Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Kwa Jussa, hata Dr Slaa asingemuweza kwani Jussa ana uzoefu mkubwa sana na mtu makini sana kuliko Dr Slaa. Lakini cha Ziada mwenzake amesomea sheria tofauti na Dr Slaa ambaye amesomea sheria za kanisa katoliki.

Hivi wewe mmanga mbona unachuki na Ukristo kiasi hicho? Rudi kwenu ambako hakuna hakuna Ukristo.
 
Hivi wewe mmanga mbona unachuki na Ukristo kiasi hicho? Rudi kwenu ambako hakuna hakuna Ukristo.

Hiki ndicho chuo na hiyo ndio pHD ya Dr Slaa.
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Sasa nataka uikane


 
Niwe mkweli, kwa mtazamo wangu juu ya Midahalo yote iliyowakutanisha CUF, CDM na chama kingine chochote cha siasa, Wawakilishi wa CUF wameongoza katika mambo yafuatayo:

  • Kujadili hoja kwa umakini ndani ya muda bila kuishiwa katikati
  • Kutumia mifano halisi ya mizangira ya siasa za Tanzania
  • Kujibu kwa ufasaha swali au maswali wanayoulizwa
Hapa nazungumzia ule mdahalo wa Wagombea vijana ambapo pamoja na Mnyika kung'ara zaidi, lakini pia Mtatiro na yule mgombea wa CUF-Temeke hawakuachwa mbali. Tulishuhudia vijana wanaosemwa kuwa miamba ya siasa wakishindwa kuwakilisha hoja na kujibu maswali kwa ufasaha na katika muda uliowekwa.

Pamoja na umahiri huu wa CUF ambao sasa ni dhahiri kuwa Jussa ni Jembe bado sijaona mwanasiasa mwingine yeyote mwenye uwezo wa ku-debate kwa ufasaha, takwimu, ndani ya hoja, katika muda huku akigusa nyoyo na kuamsha simanzi kama Dr. Slaa. Baada ya huyu anakuja Maghufuli.
 
Mimi ni mara ya kwanza kumuona jusa huyu jamaa yuko makini sana,hata chadema wanamtamani,then ina maana marando hajui itikadi ya chadema coz sijamwelewa alikuwa amestick wapi.Na kuhusu Nape walimuonea kumweka na wale jamaa
 
Mimi ni mara ya kwanza kumuona jusa huyu jamaa yuko makini sana,hata chadema wanamtamani,then ina maana marando hajui itikadi ya chadema coz sijamwelewa alikuwa amestick wapi.Na kuhusu Nape walimuonea kumweka na wale jamaa

Waandaaji wa midahalo wanatakiwa kuwa na uchambuzi wa kutosha wa kupambanisha walengwa ambao kitaaluma wanalingana, si sawa timu ya kijitonya ya ligi daraja la pili kwenda kupambana na bingwa wa ligi ya Bundes liga. Kumpambanisha juha na mwerefu mwenye kazima ya hoja juha ataishia kumkwatua foward na kusababisha red card zitakazosababisa magoli mengi tu yatokanayo na foul.
 
Back
Top Bottom