Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,038
- 13,467
huu ugomvi sijui nan atausolve! mara vibamia ,mara magogo sijui wengne wana makwapa kama ugoko wa Nsajigwa!
Kwani we unaona vipi?umekunywa maji ya choo?imehusu nini unitaje?Unanijua?kwan vp mkuu
Duh, habari zenu jamani .napitapo
Kwani we unaona vipi?umekunywa maji ya choo?imehusu nini unitaje?Unanijua?
You better do that!!nafuta kauli yangu
Halafu vinatoaga miguno fake pumbaaaaffff thana
Mbaya zaidi gogo afu ana panya aliyekufa afu alikua anakuzungushaa na hela zako kala.
MMU kimenuka heri kule cc tulikozoea ndoa na talaka.
kweli??Wanawake wengi wasemaji sana na wanaojisifu sana kuhusu mahaba,hawana lolote kitandani. Hawa wao wamejaliwa maneno tu kama chiriku lakini wakifika kitandani wanakuwa 'magogo'. Wanaweza kuwa warembo,kutembea na kuongea kwa mbwembwe lakini 'magogo'.
Wanawake wakimya ni tofauti.Wao hawana maneno mengi. Hufanya mambo makubwa sana kitandani. Wakimya wa maneno ni waongeaji wa kimatendo. Wanaume wenzangu chungeni sana wanawake wanaoongea kama wamemeza kanda za pwagu na pwaguzi. Hawana vitendo. Ni magogo.
Nikiwa kama mshauri wa mambo ya kijinsia,nimelalamikiwa sana na wananume ambao wake zao wanaongea kama mashine za kusaga. Ni mabibi-majivuno tu. Hata humu JF wapo wa aina zote mbili.Mabandiko yao yanajieleza.
Nimemuuliza mwanamke mmoja hapa pembeni kanijibu hivi
mwanzo wa kunukuu
"sasa kama nyie wanaume mnavibamia sie tujitoe jasho la nini"
mwisho wa kunukuu