Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

1. Mbona CHADEMA ni Chama cha kikabila, kirefu chake ni CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO, wewe walijua hili ?
2. 98% ya viongozi wake ni wa kutoka upande wa kanda ya kaskazini ya nchi, una ubishi juu ya hilo ?
3. Udini ndio umekithiri ndani ya CHADEMA, zaidi ya 95% ni wa dini moja. Unalisemeaje hilo ?
4. Upendeleo wa wazi wazi wa kupeana madaraka, angalia viti maalum walivyo gawiana watu wa koo za viongozi, ni haki kweli ?
Sio haki bana. nenda mahakamani.
 
Haikuwepo haja ya mdahalo sasa na watu kama CUF au wapinzani wa CDM. That was total nonsense kwa sababu wananchi wanaijua CUF and its allies wanasimamia wapi. Wao wamehongwa uongozi na CCM na kuna mengi ya siri ambayo hatuyafahamu waliyoahidiwa. Kwa kweli mdahalo huu kama mwanamapinduzi umeniudhi sana wakati watu tumekaa chini na kufikiria mikakati gani ya kuendeleza mapinduzi katika kipindi halafu mtu unakuja na midahalo uchwara. Kwa hapo Mr Mbowe hukutumia akili mdahahalo huu HAUNA TIJA KWA CDM huna washauri???:embarrassed:
 
Naomba nikuulize

Chadema ina wabunge 22 wakuchaguliwa kutoka maeneo mbalimbali Tanzania Bara

wakati CUF ,80% ya wabunge wake wa kuchaguliwa wametoka pemba wanne unguja na wawili wametoka Mkoa wa lindi( kwa nguvu ya misikiti maeneo hayo)
Kimsingi wabunge wote wa kuchaguliwa wa CUF ni dini fulani

Kwa maelezo hayo juu , ni kipi kati ya CDM na CUF ni cha Kikabila/Kidini ?

My Take
CUF ni chama cha Wapemba na huku bara hawawezi kitu unless wapige Kampeni miskitini

Wako 23 kaka umemsahau Mh Said Arfi
 
Ukweli ni kwamba hata mtu asiyekuwa na akili hawezi kukubali kuungana na CUF maana wao tayari Ndoa yao imeshaanza kuzaa matunda mpaka kupata nafasi za uwakilishi kupitia chama chao iwaje watu walioamua kuungana na leo hii mnawaita wapinzani? Haiingii akilini hata kidogo.
CCM+CUF-CHADEMA=?

Anayejua mahesabu anisaidie!

Majibu ni haya:

CCM+CUF-CHADEMA= -98%

maana CCM = 1% CUF=1%
maana tayari wamekuwa kitu kimoja toka mwafaka utiliwe saini na umekuwa ni siri yao
.
 
Duh! ama kweli wewe ni mpenzi wa Freemen Mbowe.kwa sababu ni ntu wa kwanza nakusikia una uthubutu wa kusema hayo wakati watu wote tulioangalia mdahalo tuliona umakini wa Hamad, pamoja na moderator kutoficha ushabiki wake wa kijinga kwa chadema na kuonyesha ni jinsi gani hafai kuwa moderator na ni mradi wake tu wa kutafuna hela za donors ili agange njaa,elimu ya Mbowe ni ndogo sana na ilijionyesha alivokuwa na jazba na kushindwa kujibu au kupanga hoja didhi ya Hamad, nawashauri mpelekeni Mbowe akasome kwa sababu form six yake ya Ihungo ndio cheti halali alicho nacho hayo mengine hajawahi hata kuka darasani miezi sita!!!! atapiga disco saa ngapi,na mambo mengine kadha wa kadha>>>>?ndiyo arudi kupambana na wasomi wazoefu kama Hamad, kwetu CUF tunasema angalao Dr.Slaa anaweza akafanya mdahalo na Hamad kikaeleweka., na hii forum ikiendelea kuegemea kwenye u chadema tutaiponda sio muda mrefu ujao, itabaki kuwa ubao wa matangazo wa chadema
 
1. Mbona CHADEMA ni Chama cha kikabila, kirefu chake ni CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO, wewe walijua hili ?
2. 98% ya viongozi wake ni wa kutoka upande wa kanda ya kaskazini ya nchi, una ubishi juu ya hilo ?
3. Udini ndio umekithiri ndani ya CHADEMA, zaidi ya 95% ni wa dini moja. Unalisemeaje hilo ?
4. Upendeleo wa wazi wazi wa kupeana madaraka, angalia viti maalum walivyo gawiana watu wa koo za viongozi, ni haki kweli ?

Naomba nikuulize

Chadema ina wabunge 22 wakuchaguliwa kutoka maeneo mbalimbali Tanzania Bara

wakati CUF ,80% ya wabunge wake wa kuchaguliwa wametoka pemba wanne unguja na wawili wametoka Mkoa wa lindi( kwa nguvu ya misikiti maeneo hayo)

Kimsingi wabunge wote wa kuchaguliwa wa CUF ni dini fulani

Kwa maelezo hayo juu , ni kipi kati ya CDM na CUF ni cha Kikabila/Kidini ?

My Take
CUF ni chama cha Wapemba na huku bara hawawezi kitu unless wapige Kampeni miskitini

mjadala umeisha hamia kwenye udini sasa, tena upinzani vs upinzani
 
1. Mbona chadema ni chama cha kikabila, kirefu chake ni chaggas development manifesto, wewe walijua hili ?
2. 98% ya viongozi wake ni wa kutoka upande wa kanda ya kaskazini ya nchi, una ubishi juu ya hilo ?
3. Udini ndio umekithiri ndani ya chadema, zaidi ya 95% ni wa dini moja. Unalisemeaje hilo ?
4. Upendeleo wa wazi wazi wa kupeana madaraka, angalia viti maalum walivyo gawiana watu wa koo za viongozi, ni haki kweli ?
hujakosea kujiita hilo jina la thhink twice mwanza, mbeya,musoma,iringa walikoshunda chadema ni kanda ya kaskazini wabunge wa chadema wote ni wa kaskazini huwezi kuanzisha chama kikabila utakuwa na wabunge wa maeneo yanayozunguka kabila lako tu ambao hawatafika hata watano cdm kina wabunge zaid ya watano huendani na hilo jina badilisha au think twice kwanza kabla ya kulipoka
 
Duh! ama kweli wewe ni mpenzi wa Freemen Mbowe.kwa sababu ni ntu wa kwanza nakusikia una uthubutu wa kusema hayo wakati watu wote tulioangalia mdahalo tuliona umakini wa Hamad, pamoja na moderator kutoficha ushabiki wake wa kijinga kwa chadema na kuonyesha ni jinsi gani hafai kuwa moderator na ni mradi wake tu wa kutafuna hela za donors ili agange njaa,elimu ya Mbowe ni ndogo sana na ilijionyesha alivokuwa na jazba na kushindwa kujibu au kupanga hoja didhi ya Hamad, nawashauri mpelekeni Mbowe akasome kwa sababu form six yake ya Ihungo ndio cheti halali alicho nacho hayo mengine hajawahi hata kuka darasani miezi sita!!!! atapiga disco saa ngapi,na mambo mengine kadha wa kadha>>>>?ndiyo arudi kupambana na wasomi wazoefu kama Hamad, kwetu CUF tunasema angalao Dr.Slaa anaweza akafanya mdahalo na Hamad kikaeleweka., na hii forum ikiendelea kuegemea kwenye u chadema tutaiponda sio muda mrefu ujao, itabaki kuwa ubao wa matangazo wa chadema
Mkuu nakubaliana na wewe ktk point yako ya awali kuwa Hamad alionyesha ukomavu na umahiri na upeo mkubwa sana wa kujibu hoja kulinganisha na Mbowe
huko kwenye elimu ya mbowe sitaki kuingilia sana ila tofauti kubwa tumeiona dhidi yao
 
Mwendeshaji aliibeba Chadema kiaina na kuindamiza CUF ndio maana ulifika wakati mashabi wa CUF wakaamua liwalo na liwe.

Mkuu Pasco Heshima Kwako

Pasco wewe ni moja wa Memba wanaoheshimika sana hapa JF, Najaribu kumkumbuka yule Pasco wa Busanda na Biharamulo, kifupo ulikuwa unaongea facts sana, lakini siku hizi Pasco umekuwa unatoa Hoja za Reja reja sana ambazo zinaishia hewani

Ungekuja na analysis kwamba ni wapi Mbowe alibebwa, ni wapi Hamad alikandamizwa, je n Swali gani Mbowe aliulizwa akashindwa kulijibu naamini Pasco you can go beyond that Mkuu
 
Hamad Rashid yuko sawa wewe hujamuelewa au uelewa wako mdogo
Sat Nov 2010

Pamba
Junior Member
Posts
6
Thanks
0
Thanked 1 Time in 1 PostRep Power
0

Acha utoto wewe Hamad Rashid hakujibu maswali kama alivyoulizwa. Mfano Saed Kubenea alimwuliza swali kuhusu katiba ya JMT kuvunjwa kufuatia referendum ya katiba ya Znz Hamad hakujibu hilo swali... kama una mkanda wa ule mdahalo kauangalie upya uje na majibu hapa na kuacha ushabiki. kama hauna nitakuwekea hapa. Hamad anasikitikia kupoteza cheo tu hana lolote.
 
na hii forum ikiendelea kuegemea kwenye u chadema tutaiponda sio muda mrefu ujao, itabaki kuwa ubao wa matangazo wa chadema

Siamini kuwa memba mpaka uwe CDM..
Ita cuf na vyama vyote mje tubadilishane mawazo.,tujenge nchi..
 
Mimi nilishashangaa sana jinsi Hamad Rashid alivyojichanganya katika kauri zake nyingi siku ya mdaharo.
  1. Alisema kuwa muafaka hautambui kushirikisha vyama vidogo kwenye SMZ lakini anataka vyama vidogo vya bara vishirikishwe kwenye serikali kivuli ya upinzani.
  2. Wakati yeye akijinasibu kama mpinzani halisi lakini anawawekekea CHADEMA masharti ya kutambua uchaguzi uliochakachuliwa na ambao hauwezi kuhojiwa wa Rais.
  3. Alikuwa anaingiza majina ya Dr. Slaa na Kabwe kwenye hoja zake kama vile viongozi hawa wa CHADEMA wanatofautiana na msimamo wa Mwenyekiti wao.
  4. Alikuwa anajisifia kuwa wao CUF walidai mabadiliko ya Katiba hadi watu 47 wakafa kama vile hiyo ndiyo sifa ya kazi waliyofanya.
  5. Yeye haoni kama mabadiliko ya katiba ya JMT ni muhimu tena kwa kuwa mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yameisha fanyika baada ya damu kumwagika.
  6. Maneno yake kuhusu udini yanajichanganya maana asilimia 100 ya wabunge wake ni dini moja na ninahisi kuwa hata wanachama wake au safu ya uongozi wa chama chake ni zaidi ya 95%!!
  7. n.k

wangefufuka nyiyi bakora tu mko ikulu baada kuwauza wazenj kwa lisiti hao waliokufa shahidi wanawalilia huko makaburini laana hii itawafika wanafiki wakubwa nyie leo uchu wenu wa kwenda ikulu kwa gharama yeyote mnasikia raha mpaka kumoyo huu ni msiba wallah! huna ushahidi kwamba walikufa cuf tu hr
 
1. Mbona CHADEMA ni Chama cha kikabila, kirefu chake ni CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO, wewe walijua hili ?
2. 98% ya viongozi wake ni wa kutoka upande wa kanda ya kaskazini ya nchi, una ubishi juu ya hilo ?
3. Udini ndio umekithiri ndani ya CHADEMA, zaidi ya 95% ni wa dini moja. Unalisemeaje hilo ?
4. Upendeleo wa wazi wazi wa kupeana madaraka, angalia viti maalum walivyo gawiana watu wa koo za viongozi, ni haki kweli ?

Siyo kweli ni CHINGAS DEVELOPMENT MANIFESTO....LOL!
 
yaani hamadi alivyoambiwa atoe neno la mwisho alionesha moja kwa moja kwamba yeye anasikitika kukosa pesa. alianza kutangazia watu kwamba kiongozi wa upinzani ana bajeti ya sh millioni 100 na kwa hiyo anataka hiyo pesa igawiwe kwa kambi nzima ya upinzani. kwa hiyo wanatafuta kushirikiana na chadema siyo kwa sababu ya substance bali material
 
JK amezungumzia suala la udini kama moja ya vipaumbele vyake kama si kosei ni nambari 1 lakini ameshindwa kuainisha huo udini uko wapi,umejitokeza katika masuala yapi?nani walikuwa maengineer wake?!tukumbuke huwezi tatua tatizo kama hujui kisababishi chake
 
HAMAD Rashid alitoa hoja za kisomi na kuonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa. Mdahalo ulidhihirisha kuwa CHADEMA haijabaleghe kiasi cha kupewa nchi. Hii ilidhihirishwa na namna mbowe alivyojenga hoja. Chadema wanahitaji muda mwingi sana kukomaa. Kura walizopata safari hii ni kwa sababu watanzania wengi wanafanya mambo kishabiki na kwa kufuatamkumbo wa vyombo vya habari.

Nafikiri mmeipata hiyo. HAMAD kamfunika vibaya sana mbowe. Tutahitaji kuona kuwa MILIONI 100 za kiongozi wa upinzani bungeni zinakwenda kwenye research kama walivyokubaliana HAMAD na slaa kwenye bunge lililopita.
 
Back
Top Bottom