Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

Alikuwa chuo gani. GPA ya 2.9 ni ndogo ila sio reflection ya uelewa wake na uwezo wake wa kuchanganua mambo. Kwanza ajira zinatolewa kwa GPA ndogo ya hapo, taasisi kubwa ndio zinataka 3.5 na kuendelea
 
Eti wadau huyu ataajiriwa kweli au aendelee na mambo mengne?
Acha ujinga. GPA sio kigezo cha "creativity na innovation" katika kazi. Hujawaona wenye first class, degree,masters, phd lakini kichwani na utendaji ni bure kabisa? Hivi ingekuwa "Gpa, Udaktari, Uprofesa much matters in life" si ndio wangekuwa na maisha bora zaidi ya wengine?

Huoni gepu lililopo kimaisha kati ya waliosoma sana, elimu ndogo na wasiosoma? Akina nani wametusua kimaisha? Nani huwa miradi yao ni kufuga mbuzi,kondoo,bata,ng'ombe,kuku,njiwa, researches zisizo na impact nchini n.k?

Apambane na atatusua tu kimaisha.

Alisikika mlevi mmoja wa komoni pale Igunga akisema, "kusoma sana ni kuongeza ujinga badala ya kuupunguza (elimu kubwa ni inversely proportional with real life in streets)".
 
alisoma UDSM au hivyo vyuo vingine vya mchongo? (kidding). nikija kwenye mada, kwenye sheria GPA is just a number. huu ndio ukweli halisi. unaweza kuwa na GPA nzuri sana, ukazidiwa pesa na mwenye GPA ndogo. wanasheria wengi wazuri unaowaona mtaani GPA zao ni ndogo sana, jambo linalowafanya wapambane sana mahakamani na kupata uzoefu haraka. tofauti na wanaojiona vipanga, wanafikiri ukija huku mtaani utaitumia ile GPA kushinda kesi ya mtu. kwa taarifa tu ni kwamba, GPA inaishia pale unapoondoka chuo, huku mtaani haipo.

exception: GPA ni ya muhimu sana kuwa kubwa kama unataka kuwa mwalimu wa chuo, au kama unatafuta scholarship ya MASTERS. hapo watahitaji kubwa. pia ajabu ni kwamba, kwa uzoefu, waalimu wengi wa vyuo vikuu hawana uzoefu wa sheria (hawana legal practice), hata hao wanaofundisha law school, wapo very backward kwenye practice (ondoa hao kina chuwa na wengine ambao walipractice muda mrefu). wale wengi ambao wameajiriwa kama waalimu chuo, nakuhakikishia huku mtaani huwa tunawaonea huruma, weupe mno hadi unajiuliza ilikuwaje akanifundisha huyu? shida ni kwamba, hawana muda wa kusoma mambo mapya, wao wapo tu kwenye HCD (high court digest) hadi leo, kuna madogo mtani huko, kama yule MENDEZ ni dogo tu ila uwezo wake amewazidi hadi maprofesa wa chuo, kwasababu tu amededicate kwenye practice na kusoma. mwambia asipate hofu, mtaani atapata pesa nyingi tu, akili na uchangamfu ndio utamtoa asiwe bwege. kina MKono ukiuliza GPA zao, utakimbia, lkn kwenye lawfirm zao waliajiri hadi maprofesa.
 
Acha ujinga. GPA sio kigezo cha "creativity na innovation" katika kazi. Hujawaona wenye first class, degree,masters, phd lakini kichwani na utendaji ni bure kabisa? Hivi ingekuwa "Gpa, Udaktari, Uprofesa much matters in life" si ndio wangekuwa na maisha bora zaidi ya wengine?

Huoni gepu lililopo kimaisha kati ya waliosoma sana, elimu ndogo na wasiosoma? Akina nani wametusua kimaisha? Nani huwa miradi yao ni kufuga mbuzi,kondoo,bata,ng'ombe,kuku,njiwa, researches zisizo na impact nchini n.k?

Apambane na atatusua tu kimaisha.

Alisikika mlevi mmoja wa komoni pale Igunga akisema, "kusoma sana ni kuongeza ujinga badala ya kuupunguza (elimu kubwa ni inversely proportional with real life in streets)".
Tajiri umesema ukweli kabisa Tajiri, GPA kubwa (best academics merits) na kupata kazi na kuwa na uwezo mkubwa kichwani ni njia tatu tofauti kabisa,

Kuwa watumishi aina mbili yaani
(1) Academicians (mtaaluma)
Hawa wanapimwa kwa best academics achievements professional experience kwao sio assets saana kwao, mara nyingi wenyewe hawako vizuri kwasababu wanasoma kwajili ya knowledge delivery Hawa ndio lecturers wetu na cheo Cha mwisho kabisa upande wa Academicians ni professor, kama unataka kuwa academician kwa GPA Yako HAIWEZEKANI, pia huwa hawana pesa, MISHAHARA YAO YA KAWAIDA mfano the highest salary pale udsm ni 6M
OUTPUTS Yao ni Knowledge delivery

(2) professionals hawa wanapimwa na professional working experience hapa GPA haisadi kabisa Tajiri hapa ni KNOW HOW na mara zote genius wako hapa mara nyingi intelligent people huwa wana academics mbovu kwasababu huwa wanafanya mambo ambayo lecturers hajui hivyo kumpa marks ndogo kwa sababu hajui kile alichokiandika,
WANAPIMWA KWA PROFESSIONAL WORKING ACHIEVEMENT AND EXPERIENCE, PIA KUMBUKA GOOD ACADEMICS RECORDS AND MARKS US THE OUTPUTS OF PREPAREDNESS AND ENVIRONMENT WHILE INTELLIGENCE UNAPEWA NA MUNGU NATURALLY.

hapa as longer as una bachelor degree certificate unapata kazi yaaani hapa GPA sio issue kabisa Haina maana kabisa.
Hapa ndio Kuna pesa na mishahara mikubwa hapa officer anayeingia unakuta analipwa mil 5 hapa Tanzania, Kaka yangu alipata gpa ya 3.2 Mzumbe university ila now Yuko ameajiriwa kama data scientist United nations HQ new York city.

Kama unataka pesa na career capacity improvement and advancement nenda professional category while kama unataka maisha ya kawaida na kupelekwa Ulaya kusoma nenda academician category.

NOTE: NI MWAKA WA KUMI SASA BEST STUDENTS WETU UDSM YUPO kitaaa Hana kazi ya maana na maalum anasuburi interview ya watu wachache eti kwa sababu ana GPA kubwa. Kupanga ni kuchagua your life your choice.

Conclusion.
Hiyo GPA ni kubwa saana Tajiri kubwa saana sio tuuu TRA Bali hata United Nations new york HQ anapata kazi permanent contract as longer as ameonyesha anauwezo wa kufanya kazi husika.
 
Kupata A ya advance mathematics sio kwamba ndio unaweza itumia hiyo A ya advance mathematics to solve problems wenye uwezo wa kutumia A aliyoipata kwenye advance mathematics to solve problems ndio tunawaita intelligent ambapo Hawa Mungu ndio anawapa intelligence naturally, binadamu hawezi kukupa intelligence hata iweje atakupa academics records nzuri baaasi ila hawezi kukupa intelligence.
 
Thanks mkuu, umemwaga nondo tupu
 
Taasisi kubwa kama zipi, mbona tra wanabeba hadi gpa ya 2.4?
BoT unaenda na GPA ya 2 point something? Labda uwe mchongo. Kuna mahala tukienda kuomba field tunaambatanaisha matokeo na wanaondoa under 3.5 zote sasa hapo sijajua wataichukua vipi 2.9 kazini. TRA ni changanyikeni, ina maelfu ya wafanyakazi, taasisi zenye uhitaji mdogo wa wafanyakazi zinabana vigezo
 
Kampala kuna mtaa mmoja wanachonga hivyo vyeti hata ukitaka GPA ya 4.0 unawekewa hela yako tu. Unapeleka hicho cheti wanakihuisha/update GPA yako.
 
GPA sio ishu wazee ndio hao wamekataa kuachia madaraka , awe mpole tu vinginevyo atatafuta stress tu, kupata kazi za kibongo kunategemea mambo mengi sana including michongo bila hivyo atapata tabu sana , bora awe na mawazo ya kujitafutia nkipato mwenyewe kwa mishe zake lakini sio kuajiriwa.
.GPA siyo ishu.yy aende school of law.atajiajir kwa kufungua kampuni ya Mambo ya Sheria.hatojuta waosomi ni wengi mtaani.
 
Back
Top Bottom