FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
Hija ni biashara kama biashara nyingine, sema Mohamad aliiboresha na kuifanya Makkah iwe Kituo Kikuu cha Utalii wa dini ya Kiislam. Mohamad japo haktjua kusoma na kuandika lakini alikuwa ni mjasiliamali mzuri maana siyo kazi ndogo kuwaaminisha mamilion ya watu kwamba kuligusa na kulisujia Jiwe jeusi unapata dhawabu. Pia biashara ya kununua mawe ya kumpiga Shetani, huwa nashangaa huyu shetani anapigwa miaka yote bado yuko pald pale? Dah! kweli Imani ni upofu.
Hii inasemekan iliandikwa kabla ya ujio wa Muhaamd slla Lllahu alayhi wasalaam, unasemaje?:
Makkah and Hajj in the Bible
Psalm 84 1-6
How lovely is your dwelling place, O Lord Almighty!
My soul yearns, even faints, for the courts of the Lord;
my heart and my flesh cry out for the living God.
Even the sparrow has found a home, and the swallow a nest for herself, where she may have her young- a place near your altar,
O Lord Almighty, my King and my God.
Blessed are those who dwell in your house;
they are ever praising you. Selah
Blessed are those whose strength is in you,
who have set their hearts on "pilgrimage."
As they pass through the Valley of Baca,
they make it a place of springs;
the autumn rains also cover it with pools.
Soma zaidi: Seeking The Truth: Makkah And Hajj (Pilgrimage) In Bible