Mdomoni wajuaji lakini kitandani 'magogo'

Mdomoni wajuaji lakini kitandani 'magogo'

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Wanawake wengi wasemaji sana na wanaojisifu sana kuhusu mahaba,hawana lolote kitandani. Hawa wao wamejaliwa maneno tu kama chiriku lakini wakifika kitandani wanakuwa 'magogo'. Wanaweza kuwa warembo,kutembea na kuongea kwa mbwembwe lakini 'magogo'.

Wanawake wakimya ni tofauti.Wao hawana maneno mengi. Hufanya mambo makubwa sana kitandani. Wakimya wa maneno ni waongeaji wa kimatendo. Wanaume wenzangu chungeni sana wanawake wanaoongea kama wamemeza kanda za pwagu na pwaguzi. Hawana vitendo. Ni magogo.

Nikiwa kama mshauri wa mambo ya kijinsia,nimelalamikiwa sana na wananume ambao wake zao wanaongea kama mashine za kusaga. Ni mabibi-majivuno tu. Hata humu JF wapo wa aina zote mbili.Mabandiko yao yanajieleza.
 
Wanawake mwaka huu mmmh mtakomaje kama Demu wa Ngassa vile

Ila siri ni hii hapa Mwanamke akijiona mzuri na anasifiwa atakomaa na pale anaposifiwa ili azidi

Mwanamke wa Kawaida si mzuri sana na wale wabaya . Kitandani ndo utawajua wao ni nani... Wanajua mambo acha kabisa wengi wanajaribu kujituma ambapo hawasifiwi...
 
Mi dem wangu ni kama kameza maik lkn timbwili lake ni kama niko likizo halafu inategemea na nondo yenyewe zingine mwanamke hathubu kuipandia badala yake anatafuta mbinu ya kuokoa mbawa zake
 
wanawake wengi wasemaji sana na wanaojisifu sana kuhusu mahaba,hawana lolote kitandani. Hawa wao wamejaliwa maneno tu kama chiriku lakini wakifika kitandani wanakuwa 'magogo'. Wanaweza kuwa warembo,kutembea na kuongea kwa mbwembwe lakini 'magogo'.

Wanawake wakimya ni tofauti.wao hawana maneno mengi. Hufanya mambo makubwa sana kitandani. Wakimya wa maneno ni waongeaji wa kimatendo. Wanaume wenzangu chungeni sana wanawake wanaoongea kama wamemeza kanda za pwagu na pwaguzi. Hawana vitendo. Ni magogo.

Nikiwa kama mshauri wa mambo ya kijinsia,nimelalamikiwa sana na wananume ambao wake zao wanaongea kama mashine za kusaga. Ni mabibi-majivuno tu. Hata humu jf wapo wa aina zote mbili.mabandiko yao yanajieleza.

mtoa mada wewe ndo ambaye hujui hata unachokifanya,
unajidai ndimu yangu inakoza kumbe hata maji haina, muolonjo huo kila anayeuona anakuonea huruma manake mkufu.
 
Nafungua Ghym maeneo ya kinondoni kwa ajili ya kujifunza "winding up your waist " tu na ni kwa wadada tu-nadhani baada ya hapo threads za kukashifiwa MMU zitaisha na pia Heshima ya ndoa zenu itarudi mara dufu,ada yake laki 500000!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwaka huu mtavunjana miguu humu kwa mipambano.
 
Pamesha nuka humu,ngoja niende kwingne...watakomaje mwaka huu..
 
Halafu vinatoaga miguno fake pumbaaaaffff thana

hahahaaaa!!bila hivyo tutawaibiaje sasa
tena sio miguno ni ukelele wa raha kumbe feki
miguno ni wanaume ndio hutoa!!mi ndukiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
 
Ha ha ha debe tupu hilo dada lina kishindo...

huku uswekeni tunawaita wanaume kama mikufu...............
kama hajui maana yake akasome vitendawili vizuri atajua maana yake nini.
 
Back
Top Bottom