Wananchi hawahitaji chama, wanahitaji maisha bora. Upinzani sio lazima ushike dola by hooks and crooks, utashika dola pale tu wananchi watakapoona inafaa. Wakati utakapofika.
Iwe serikali ya mseto, serikali ya umoja wa kitaifa au ya chama kimoja, tunahitaji maendeleo ya nchi na maisha bora.
Mheshimiwa Mbowe na wenzako, mna tamaa ya madaraka, mnataka kushika dola by hooks and crooks hata iwe kutumia nguvu, kuleta machafuko kwa mgongo wa nguvu ya umma. Watch your steps and your words towards 2015, you are more likely to lose than win more seats kama mtazamo wenu ni huo.