Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 346
Imeonekana kuwa Ndugai hakuwa na uwezo wa kushiriki mdahalo ule.
Kauli zake kadhaa zilimuaibisha yeye, kiti chake, na chama chake. Mifano ni hii:
1. Alikwepa kabisa kujibu swali la Bw Kubenea kuhusu hatua zilizochukuliwa au zitakazochukuliwa kuhusu mbunge/wabunge walioghushi saini za Waziri Mkuu. Na muongozaji Bi Rose hakumkumbusha kulijibu.
2. Alidai kuwa mbunge wa Arusha mjini Mh Godbless Lema hakupaswa kusema kuwa Waziri Mkuu Pinda ni mwongo eti kwa kuwa kiumri Pinda anaweza kuwa baba yake Lema. (Duh! eti mzee hawezi kudanganya!
3. Alijikanyaga kujibu swali la Kubenea kuwa ni kwanini hakumchukulia hatua mbunge wa CCM ambaye pia ni Waziri Mh Lukuvi ambaye anadaiwa kuwasha mic bila ruksa (kosa ambalo ndio lilifanya Ndugai awatoe nje Lissu, Lema na Msigwa).
Alipoulizwa tena na Kubenea kama hapo siku za usoni atawatoa wabunge bila ubaguzi wakiwemo wa CCM au mawaziri wakiwasha mic bila ruksa kadai kuwa eti mic zinaweza kuwashwa kwa bahati mbaya kwa kuguswa na vitabu!