Kati ya Mzumbe na CBE, Chuo gani kizuri kwa Shahada ya Uzamili katika Masoko?

matyazo

Senior Member
Oct 29, 2014
109
31
Wadau mambo vipi?

Mdogo wangu anataka kusoma Shahada ya Uzamili katika Masoko (Masters in Marketing).

Je, achague chuo gani kati ya hivyo viwili chenye quality education?
 
Masoko yenyewe yako wapi ndugu yangu, bora atafute kozi za kilimo au kufuga walahi
 
CBE?Nenda kwenye vyuo vikuu au taasisi za uhasibu utasoma kwa kuheshimiwa utapata elimu nzuri.
CBE bado hakijajipanga kwa huduma zao sio nzuri,ukitaka huduma kufokewa au kufukuzwa au kukatiwa simu ni jambo la kawaida kwao but fanya utafiti kwanza kwa wanafunzi au Nenda chuoni ujifanye Kama mgeni unaweza kuanza kupata majibu sehemu utayoenda kusoma.
 
Back
Top Bottom