MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

Hivi Mlitegemea Nini kutoka kwa Ndugai? Ndugai bado anaishi katika Ujima

Unajua hawa CCM wanadhani kuwa unaweza Kulinganisha Trekta na Cartapiller Ndugai anapoteza Muda kukandai mavazi ya wanaharakati hivyo ndivyo Chadema wanajiidentify ni vyema asingesema hilo niconfirm uwezo wako ni mdogo sana na nadhani pia ni kwasababa ya kujichanganya na wana CCM alipokuwa shule alikuwa na BUSARA-BIG UP TINDU LISSU.
Mimi Deo Mushi niko na nyie mpaka kieleweke

Ndungai amefanya vizuri sana kuutangazia umma wa watanzania kuwa yeye ana chuki binafsi na CDM hivyo watu hawatatilia maanani maamuzi yake ya kishabiki kuikandamiza CDM bungeni , kwa ujinaga wake alivyokuwa anatoa mipasho huku akipigiwa makofi na wajinga wenzake wa magamba alifikiri ndiyo anaibomoa CDM kumbe alikuwa anajibomoa yeye na chama chake cha kifisadi.

Unasema Ndugai kasema ana nini na Chadema ?...ebu rewind hapo a bit !

Kama kuna mwanachama wakupewa pongezi kunusuru kura milioni 5 katika uchaguzi uliopita ni Lt. dusuf Mahkmba, kuzuia wanachama wenzake(wagombea) wasishiriki katika midahalo iliyoandaliwa kabla ya uchaguzi, rejea mdahalo wa jana, jinsi mwanachama mwenzake na Mahkmba ambaye ameaminiwa na kupewa wadhifa hule anajibu kwa namna ile maswali, basi nina hakika hali ingekuwa mbaya kwa chama husika kama wagombea wangeruhusiwa. Mahkmba aliona mbali sana.

Tatizo la chama cha Mapinduzi ni kuwaachia viongozi wake kujenga ufalme [Empire] ndani ya wigo wa kila mmoja kwa ngazi yake [Watanzania wanasema kila mbuzi atakula kwa ulefu wa kamba yake]

CCM kazi kwelikweli,wakati mwingine inaniwia vigumu nashindwa kuamini inakuwaje chama kikongwe kama CCM kinashindwa kuwa na Wataalamu wake wasiojua usingizi kwa siku kadha wa kadha kuwaza na kufilkilia kiuhalisia [Reality] wananch kwa sasa wanataka nini na nini kifanyike na kwa wakati gani na nani wa kukifanya ili kupunguza mtafaruku dhidi yake na umma.

Kwa usalama wa chama hicho kikongwe na muhimu kwa Nchi kwa kuwa kimekua na dhamana ya KIUTAWALA WA TAIFA HILI kwa miongo kadha wa kadha.Si vyema kikawa ni sehemu ya kuibua mtafaruku wa kusambalatika kwa TAIFA kwa kuwa dhambi hiyo kwao itakuwa kubwa sana.

Japo ni sahihi chama hiki kikatambua kuwa ni asilia [Nature] na hata kisayansi imethibitika kuwa hata biashara upitia mzunguko CYCLE,yanii kuanza kukomaa na kisha kuzeeka,kwa misingi ya kuwa biiashara hiyo yaitaji kuzaliwa upya.TANU NA ASP ni mwanzo wa kizazi kipya cha TANU miaka hiyo.

Kujivua gamba sijui ndio ubunifu mpya wa CCM mpya,na kama ndio picha ya uji mpya wa CCM mpya basi CCM bado ina kazi kubwa sana.Kujivua gamba ambako wengi tunakuona kwa kauri mbiu ya kuwaondoa mafisadi ndani ya CCM.Lakini kumbe kuna mafisadi wa matendo na kauri dhidi ya Wananchi wa Taifa hili.

Hakuna wakati huwa nawasihi CCM kutambua kuwa ili jamii ikubali japo kuwasikiliza kwa uchache ni kuwa na WATU wenye kauri njema na za unyenyekevu usio wa kinafiki na kauri za kejeri kama za waheshimiwa walio wengi ndani ya chama hicho.Kauri Jeuri na kupitiwa na kiburi cha kimadalaka ya kushindwa kutambua kuwa vyeo vyao ni dhamana limekuwa ni ugonjwa kwa Viongozi wengi wa CCM.Wengi wa viongozi hao wamekuwa na ulevi wa kimadaraka [AuthoritativeOpium].Wakijijenga na kuamini wao wamezaliwa daima kuwa viongozi wa kutawala Watanzania,wanajisau kiasi kuwa wengine wanageuka kuwa na damu ya kifalme [Royal blood] ya kuwafanya wengine si chochote katika ujenzi wa Taifa hili.
Alichoonesha Ndugai ni ugonjwa ambao ndio ufisadi mwingine wa Viongozi wa CCM,wamefika sehemu wamejiona wao ni raia namba moja [First Citizen] na wengine wapo kuwahudumia raia wa daraja la kwanza.

Kwa walio makini unamuona Kiongozi hata macho yake na mwili wake unavyozungumza body language [kwa hili Mwalimu alisema unamwangalia machoni unajiuliza huyu nae kweli?].Ndip CCM inakazi ya kuanza kutafuta na kuchambua kwa kiwango cha kasi kubwa kuakisha kuwa kinakuwa na watu walio makini na wenye uwezo wa kusoma nyakati katika kujibu majibu ya Wananchi na si kuzalisha kejeri na kiburi cha madaraka.

Viongozi wote WALIO NDANI YA CCM KIMADALAKA wenye haiba ya UJIVUNI,KEJERI,UKOLOFI,UONGO,USANII,WASIO WAVUMILIVU KWA KAURI, WADANGANYIFU, MATAPELI, WAZUSHI, WACHOYO NA WASIO NA VSION ZA NYAKATI,WANYIMWE DHAMANA YA KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI KAMA MAGAZETI,TELEVISHENINA RADIO [PUBLIC MEDIA] KUEPUSHA WALOPOKAJI.

BADO CCM NI CHAMA MUHIMU CHA KULIVUSHA TAIFA KWENYE KIPINDI HIKI CHA UJIO WA KIZAZI KIPYA CHA JAMII YENYE UELEWA TOFAUTI WA SIASA ZA TANZANIA.JAPO KUFA NI LAZIMA,VINGINEVYO NI VYEMA CCM KUTAFUTA JAWABU KWA KUIBADILISHA CCM KIITIKADI NA KUTOA TAFSIRI MPYA YA ITIKADI YAKE NA HATA JINA JIPYA LA CHAMA HICHO.

Ningekuwa Mukama nisingekubali NDUGAI afanye mdahalo na LISSU kwani kajidhalilisha kwa kuonesha ushabiki wake

LISSU: Bunge la vyama vingi, popote Duniani ni bunge la mivutano na kelele kwa sababu wanawakilisha maslahi tofauti. Watz watazoea, kwani hawajafikia kurushiana ngumi.
...Nadhani watu wasiwe na hofu kuhusu wabunge kutandikana mangumi. Siku zote inapofikia hapo ujue kweli watu wako serious na kinachojadiliwa. Sasa kama mtu anaonekana kupinga mambo ya msingi bila ya sababu ya maana kwa nini asichezee kichapo? ili na wengine wajifunze??............Tanzania ya sasa bila kuwastuastua hawa wazee wa magamba nchi wanaimaliza na wala hakuna anayejali.............

Kuna kitu kizuri hapa,heau tuwe siriaz angalau kwa 25%tu,halafu tuone!

...Nadhani watu wasiwe na hofu kuhusu wabunge kutandikana mangumi. Siku zote inapofikia hapo ujue kweli watu wako serious na kinachojadiliwa. Sasa kama mtu anaonekana kupinga mambo ya msingi bila ya sababu ya maana kwa nini asichezee kichapo? ili na wengine wajifunze??............Tanzania ya sasa bila kuwastuastua hawa wazee wa magamba nchi wanaimaliza na wala hakuna anayejali.............

Kuna kitu kizuri hapa,hebu tuwe siriaz angalau kwa 25%tu,halafu tuone!Kama itakuwa vipi!

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom