Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

mhhhhhhhhhhhhhhhh
mnatuchanganya sana
alijadili vizuri lakini amekuwa kinara kwa vigezo vipi?
pengine labda tuombe star tv wa-replay ili tuangalie
 
Kwanza ujifahamu ww usiyoijuwa itikadi ya chama chako, halafu uje hapa useme huo "uliberali wa kati" una reflect vipi na "muwafaka?", muwafaka haukufanywa kwa katiba ya JMT kwa kuwa haihusu mambo ya Zanzibar!
Serikali ya Zanzibar imo kwenye Katiba ya JMT. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar hayumo hata huyo wa pili!
 
CUF hawawezi kuwa na uliberali wa kati hata siku moja. Impossible! sana sana hawa ni to the FAR RIGHT. Hawa CUF ni ma-conservative vilivyo na ndio maana mara baada ya wao kujijenga visiwani, shule zote zimekuwa ushungi, na mitaani watu wanachapwa viboko kwa kutovaa according to 'certan instructions! Huu ulliberali unatoka wapi hapo? Tatizo hapa ni Jussa anataka kuwazuga watu. Uliberali tafsiri yake ni 'Liberaral. Na Jussa na Maalim wake wamekuwa wapezi wa Liberal Democrat ya Uingereza lakini ladha ya ku-copy & paste ilipamba moto baada ya maalim Seif kuhudhuria annual conference ya Liberal Democtat. Kwa uelewa wangu Liberal Democrat wako veeeery relaxed na ni waumini wazuri wa CIVIL LIBERTY. Huwezi kuwa muumini wa Uliberali wakati huku unalazimisha watu kuishi kwa kufuata masharti ya ajabu ajabu ambayo hata kwenye katiba hayapo. Kwa ujumla Jussa anaonekana ku-develop his own interpration of Uliberali wa kati. Interesting!
 
kwa upande wake, mambo yalimwendea kombo Marando baada ya kushindwa kubainisha kwa ufasaha itikadi ya chama chake na kubakia kutetea falsafa ya nguvu ya umma. "katiba ya chadema inasema, falsafa ya nguvu ya umma... umma ndiyo ndio mwanzo na mwisho katika kuamua mambo yao. Umma ndio wenye mamlaka ya kujiamulia mambo yao kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki, "alisema Marando kabla ya kulimwa swali na mwendeshaji wa kipindi hicho, Rosemary Mwakitwange kuhusu itikadi yao hasa kati ya Ujamaa, Ubepari na Uliberali. Marando alijibu kuwa chadema inafanya mambo yake kimatendo, "Chadema hatufikirii tu, tunafanya kiutendaji , tukipata serikali tutaweka viongozi imara. Nguvu ya umma itaondoa viongozi wabovu, mfano wabunge wetu wanafanya kazi na watanzania wanaiona." source mwanainchi 29/8/2011.
 
Kama maendeleo yanakuja kwa majibu mazuri ya viongozi wa kisiasa, basi nchi ya WADANGANYIKA tungekuwa na maendeleo kuzidi CHINA. Ningefurahi kuona midahalo yenye tija kwa maisha na Taifa la Watanzania na si inayolenga kujenga umaarufu wa mtu binafsi, taasisi au chama fulani cha siasa. Tunahitaji zaidi vitendo kuliko maneno kutoka kwa wanasiasa. Kwa kifupi nchi yetu imekosa wanasiasa na watendaji wenye vision na ndio maana hatuna mwelekeo rasmi wa kisiasa, kiuchumi ukiachia mbali mustakbali wa kijamii. Hata waandaaji wa midahalo wanauliza maswali mepesi yasiyolenga mustakbali wa taifa kwa kipindi kirefu bali ni matazamio ya kukidhi haja za muda mfupi. Nchi inaendeshwa kwa kutatua matatizo ya muda mfupi na ndio yanayodictate vision ya nchi kwa wakati huu. Mfano Leo hii tuna tatizo la upatikanaji wa nishati na nguvu zote zimeelekezwa huko. Kabla hili halijapata majibu tuna njaa kali inatunyemelea na hivi punde utasikia njaa ni janga la kitaifa na litachukua fikra za wanasiasa wote pamoja na watendaji serikalini kabla hata la nishati kupata ufumbuzi. Mara kilimo kwanza, kabla hatujaona matokeo utasikia elimu kwanza, maji kwanza n.k kauli zisizo na tija wala mashiko. Hizi kwangu ni siasa uchwara zisizo na matokeo dhahiri kwa uchumi wa taifa na uendelevu wa maisha bora kwa vizazi vyetu.
Ushauri kwa waandaaji wa midahalo:
"Acheni kuandaa midahalo ya kisiasa kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya watanzania: Andaeni midahalo ya wataalam, wasomi katika fani mbalimbali kama Wachumi, Wahandisi, Madaktari, wanasheria, Waalimu, wanadiplomasia, wataalam wa kilimo n.k. waliobobea katika maeneo ya uchumi na kijamii ili wajadili matatizo yanayotukabili kitaifa katika sekta mbalimbali na wapendekeze njia muafaka za kutatua matatizo hayo kitaalam. Wanasiasa hawana majibu yenye mashiko kwani wanazungumza chini ya vivuli vya vyama vyao na si utaalam walionao. Zaidi ya hapo wanasiasa hutoa majibu yasiyo na ithibati za kisayansi na hivyo hawakosi majibu 'mepesi' yasiyokidhi matakwa ya maswali wanayoulizwa. Vinginevyo midahalo yenu itabaki kuwa majukwaa ya kuwajengea baadhi ya watu umaarufu na matatizo ya nchi yetu yakizidi kuongezeka siku hadi siku.
 
CUF hawawezi kuwa na uliberali wa kati hata siku moja. Impossible! sana sana hawa ni to the FAR RIGHT. Hawa CUF ni ma-conservative vilivyo na ndio maana mara baada ya wao kujijenga visiwani, shule zote zimekuwa ushungi, na mitaani watu wanachapwa viboko kwa kutovaa according to 'certan instructions! Huu ulliberali unatoka wapi hapo? Tatizo hapa ni Jussa anataka kuwazuga watu. Uliberali tafsiri yake ni 'Liberaral. Na Jussa na Maalim wake wamekuwa wapezi wa Liberal Democrat ya Uingereza lakini ladha ya ku-copy & paste ilipamba moto baada ya maalim Seif kuhudhuria annual conference ya Liberal Democtat. Kwa uelewa wangu Liberal Democrat wako veeeery relaxed na ni waumini wazuri wa CIVIL LIBERTY. Huwezi kuwa muumini wa Uliberali wakati huku unalazimisha watu kuishi kwa kufuata masharti ya ajabu ajabu ambayo hata kwenye katiba hayapo. Kwa ujumla Jussa anaonekana ku-develop his own interpration of Uliberali wa kati. Interesting!
<br />
<br />
jenga hoja wacha chuki haitakusaidia.
 
Kwa Jussa, hata Dr Slaa asingemuweza kwani Jussa ana uzoefu mkubwa sana na mtu makini sana kuliko Dr Slaa. Lakini cha Ziada mwenzake amesomea sheria tofauti na Dr Slaa ambaye amesomea sheria za kanisa katoliki.

Barubaru,
Hapo penye Red.
Kanisa katoliki usiichukie kiasi hicho bila sababu. Una uhakika kama wana sheria ya kanisa ambayo watu wanasomea hadi wafikie level ya PHD?
 
Umeshavimbiwa futari ya kitimoto sasa umeamuwa kuja kujamba jamba hapa. Mimi nashangaa mdahalo unatuhusu Watangayika yule mtumwa wa kiarabu Jusa anahusika vipi?
Atutaki genetic za magaidi wa kiarabu kwenye Tanganyika yetu.
 
Barubaru,
Hapo penye Red.
Kanisa katoliki usiichukie kiasi hicho bila sababu. Una uhakika kama wana sheria ya kanisa ambayo watu wanasomea hadi wafikie level ya PHD?
Hayo ndio madhara ya mtoto wa kiume kuolewa, huyo ametolewa mahali kabisa kwao kwa wagunya wenzake na anaishi na bwana wake Oman.
 
Barubaru,
Hapo penye Red.
Kanisa katoliki usiichukie kiasi hicho bila sababu. Una uhakika kama wana sheria ya kanisa ambayo watu wanasomea hadi wafikie level ya PHD?

Inasikitisha sana hujui hata CV ya Dr Slaa.
Hii ndio pHD ya Dr Slaa. St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kama utaipitia vizuri sana utaona amebobea katika sheria za Kanisa na ndio Doctorate yake. Fuatilia CV ake kisha tujuze.

Binafsi naweza kumfananisha au kama kumpambanisha na Chadema basi labda kumfananisha na TUNDU Lissu lakini TUndu Lissu ana JAZBA sana lakini ndio wangeweza labda kuongea same language.
 
swali la mwakitwange kuwa chadema na CUF vina itikadi ya pamoja lilisababisha vyama hivyo kupigana vijembe .

Jussa alisema chadema kinafuata itikadi za kibepari na ndiyo maana kiko kwenye muungano wa vyama vya kibepari duniani. Lakini, Marando alisema chadema hakiwezi kufananishwa na CUF ambayo imeungana na CCM huko zanzibar na hivyo kina michanganyo.

Akijibu hoja hiyo, Jussa alisema serikali ya umoja wa kitaifa imeundwa ili kumaliza mgogoro mgogoro uliojikita kwa zaidi ya miaka 50 visiwani zanzibar, huku akitoa mfano wa chadema ilivyoshirikiana na CCM kwenye Halmashauri ya kigoma na Arusha. "zanzibar ilikuwa na mgogoro kwa miaka 50, mkikubaliana kuendesha serikali, mnakubaliana pia na mambo ya kushirikiana.

Ukisoma Hotuba ya Rais wa zanzibar Dk Shein alipokuwa akizindua Baraza la wawakilishi alizungumzia mikakati iliyohusisha Ilani za CCM na CUF," alisema Jussa.

Kuhusu kuunganishwa kwa vyama vya CUF na chadema ili kupata nguvu zaidi, Marando alipinga akitoa mfano wa suala la posho za wabunge ambalo alisema wakati wabunge wa chadema wakizipinga, CUF na CCM walikuwa wakiunga mkono.

"Katika ilani ya chadema ya mwaka 2010, chadema kilikataa posho. kikawaelekeza wabunge wake wazipinge Bungeni. Hatuwezi kuungana na wenzetu wanaoziunga mkono" alisema Marando. Hata hivyo, taarifa kutoka ofisi ya Bunge hadi jana zinasema ni Zitto kabwe pekee ndiye mbunge wa chadema ambaye aliacha kusaini posho huku wengine wote wakitia kibindoni.

source Mwanainchi.
 
Inasikitisha sana hujui hata CV ya Dr Slaa.

Kama utaipitia vizuri sana utaona amebobea katika sheria za Kanisa na ndio Doctorate yake. Fuatilia CV ake kisha tujuze.

Binafsi naweza kumfananisha au kama kumpambanisha na Chadema basi labda kumfananisha na TUNDU Lissu lakini TUndu Lissu ana JAZBA sana lakini ndio wangeweza labda kuongea same language.
Jusa sio Mtanganyika ni mtumwa wakiarabu, hapa Watanganyika tunajadili Taifa letu.
 
Mkuu kuna wakati hawa watu wa media wanapotosha sana ukweli wa mambo. Wanaposema CCM wanarithishana uongozi wana maana gani? Ni nani CCM aliyerithi uongozi kutoka kwa baba yake? Sioni tofauti kwa watoto wa wana CCM kuingia madarakani kwa style ya George Bush sr wa Marekani, au kwa style ya Yar'adua wa Nigeria. Wanaozungumziwa huwa wanachaguliwa (yaani wanapigiwa kura) au wanateuliwa.

Inawezekana kuwa kuna upendeleo fulani au kuna njama fulani zinazofanyika kabla ya kupata nafasi ya kupigiwa kura au kuteuliwa, lakini it is still far far away from kuritishwa.

Hujanielewa mkuu. Huwezi kulinganisha watawala wa nje na watoto wao wanavyoingia madarakani. Kwetu huku (TZ) kule kuna transparency ila huku ni kupeana tu na wizi mbele.
 
Hayo ndio madhara ya mtoto wa kiume kuolewa, huyo ametolewa mahali kabisa kwao kwa wagunya wenzake na anaishi na bwana wake Oman.

Profile ya Dr Slaa
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

kwa ujumla Chadema waliokosa umakini kaina mdahalo mzima. Hii ilianiza katika mwakilishi wake alikuwa na umri mkubwa sana ukilinganisha na wenzie, sasa kati ya wawakilishi wale watatu nani aliyeonekana kutoka chama kikongwe? Kutokana na ujana wake Nape aliweza kukwepa makandokando mengi ya chama chake. Nianamini hata kama CDM inemtuma kijana mabye hana tuhuma nyingi kama walivyofanya CCM angeibuka kidedwa tu. Marando alikosa umakini kutokana na wingi wa tuhuma zilizopo dhidi yake hata kama hazina msingi wowote kama vile kuwatetea watuhumiwa wa ufisadi. Kama watuhumiwa wa mauajaia wanaweza kupata msaada wa kisheria ni dhambia gani kuwatetaa watuhumiwa wa ufisadi?. Ila nampongeza marando kwa kukwepa masuala ya nShibuda kwa umahiri mkubwa.

Waandaaji nao kwa upande wao walikosa umakini kwa kutumbukiza na kuruhusu mambo yaliyo nje ya mada. Ni kama walitayarisha jukwaa kwa v yama kuja kusurubiana mbele ya runinga. Kwa hakia walichemsha sana. Ilkuwa piga nikupige
 
NAPE KULE SAME NAKO KUMETOKEA 'PANYA WA MSIKITINI' DIWANI ZAINA KUDAIWA KUNASWA NA KURANI (NYARA ZA SERIKALI)

Nape kila kukicha kazi yako ya kukinadi CCM ndio kam hivyo kinakua ni zadi ya gunia lenye misumari ya moto; kama ulivyonukuliwa kutetea MFUMO WA KURITHISHANA UONGOZI CCM, naona sasa nako kule Same kuna KITIMTIM cha Mkwe wa mtoto wa Rais wetu kudakwa na nyara za UMMA kwa hisani ya mawaziri Mathayo na Maige -vyanzo vyetu vilivyodai.

Kwa uhakika CCM hakisafishiki kikatakata wala haki haking'arishiki rangi watu wakasahau magamba yake ya tangu baada ya Baba wa Taifa atutoke.

Kwa mujibu wa uhusiano wake wa karibu sana na familia ya Rais nadhani huyu Diwani Zaina naye huenda akawa ni mmojawapo PANYA WA MSIKITINI hivyo kule kunaswa kwake na nyara za serikali (ama ukipenda KURANI) wala hakupigishi watu butwaa yoyote ila tu angekua ni PANYA WA MITAANI ambaye halli yake ni BIBLIA tu.

Je mwenzetu unamaoni gani hadi hapo???????????

Panya wa Msikitini hula Kurani, akila Biblia watu hupigwa na BUTWAAAA sio?????????????????????
 
CUF hawawezi kuwa na uliberali wa kati hata siku moja. Impossible! sana sana hawa ni to the FAR RIGHT. Hawa CUF ni ma-conservative vilivyo na ndio maana mara baada ya wao kujijenga visiwani, shule zote zimekuwa ushungi, na mitaani watu wanachapwa viboko kwa kutovaa according to 'certan instructions! Huu ulliberali unatoka wapi hapo? Tatizo hapa ni Jussa anataka kuwazuga watu. Uliberali tafsiri yake ni 'Liberaral. Na Jussa na Maalim wake wamekuwa wapezi wa Liberal Democrat ya Uingereza lakini ladha ya ku-copy & paste ilipamba moto baada ya maalim Seif kuhudhuria annual conference ya Liberal Democtat. Kwa uelewa wangu Liberal Democrat wako veeeery relaxed na ni waumini wazuri wa CIVIL LIBERTY. Huwezi kuwa muumini wa Uliberali wakati huku unalazimisha watu kuishi kwa kufuata masharti ya ajabu ajabu ambayo hata kwenye katiba hayapo. Kwa ujumla Jussa anaonekana ku-develop his own interpration of Uliberali wa kati. Interesting!
Mkuu unaweza kuwa sana lakini umeenda deep kiasi kwamba tabia ile ile ya Udini unajiingiza..tuchunge sana maandishi yetu kwani mimi naweza kusema vivyo hivyo napoitazama Chadema!

Mimi nashangaa sana wanasiasa wa CUF wanapodai chama chao ni Leberal ili hali wameonyesha kwa kila hali kuwa wao ni SEPARATIST!.. Inanipa wasiwasi kama viongozi wa vyama vyetu wanaelewa matumizi ya maneno haya ama ndio ktk kitabia kile kile cha Mdanganyika - Ulimbukeni wa kuiga vitu tusivyovijua athari zake maadam vinafanywa na wazungu basi lazima viwe vizuri...
 
Mimi si mshabiki wa vyama vya siasa ila wakati nasoma posti za wengi kuhusu huu mjadala, wengi waliwapongeza kwa asilimia viongozi hao kwa vyama wanavyoshabikia, kutokana na CUF kutokua na nguvu sana hapa JF kulingana na CHADEMA na CCM basi Jusa alikua akishika mkia kimaoni.

Kwa vile nilishawahi kumuona jusa kwenye mijdala kadhaa nlishangaa kidogo na koment za watu, lkn kutokana na hiyo saurce hapo juu, nimelazimika kuwaomba wana jf tuwe wa kweli panapo ukweli hii ndio sifa ya great thinkers.

Michezo ina sheria zake, kama wanamasumbwi wapiganapo ulingoni, kumpiga mpinzani kisogoni au tumboni au kifuani hapati point ndivyo ilivyotokea kwa Jussa na Nape.
 
😛eace:Mtu unaulizwa kuhusu itikadi za ujamaa halafu unatoa jibu la masuala ya Mbunge shibuda na chama chake, hayo ndiyo yaliyowanyima point Nape na Jussa.:msela:
 
Hasa Nape wa CCM anahitaji zaidi kufundwa kisiasa lakini huyo mwingine sijui nani vile, Juha w CUF, wala simfahamu ndio namsikia leo.
 
Back
Top Bottom