa imeshaharibika wakati nasoma kule bagamoyo tulipewa pale chuoni kwetu na ule msikiti wa yule mwarabu tajiri tuliarisha chuo kizima uroho wetu ulituponza
 
imeumbuka mecca au umeumbuka wewe DA DON..??
makka ingekua tanzania pia watu wangekuja tu na mapato yakapatikana... mbona wewe unalipa nauli kwenye daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine tena ndani ya jiji au hakuna mapato hapo..?? ulitaka waende kwa ngondi.?? vitu vingine tuwe tunafikiria kule ni nchi na watu wanaishi.. kwa mfano wewe hapa bongo unaweza kwenda kula na kulala hotelini bila kulipia.?? na huna mwaliko au ofa yoyote kutoka kwa hyo hoteli.. suala la gharama lazima ziwe kubwa maana hao ng'ombe hawapatikani kirahisi ni kama ambavyo korosho ni ghali kuliko karanga... labda kama una lengo jingine katika hii thread
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom