Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

MKUU BILL ...HESHIMA MBELE!!!!..NA heshima hii inatokana na uwezo wako wa kutoa mawazo yako huru ..wala sio kwa sababu ya ubini wa jina ..lako ,ambalo tumelijuwa hapa kwa kuwa una balls za kusimama na kuhesabiwa..
Pia ninapoongelea uwezo wako wa kuendeleza mema ...nimeangalia wewe kama wewe na sio wewe kwa kuwa umetokana na nani......
Ndio maana ni mantik hii hii napingana na wale ambao wanataka kutumia nafasi zao za sasa kufanya CCM iwe chama cha kifamilia..waelewe viongozi waliotangulia huko nyuma wangeamua deliberatelly kuacha watoto wao wafanye siasa kwa msaada wao...basi hii nchi leo ingekuwa monarchy!!.....muelekeo wa boyz2men uliuwa kuifanya nchi monarchy kama sio kutolewa uvivu majuzi na wakongwe!!.....mbona mwalimu hakumbeba makongoro au mwinyi kumbeba hussein....hata kaka yako alikuwa akipambana mwenyewe...kujijenga.

Naheshimu sana watu ambao wanasimama wenyewe bila kutegemea mgongo wa wazazi wao....na hapa tuwatendee haki kwa kuwahukumu wao kama wao na kuzaliwa na viongozi hakuwaondolei haki yao ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.......
 
- Sasa mkuu hapa unasema kwamba waonewe huruma maana hawatakuja kushinda majority, sasa kweli tutalisaidia vipi hili taifa na siasa huruma, vyama vya siasa viamke vipigane na CCM, matokeo ya safari hii yanaonyesha juhudi zaidi CCM wanapigika, sasa kama wapinzani wameshindwa kupigana na CCM kwenye kura basi watafute muafaka, ili na wao wajiunge na watawala tujue moja!

William.

Hakuna popote niliposema waonewe huruma, hata sijui umelitoa wapi hili.

Let me break it down real simple. CHADEMA hawawezi kusema wanangoja punguzo la mishahara ya wabunge lipite bungeni ili kutujulisha kwamba wanapinga mishahara mikubwa.

Wanaweza kuchukua kiasi fulani cha mishahara yao, na kiasi ambacho wanaona kimezidi kukiweka katika mfuko wa mradi fulani wa maendeleo ya jamii.

Mtu anayesema serikali inaingia gharama sana kwa mishahara ya wabunge, na wabunge wanaweza kuishi kwa 50% ya mishahara/ marupurupu yao, anatakiwa aanze kutuonyesha mfano wa matendo kwa kuishi kwa hiyo 50% kwanza, halafu ndiyo atuambie habari za nani anapitisha mishahara bungeni.

Sasa hivi CHADEMA wanasema mishahara mikubwa sana halafu wanaichukua, height of hypocrisy some would say.
 
MKUU BILL ...HESHIMA MBELE!!!!..NA heshima hii inatokana na uwezo wako wa kutoa mawazo yako huru ..wala sio kwa sababu ya ubini wa jina ..lako ,ambalo tumelijuwa hapa kwa kuwa una balls za kusimama na kuhesabiwa..
Pia ninapoongelea uwezo wako wa kuendeleza mema ...nimeangalia wewe kama wewe na sio wewe kwa kuwa umetokana na nani......
Ndio maana ni mantik hii hii napingana na wale ambao wanataka kutumia nafasi zao za sasa kufanya CCM iwe chama cha kifamilia..waelewe viongozi waliotangulia huko nyuma wangeamua deliberatelly kuacha watoto wao wafanye siasa kwa msaada wao...basi hii nchi leo ingekuwa monarchy!!.....muelekeo wa boyz2men uliuwa kuifanya nchi monarchy kama sio kutolewa uvivu majuzi na wakongwe!!.....mbona mwalimu hakumbeba makongoro au mwinyi kumbeba hussein....hata kaka yako alikuwa akipambana mwenyewe...kujijenga.

Naheshimu sana watu ambao wanasimama wenyewe bila kutegemea mgongo wa wazazi wao....na hapa tuwatendee haki kwa kuwahukumu wao kama wao na kuzaliwa na viongozi hakuwaondolei haki yao ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa.......

- Ahsante sana ndugu yangu, siku zote ninaheshimu sana mawazo yako you know that, tuendelee kuelimishana na kulisaidia taifa letu ambalo sio siri kwamba limekwama, na pia ninawaheshimu sana wanaojaribu kwamba Mungu awape nguvu , amani na busara za ajabu waweze kutusaidia kutuamsha zaidi hili taifa! Ubarikiwe sana mkuu!

William.
 
Hakuna popote niliposema waonewe huruma, hata sijui umelitoa wapi hili.

Let me break it down real simple. CHADEMA hawawezi kusema wanangoja punguzo la mishahara ya wabunge lipite bungeni ili kutujulisha kwamba wanapinga mishahara mikubwa.

Wanaweza kuchukua kiasi fulani cha mishahara yao, na kiasi ambacho wanaona kimezidi kukiweka katika mfuko wa mradi fulani wa maendeleo ya jamii.

Mtu anayesema serikali inaingia gharama sana kwa mishahara ya wabunge, na wabunge wanaweza kuishi kwa 50% ya mishahara/ marupurupu yao, anatakiwa aanze kutuonyesha mfano wa matendo kwa kuishi kwa hiyo 50% kwanza, halafu ndiyo atuambie habari za nani anapitisha mishahara bungeni.

Sasa hivi CHADEMA wanasema mishahara mikubwa sana halafu wanaichukua, height of hypocrisy some would say.

- Well, samahani sana mkuu si unajua ulimi hauna mfupa uwe na amani ya Bwana Mungu wa Mbinguni!, Ya mshahara sikuyagusa kabisaa lakini ninaheshimu sana uwezo wako wa kuchambua hizo lines za mishahara na Chadema.

William.
 
Mimi nilishashangaa sana jinsi Hamad Rashid alivyojichanganya katika kauri zake nyingi siku ya mdaharo.
  1. Alisema kuwa muafaka hautambui kushirikisha vyama vidogo kwenye SMZ lakini anataka vyama vidogo vya bara vishirikishwe kwenye serikali kivuli ya upinzani.
  2. Wakati yeye akijinasibu kama mpinzani halisi lakini anawawekekea CHADEMA masharti ya kutambua uchaguzi uliochakachuliwa na ambao hauwezi kuhojiwa wa Rais.
  3. Alikuwa anaingiza majina ya Dr. Slaa na Kabwe kwenye hoja zake kama vile viongozi hawa wa CHADEMA wanatofautiana na msimamo wa Mwenyekiti wao.
  4. Alikuwa anajisifia kuwa wao CUF walidai mabadiliko ya Katiba hadi watu 47 wakafa kama vile hiyo ndiyo sifa ya kazi waliyofanya.
  5. Yeye haoni kama mabadiliko ya katiba ya JMT ni muhimu tena kwa kuwa mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yameisha fanyika baada ya damu kumwagika.
  6. Maneno yake kuhusu udini yanajichanganya maana asilimia 100 ya wabunge wake ni dini moja na ninahisi kuwa hata wanachama wake au safu ya uongozi wa chama chake ni zaidi ya 95%!!
  7. n.k
 
ukishaolewa na CCM hata baya utaliona jema.
 
tatizo wao wameshapata walichokitaka hivyo hawaoni tena umuhimu wa vyama vingine kupinga matokeo,na hilo ni tatizo la vyama vyetu hapa tz,vikisha fanikiwa tu basi ni kama mwenye shibe kutomjuwa mwenye njaa, ni aibu kwa cuf,tunaomba ushirikiano wenu kama tulivyofanya sisi kwenu zenji
mapinduziiii daimaaaa
 
Wapemba bana..mambo yao kipembapemba tu!
 
History is full of people who out of fear, or ignorance, or lust for power has destroyed knowledge .
 
Mwendeshaji aliibeba Chadema kiaina na kuindamiza CUF ndio maana ulifika wakati mashabi wa CUF wakaamua liwalo na liwe.
 
Mme mwenyewe CCM!! haki ya nani hata wakijipendekeza kipi na kukubali kugeuzwa geuzwa kama samaki, ndoa yao haidumu!! subirini tutakutana hapa hapa jamvini!
 
Mwendeshaji aliibeba Chadema kiaina na kuindamiza CUF ndio maana ulifika wakati mashabi wa CUF wakaamua liwalo na liwe.

CUF - Civic United Front - lakini walichofanya ni uncivilized acts
 
Hamad Rashid anazifikiria million 100 alizokuwa anapata wakati akiwa kiongozi wa kambi ya upinzani, Analikumbuka lile Shangingi alilokuwa amekabidhiwa na serikali na sasa anajua kuwa vyote hivyo atakabidhiwa Freeman Mbowe, kwa hali ya kawaida lazima atachanganyikiwa na kujichanganya. Wivu ulimjaa akashindwa kujificha na kuanza kuonyesha kisirani kwa kudai kila kitu na kuanzisha mbinu za kuwaumiza CHADEMA ili washindwe kufanya kazi.

Jaribio lake la kutaka kuanzishwa kwa kambi ndogo ya upinzani , litafanikiwa kwani CCM watafanya lolote ambalo wanahisi litaikomoa CHADEMA lakini kila hatua watakayo fanya itashindwa kwani CHADEMA imekubalilika kwa wananchi na hata Nyerere aliikubali tangu kilipoanzishwa!

Wapinzani wa kweli wanajulikana ndiyo maana CCM siku hizi haihangaiki na CUF ipo busy na CDM muda wote wakitafuta means ya kuingamiza ambayo moja wapo ni kuiweka CUF karibu na Vyama vingine vya upinzani kama NCCR, TLP na UDP.
 
tatizo wao wameshapata walichokitaka hivyo hawaoni tena umuhimu wa vyama vingine kupinga matokeo,na hilo ni tatizo la vyama vyetu hapa tz,vikisha fanikiwa tu basi ni kama mwenye shibe kutomjuwa mwenye njaa, ni aibu kwa cuf,tunaomba ushirikiano wenu kama tulivyofanya sisi kwenu zenji
mapinduziiii daimaaaa

Kushirikiana na cuf bungeni ni kama kushirikiana na ccm ambayo ina mapenzi makubwa na cuf kwa wakati huu, sasa upinzani maana yake nini?
 
Mimi nilishashangaa sana jinsi Hamad Rashid alivyojichanganya katika kauri zake nyingi siku ya mdaharo.
  1. Alisema kuwa muafaka hautambui kushirikisha vyama vidogo kwenye SMZ lakini anataka vyama vidogo vya bara vishirikishwe kwenye serikali kivuli ya upinzani.
  2. Wakati yeye akijinasibu kama mpinzani halisi lakini anawawekekea CHADEMA masharti ya kutambua uchaguzi uliochakachuliwa na ambao hauwezi kuhojiwa wa Rais.
  3. Alikuwa anaingiza majina ya Dr. Slaa na Kabwe kwenye hoja zake kama vile viongozi hawa wa CHADEMA wanatofautiana na msimamo wa Mwenyekiti wao.
  4. Alikuwa anajisifia kuwa wao CUF walidai mabadiliko ya Katiba hadi watu 47 wakafa kama vile hiyo ndiyo sifa ya kazi waliyofanya.
  5. Yeye haoni kama mabadiliko ya katiba ya JMT ni muhimu tena kwa kuwa mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yameisha fanyika baada ya damu kumwagika.
  6. Maneno yake kuhusu udini yanajichanganya maana asilimia 100 ya wabunge wake ni dini moja na ninahisi kuwa hata wanachama wake au safu ya uongozi wa chama chake ni zaidi ya 95%!!
  7. n.k

1. Mbona CHADEMA ni Chama cha kikabila, kirefu chake ni CHAGGAS DEVELOPMENT MANIFESTO, wewe walijua hili ?
2. 98% ya viongozi wake ni wa kutoka upande wa kanda ya kaskazini ya nchi, una ubishi juu ya hilo ?
3. Udini ndio umekithiri ndani ya CHADEMA, zaidi ya 95% ni wa dini moja. Unalisemeaje hilo ?
4. Upendeleo wa wazi wazi wa kupeana madaraka, angalia viti maalum walivyo gawiana watu wa koo za viongozi, ni haki kweli ?
 
Hamad Rashid anazifikiria million 100 alizokuwa anapata wakati akiwa kiongozi wa kambi ya upinzani, Analikumbuka lile Shangingi alilokuwa amekabidhiwa na serikali na sasa anajua kuwa vyote hivyo atakabidhiwa Freeman Mbowe, kwa hali ya kawaida lazima atachanganyikiwa na kujichanganya. Wivu ulimjaa akashindwa kujificha na kuanza kuonyesha kisirani kwa kudai kila kitu na kuanzisha mbinu za kuwaumiza CHADEMA ili washindwe kufanya kazi.

Jaribio lake la kutaka kuanzishwa kwa kambi ndogo ya upinzani , litafanikiwa kwani CCM watafanya lolote ambalo wanahisi litaikomoa CHADEMA lakini kila hatua watakayo fanya itashindwa kwani CHADEMA imekubalilika kwa wananchi na hata Nyerere aliikubali tangu kilipoanzishwa!

Wapinzani wa kweli wanajulikana ndiyo maana CCM siku hizi haihangaiki na CUF ipo busy na CDM muda wote wakitafuta means ya kuingamiza ambayo moja wapo ni kuiweka CUF karibu na Vyama vingine vya upinzani kama NCCR, TLP na UDP.

Sure, umeongea nukta tupu! Hata hivyo hiyo kambi ndogo haitambuliwi na kanuni za bunge, cdm waipinge hii kambi bungeni!
 
Back
Top Bottom