Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!

Status
Not open for further replies.
mtoa hoja amegubikwa na majungu tu juu ya waislamu na uislamu.Muislamu kutoa mali yake ili akatekeleze ibada kunamuuma nini? Na saudia kukusanya kipato kutokana na huduma inazotoa kwa mahujaji inakuuma nini? mbona nyie wagalatia mso na akili mnatumia pesa nyingi kununua vifaa vya kwaya kutoka katika mifuko ya waumini hulisemei?! Bila shaka mtoa hoja anafikra finyu na potofu dhidi ya uislamu na waislamu.
 
mtoa hoja amegubikwa na majungu tu juu ya waislamu na uislamu.Muislamu kutoa mali yake ili akatekeleze ibada kunamuuma nini? Na saudia kukusanya kipato kutokana na huduma inazotoa kwa mahujaji inakuuma nini? mbona nyie wagalatia mso na akili mnatumia pesa nyingi kununua vifaa vya kwaya kutoka katika mifuko ya waumini hulisemei?! Bila shaka mtoa hoja anafikra finyu na potofu dhidi ya uislamu na waislamu.

very poor comparison, that unveils your brain coordination
 
Hivi kati ya waislam na wakristo ni wakina nani ambao wanabuluzwa katika ibada zao?.Si tunaona makanisani mnavyo wanyenyekea wachungaji Mpaka mnawaita baba mchungaji?. kwa taarifa yenu najivunia kuwa muislam kwa sababu dini yangu ndio bora mbele ya mwenyezi mungu,quran ndo kitabu pekee dunia ambacho hakija fanyiwa editing na mtume wangu ndo kipenzi cha mwenyezi mungu.mtake ni hivyo msitake ni hivyo.
Mods msiiutoe huu uzi tutapambana kwa hoja mpaka mwisho.
 
Hivi kati ya waislam na wakristo ni wakina nani ambao wanabuluzwa katika ibada zao?.Si tunaona makanisani mnavyo wanyenyekea wachungaji Mpaka mnawaita baba mchungaji?. kwa taarifa yenu najivunia kuwa muislam kwa sababu dini yangu ndio bora mbele ya mwenyezi mungu,quran ndo kitabu pekee dunia ambacho hakija fanyiwa editing na mtume wangu ndo kipenzi cha mwenyezi mungu.mtake ni hivyo msitake ni hivyo.
Mods msiiutoe huu uzi tutapambana kwa hoja mpaka mwisho.

Wakristo hatuburuzwi kaka pia ni kwambie kwa Biblia ni kitabu bora cha Mwenyezi Mungu ndio maana ndicho kinachoongoza kusomwa na watu wengi duniani pia ndio kitabu kinacho hubiri amani na upendo kusameheana hiyo ndio Biblia
 
Wakristo hatuburuzwi kaka pia ni kwambie kwa Biblia ni kitabu bora cha Mwenyezi Mungu ndio maana ndicho kinachoongoza kusomwa na watu wengi duniani pia ndio kitabu kinacho hubiri amani na upendo kusameheana hiyo ndio Biblia

Part 2 Siriwazi ya Ushoga wa Vatikano:

Naked but for the towel around his waist, a man of a certain age sat by himself, bent slightly forward as if praying, in a corner of the sauna at a gym in central Rome. I had not met this man before, but as I entered the sauna, I thought I recognized him from photographs. He looked like a priest with whom I’d corresponded after mutual friends put us in touch, a man I had wanted to consult about gay clerics in the Vatican Curia. My friends told me that this priest was gay, politically savvy, and well connected to the gay Church hierarchy in Rome.
But this couldn’t be that priest. He had told me that he’d be away and couldn’t meet. Yet as I looked at the man more closely, I saw that it was definitely him. When we were alone, I spoke his name, telling him mine. “I thought you were out of the country,” I said. “How lucky for me: you’re here!” Startled, the priest talked fast. Yes, his plans had changed, he said, but he was leaving again the next day and would return only after I was gone...

The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair
 
Moderator habari ya kweli ya Vatikan umeifuta mbio mbio.

Sisi habari za uzushi na uongo zinazohusu Waislam wala hatutosema uzifute na usizifute kwa sababu, tunazijuwa ni za uongo na ndiyo tunapata kuutangaza vizuri Uislam.

Leo kabla ya dakika 10 nimeweka habari za kweli kabisa na za uchunguzi wa kina uliofanywa na Mkristo na jarida la Kikristo ndiyo limechapisha na nimeweka link zote, mmeufuta, kwa kuwa tu linawaumbua Wakatoliki jinsi ushoga ulivyokubuhu huko Vatikan.

Kwa kuwa hii nyuzi tuna uhakika hamuifuti basi nnaweka link hapa, watu watapitia na kujisome hayo maovu ya makao makuu ya kanisa katoliki Vatikano:The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members | Vanity Fair

Jazakullah kheir dada Faiza. Leo umetufumbua macho sana. Wengi hawajui kwamba ushoga ni 'culture' ya kikatoliki iliyopelekea mpaka mashoga kuzawadiwa ' ukadinali' ili watumike vizuri. Mmmm nauliza tu naomba wanijibu wenye kufahamu 'baba yetu kadinali wa hapa bongo amepona? Au nyama ya wakubwa wa vatican? Ha ha ha ha.
This is very serious khaaa. Haya semeni sasa!!!!!!++.
 
Wakristo hatuburuzwi kaka pia ni kwambie kwa Biblia ni kitabu bora cha Mwenyezi Mungu ndio maana ndicho kinachoongoza kusomwa na watu wengi duniani pia ndio kitabu kinacho hubiri amani na upendo kusameheana hiyo ndio Biblia
Ukiona kitu chatiwa VIRAKA VINGII fahamu kuwa HAKIFAI!
 
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na kuacha matrilioni ya pesa katika mwaka na mwezi husika tu wa michuano. Hivyo baadhi ya viongozi wa nchi huwa tayari hata kuhonga mabilioni ya pesa ili waweze kushinda zabuni, Its amazing!

Sasa turudi kwenye mada. 'Uchunguzi huru' uliofanywa na 'mdau' mmoja wa maendeleo, umegundua kwamba 'Haj to Mecca' ni kitega uchumi No.2 kinachoongoza kwa kuliingizia taifa la Saudi Arabia mapato makubwa zaidi tena ya fedha za kigeni($$$$$$)..!, ikiongozwa na Kitega uchumi cha mafuta (crude oil) kinachoshika nafasi ya kwanza kwa kuingiza mapato mengi. Infact nina haki ya kusema 'Haj to Mecca' ni uti wa mgongo wa pili wa Saudi arabia. Its a Lucrative bussiness!

Mamillioni ya mahujaji waliojinyima kula, kunywa, kusoma na kuvaa vizuri (especially kutoka nchi masikini kama tz), hufunga safari kuelekea Mecca kila mwaka ambapo hulipia ticket za ndege kwa gharama kubwa sana, hapa mashirika ya ndege yanayolipa kodi Saudi Arabia huingiza mapato makubwa na hivyo kulipa kodi kubwa zaidi! Mahoteli ya Saudi arabia nayo huchangamka mno kipindi hiki, Mahujaji humwaga mamilioni kulala kwenye accomodation za aina na viwango mbalimbali, kwa style hii huwa wanachagiza uchumi wa Saudi kwa kiwango kikubwa sana, wakati huo huo dada zao waliopo Leopard tours (kwa aliyeipakata serikali a.k.a Fazal) wanapoteza ajira na kunyanyaswa kwa ukosefu wa wageni. Unbelievable!

Bila shaka, mahujaji hawa pia humwaga mamilioni zaidi huko Saudi kwa matumizi ya huduma na bidhaa mbali mbali, mfano usafiri, mawasiliano, chakula na mengineyo mengi! Daah..! Saudi mna bahati sana, 'mungu' awape nini?! Kinachoniuma ni pale mahujaji hao wanaponunua mamilioni ya ng'ombe wazima na kuwachinja halafu hawawali, badala yake nyama ile ni kama unaitoa bure kwa wa Saudi wakale kwenye mahekalu yao kwa kufuru! (rejea picha ya sahani kubwa ya pilau mithili ya swimming pool iliyojaa nyama ya ng'ombe wa kienyeji). Inaniuma zaidi pale nyama za ziada ndio zinaletwa huku kwenye misikiti kama msaada eti, ambapo akina mama wa hali ya chini hupanga foleni kupokea nyama hiyo ambayo ni reject na hatari kwa afya yetu! TFDA muwe makini! Sheer humiliation! (Usifanye mchezo na Imani.Ni bangi mbaya sana!)

'Mdau' huyo ameweka hadharani kwamba, kwa mzunguko mmoja, 'Haj to Mecca' huliingizia taifa hili kiasi cha Trillioni 125 kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na hapa ikijumuisha mapato katika mitizamo na angle zote possible! ITS SHOCKING!

WAY FOWARD: Hijja iwe ya mzunguko kama lilivyo kombe la Dunia ili na nchi nyingine masikini kama Tanzania tuweze kufaidi matunda ya biashara hii iliyoshushwa, nasi tujikwamue kiuchumi. Nawasilisha.

DON FRANCIS
Nawewe si Washauri wenzako WABANDIKE KIRAKA kingine kwenye kitabu chenu hija iwe AFRIKA na si Jerusalem.
 
Sasa imeumbuka nini? Unanchekesha.

Au roho imekuuma kusikia Makkah wanaingiza matrillioni wakati wa Haj? Utaungilika sana. Hiyo ni nchi iliyoombewa na Ibrahim na dua yake kukubaliwa:

Qur'an 14:37. Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu Mlezi, ili washike Sala. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku matunda, ili wapata kushukuru. ***

“O our Lord! I have made some of my offspring to dwell in an uncultivable valley by Your Sacred House in order that they may perform As-Salat. So fill some hearts among men with love towards them, and (O Allah) provide them with fruits so that they may give thanks.”

(Quran, Surah Ibrahim, Verse, 37)

Ndugu yangu sasa hivi unaonesha ukomavu wa hali ya juu katika kujenga hoja. Nimekupenda ghafla bibie. Hakuna kejeli zaidi ni kuelimisha. Uendelee na moyo huo.
 
Duh!!God i know you live,but Im not sure about these religions brought up with people who wanted to manipulate the world.To confuse the minds of ur pple,who were once on th top of mountains praying and celebrating u.Look the way hv been confused with colonialist,capitalist and world rulling classes.Few smart pple changed ths world.Th poor contribute to th rich to bcome richer,pple submit themselves to pple to be enslaved bcoz of religion.No love,no peace,no patience,no unity.The strongest philosophy of devide and rule through religion won all.Only th poor believe much in religion as th only way to come to u.In Saudia,Oman,Kuwait ect they ar not into religion as poor from Africa do.The Europeans ar no longer there,Israel has kept its religion ever since.Jews religion is still stronger.For us Africans no more Oracles.At lst few Chaggas still do.....God hv mercy to these paupers,deaf,dumb confused people.

Thats where your thinking capacity has reached? it did not even cross your nose yet. Think.
 
Hivi, ni wapi katika hii post nimetuamia neno Islam/Muslim?! Mbona mnalazimisha ionekane kwamba nina chuki na uislam?! Kinachoniuma nimeshakiweka wazi, nyie mlitaka niumie kimya kimya?! Mlitaka nisiseme ukweli kuhusu biashara hii?! Mijitu ya Afrika shida sana. Rejeeni thread yangu ya 'utumwa katika Picha..'
 
Ukiona mkristo ana kwenda Israel basi ujue anakwenda huko kama mtalii kwasababu Mungu wetu yupo kila eneo la dunia hii yeye ndiye aliyeiumba hivyo si rahisi kuteua eneo fulani eti ni takatifu kuliko eneo lingine.Mungu wetu anasikia kila lugha ya makabila yote hafungwi na lugha moja kwasababu huo nao ni ubaguzi wa wazi.




Ni bora kufa mwili kuliko kufa kiroho sasa wewe umechagua vyote viwili kwa wakati mmoja.

Ni kweli kabisa kule watu wanaenda kutalii na kujionea kwa macho mambo ya historia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom