Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,386
Viva CHADEMA kwakupeleka Jembe la ukweli ! Nape kama kawaida yake kuchemsha na kuchemka ktk mada za Ujenzi wa taifa.
Hata mimi naona, wampeleke kwenye kila mdahalo huyu atawafaa sana.
Viva CHADEMA kwakupeleka Jembe la ukweli ! Nape kama kawaida yake kuchemsha na kuchemka ktk mada za Ujenzi wa taifa.
ndo zenu CCM maana hata nape najua mlileta baada kutoka kufuturu ikulu kwa maelekezo ya mkuu mwenyewe kwamba nenda kwenye huo mdahalo wao leo NA HAPA NA UNYE KWELI (nape nauye) futari ipo ya kutosha miaka mia tano milioni 500 DJ (DAVID JAIRO) kisha wasilisha ninazo mie mkuuLeo magwanda yamelowa yamekuwa mazito baada ya kukutana na vichwa vya siasa, badala ya kujadili hoja nzito za ukomavu katika kufanya maamuzi na hatima ya Shibuda na ushirikiano wa karibu na kiutendaji wa Marando na wizi wa EPA mnatufuta vitu vya kitoto...owkey ngoja tujadili huo utoto, tumemshuhudia Marando anajikuna sana kwenye masaburi hivi TUNDU LUSSU lake lipo salama kweli au?
Chadema haikuwa na mwakilishi sahihi kwenye mdahalo! Size ya Nape na Jussa ni Mnyika au Zitto,babu marando kashindwa hata kuelezea Itikadi ya Chadema
ndo zenu CCM maana hata nape najua mlileta baada kutoka kufuturu ikulu kwa maelekezo ya mkuu mwenyewe kwamba nenda kwenye huo mdahalo wao leo NA HAPA NA UNYE KWELI (nape nauye) futari ipo ya kutosha miaka mia tano milioni 500 DJ (DAVID JAIRO) kisha wasilisha ninazo mie mkuu
Nilikuwa makini nifatilia mdahalo kati ya Jusa (CUF), Nape (CCM) na Marando (CDM). Jamaa walijitahidi kujibu maswali ila kama kawaida wote mwanzoni walielekeza mashambulizi kwa CDM jambo lililotuonesha wazi kuwa CDM ni chama pinzani na CCM na wapinzani wengine.
Nape mbali na majibu ya ulaghai na udanganyifu mimi nilipenda alipoulizwa kuwa kwanini viongozi wa CCM wanarithishana uongozi na madaraka kwa watoto wao, kuwa mtoto wa Makamba, mtoto wa Nnauye, Mwinyi, Kikwete, nk.
Hivi ndivyo Nape alivyojibu. " Ni vyema tukamtuhumu mtu kwa utendaji wake. NAMKUMBUKA BABA YANGU MAKAMBA ALIWAHI KUSEMA KUWA PANYA WA MSIKITINI ATAKULA QURAN NA HAITASHANGAZA MTU. ILA IKIKUTWA YUKO MSIKITINI ALAFU ANAKULA BIBLIA BASI WATU WATAPIGWA BUTWAA"
Nilipenda sentensi hiyo iliyokolezwa kwa rangi nyekundu. Kwakifupi alimaanisha kuwa mtu aliyenje ya CCM atakiwi kuingia na huyo ni kama biblia kupatika msikitini
<br />tuseme ukweli japo unaumwa marando katuangusha, jussa kawafunika vibaya, na hili suala la kutumia udini tukubali kuwa ni kwel mimi naliona kanisani habari ya huku ni cdm, tuwakemee hawa viongozi wetu wa dini huku makanisani wanatuharibia chama