Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

CUF walishindwa kuunda kambi ya upinzani peke yao 2005 kwani hawakuwa na wabunge wa kutosha. waliungana kwa shingo upande na CDM na vyama vinginevyo lakini hawakuwa na nia hiyo bali shingo upande.
Leo hii wanadhihirisha kwamba ni waroho na walafi wa ukwasi wala hawana nia ya kweli kuwakomboa wananchi wa tanzania. Ukiangalia mwenendo wao kule zenji imekuwa ni kuwaburuza wanachama wake kwenda mahala wasikokutarajia. na pia hata ile ndoa ya cuf na ccm kule zenji ni baina ya Sherif na ccm na si vinginevyo. kama wanabisha walete mezani majadiliano waliyoyafanya na Karume walipokutana faragha.

Pia kitendo cha kusoea mbele na kujaza nafasi za wabunge wa chadema walipotoka ukumbini ni dalili mbaya sana kwa demokrasia nchini. Inaonesha hata viongozi ambao wanaweza wakawa wameshiriki kutunga sheria mbalimbali bado wakawa ni mambumbumbu. CUF wanapaswa kujua kwamba Watanzania ni werevu kuliko wanachama wake wa visiwani. Wanapozungumzia suala la UDINI kwenye CDM. wao wanasimamia mimbari ipi basi??

Nasema kwamba ccm ina majeshi mengi ya akiba na yanazidi kujitokeza kila kona. unajua mchawi anapokata roho hutapatapa sana mpaka kila kitu kiwe wazi ndo hufa. so as to ccm
 
HAMAD Rashid alitoa hoja za kisomi na kuonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa. Mdahalo ulidhihirisha kuwa CHADEMA haijabaleghe kiasi cha kupewa nchi. Hii ilidhihirishwa na namna mbowe alivyojenga hoja. Chadema wanahitaji muda mwingi sana kukomaa. Kura walizopata safari hii ni kwa sababu watanzania wengi wanafanya mambo kishabiki na kwa kufuatamkumbo wa vyombo vya habari.

Nafikiri mmeipata hiyo. HAMAD kamfunika vibaya sana mbowe. Tutahitaji kuona kuwa MILIONI 100 za kiongozi wa upinzani bungeni zinakwenda kwenye research kama walivyokubaliana HAMAD na slaa kwenye bunge lililopita.

pole ila leoutakula matusi kutoka kwa mashabiki mpaka ukome-ila kuna ka ukweli flani ktk hoja yako
 
Ni kweli kabisa Hamadi alionekana akijibu kwa kujiamini huku akimuachia Mbowe masuala mengi na kumpa wakati mgumu .Watu wengi wameona ukomavu wa Hamad na ni jinsi gani alikuwa akimdhibiti Mbowe ,kiasi cha kumfanya Mheshimiwa Mbowe awe anakamata huku na kule ,mara amerukia Katiba mara amerukia Zanzibar mara ..yaani kwa kweli mdahalo ulikuwa mzuri sana kwa alietaka kufahamu.
 
ah we muongo na unaongelea ushabiki huna lolote, Hamad anataka cheo (mpenda madaraka) kwani wao CUF wameongoza kambi ya upinzani bungeni kwa miaka mingapi? kuna chama chochote cha upinzani kilipingana nao? alafu anajidai eti sera yao ni umoja wa kitaifa, umoja wa kitaifa BARA?? mi nadhani yeye ndo anaetakiwa kujifunza kutoka CDM, mbali na hayo yote kanuni za bunge zinasemaje kuhusu uundwaji wa kambi ya upinzani? yeye kama anazungumza maswala ya serekali ya umoja wa kitaifa bara kwa nini asijiunge na kambi ya CCM?
Si ustaarabu kumtukana HOJA INAJIBIWA NA HOJA.......
 
HAMAD Rashid alitoa hoja za kisomi na kuonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa. Mdahalo ulidhihirisha kuwa CHADEMA haijabaleghe kiasi cha kupewa nchi. Hii ilidhihirishwa na namna mbowe alivyojenga hoja. Chadema wanahitaji muda mwingi sana kukomaa. Kura walizopata safari hii ni kwa sababu watanzania wengi wanafanya mambo kishabiki na kwa kufuatamkumbo wa vyombo vya habari.

Nafikiri mmeipata hiyo. HAMAD kamfunika vibaya sana mbowe. Tutahitaji kuona kuwa MILIONI 100 za kiongozi wa upinzani bungeni zinakwenda kwenye research kama walivyokubaliana HAMAD na slaa kwenye bunge lililopita.

Unakurupuka tu bila critical analysis; checki hiyo red: hoja za kisomi na ukomavu upi mbona hukuweka wazi ili wana JF wachambue? May be to you; but not to most of us; hakuna anayeweza kumlinganiza huyo Hamad (sijui CUF or CCM in disguise) hafui dafu kwa Mbowe, ni kama wewe tu ambaye unakurupuka tu na some erroneous statements. Go to school if there is still a chance for you....
 
HAMAD Rashid alitoa hoja za kisomi na kuonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa. Mdahalo ulidhihirisha kuwa CHADEMA haijabaleghe kiasi cha kupewa nchi. Hii ilidhihirishwa na namna mbowe alivyojenga hoja. Chadema wanahitaji muda mwingi sana kukomaa. Kura walizopata safari hii ni kwa sababu watanzania wengi wanafanya mambo kishabiki na kwa kufuatamkumbo wa vyombo vya habari.

Nafikiri mmeipata hiyo. HAMAD kamfunika vibaya sana mbowe. Tutahitaji kuona kuwa MILIONI 100 za kiongozi wa upinzani bungeni zinakwenda kwenye research kama walivyokubaliana HAMAD na slaa kwenye bunge lililopita.

Hukumsikia JK pale JNIA aliposema watanzania 70% ufuata upepo? Watanzania wameichoka CCM na wala si vingenevyo. Nafikiri kwa sasa 70% wako makini na 30% ndio wanafuata mkumbo au upepo na ifikapo 2015 95% watakuwa makini ndipo yale ya Kenya ya 2007 yatakapotokea Bongo!
 
Huyu hamad anatoka kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....eeeeeeeeeee Znz, yy nani anatuongelea maisha yetu bara? mpuuzeni. huyu
si mpinzani tumeongea usiku na mchana, hafaiiiiii
 
panya we!!!
kama mpaka sasa hujachezea ban, basi ujue mods wanasheherekea ufuta na bumunda walizogawiwa kwenye sherehe ya mavuno ya kumbikumbi.
jiepushe lugha kama hizi mwana.
nimeudhika kama wewe ila inapaswa ujenge hoja shekhe.
 
Naomba nikuulize

Chadema ina wabunge 22 wakuchaguliwa kutoka maeneo mbalimbali Tanzania Bara

wakati CUF ,80% ya wabunge wake wa kuchaguliwa wametoka pemba wanne unguja na wawili wametoka Mkoa wa lindi( kwa nguvu ya misikiti maeneo hayo)

Kimsingi wabunge wote wa kuchaguliwa wa CUF ni dini fulani

Kwa maelezo hayo juu , ni kipi kati ya CDM na CUF ni cha Kikabila/Kidini ?

My Take
CUF ni chama cha Wapemba na huku bara hawawezi kitu unless wapige Kampeni miskitini

CUF, CHADEMA vyote vyama vya kidini. CHADEMA cha wakristo na CUF cha waislam kwaisha kwa hiyo msituambie kuwa eti nyie mnataka maslahi ya KITAIFA mnataka maslah ya kanisa tumeona ARUSHA, IRINGA. kuna ma padri wamegombea chadema umesikia kuna sheikh amegombea CUF? ila vyote vya kidini. Sizuge watanzania
 
JK amezungumzia suala la udini kama moja ya vipaumbele vyake kama si kosei ni nambari 1 lakini ameshindwa kuainisha huo udini uko wapi,umejitokeza katika masuala yapi?nani walikuwa maengineer wake?!tukumbuke huwezi tatua tatizo kama hujui kisababishi chake

wewe ndo hujui JK analijua kisababishi chake na ma injinia wake. Hata zito kabwe anajua tatizo lenyewe la UDINI chadema mtamtema muda si mrefu maana vikao vingine mnamtenga wakijadili sera chafu za udini
 
HAMAD Rashid alitoa hoja za kisomi na kuonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa. Mdahalo ulidhihirisha kuwa CHADEMA haijabaleghe kiasi cha kupewa nchi. Hii ilidhihirishwa na namna mbowe alivyojenga hoja. Chadema wanahitaji muda mwingi sana kukomaa. Kura walizopata safari hii ni kwa sababu watanzania wengi wanafanya mambo kishabiki na kwa kufuatamkumbo wa vyombo vya habari.

Nafikiri mmeipata hiyo. HAMAD kamfunika vibaya sana mbowe. Tutahitaji kuona kuwa MILIONI 100 za kiongozi wa upinzani bungeni zinakwenda kwenye research kama walivyokubaliana HAMAD na slaa kwenye bunge lililopita.

wewe ndo shabki mkubwa wa kushabikia vitu usivyo vijua.
 
jamani kwa ushabiki huu huu ndio uliotufikisha hapa tulipo, hawa cuf ipo wazi kwani si wapinzani tena bali wamebakia kuwa masalia ya sisimu na huyo Hamad ana uchu tu wa madaraka wala si kingine..................habari ndio hiyo cuf wamechemka na raia hawadanganyiki now:whoo:
 
Duh! ama kweli wewe ni mpenzi wa Freemen Mbowe.kwa sababu ni ntu wa kwanza nakusikia una uthubutu wa kusema hayo wakati watu wote tulioangalia mdahalo tuliona umakini wa Hamad, pamoja na moderator kutoficha ushabiki wake wa kijinga kwa chadema na kuonyesha ni jinsi gani hafai kuwa moderator na ni mradi wake tu wa kutafuna hela za donors ili agange njaa,elimu ya Mbowe ni ndogo sana na ilijionyesha alivokuwa na jazba na kushindwa kujibu au kupanga hoja didhi ya Hamad, nawashauri mpelekeni Mbowe akasome kwa sababu form six yake ya Ihungo ndio cheti halali alicho nacho hayo mengine hajawahi hata kuka darasani miezi sita!!!! atapiga disco saa ngapi,na mambo mengine kadha wa kadha>>>>?ndiyo arudi kupambana na wasomi wazoefu kama Hamad, kwetu CUF tunasema angalao Dr.Slaa anaweza akafanya mdahalo na Hamad kikaeleweka., na hii forum ikiendelea kuegemea kwenye u chadema tutaiponda sio muda mrefu ujao, itabaki kuwa ubao wa matangazo wa chadema

Wewe mwenye post 11 tu tena zote pumba hata ukiondoka utakuwa umetuondolea kikwapam chako na ukumbuke kuvuja kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi! This is a home of great thinkers and i doubt if it is a place where you belong!!! Kwenda huko panapokufaa!!
 
CUF walishindwa kuunda kambi ya upinzani peke yao 2005 kwani hawakuwa na wabunge wa kutosha. waliungana kwa shingo upande na CDM na vyama vinginevyo lakini hawakuwa na nia hiyo bali shingo upande.
Leo hii wanadhihirisha kwamba ni waroho na walafi wa ukwasi wala hawana nia ya kweli kuwakomboa wananchi wa tanzania. Ukiangalia mwenendo wao kule zenji imekuwa ni kuwaburuza wanachama wake kwenda mahala wasikokutarajia. na pia hata ile ndoa ya cuf na ccm kule zenji ni baina ya Sherif na ccm na si vinginevyo. kama wanabisha walete mezani majadiliano waliyoyafanya na Karume walipokutana faragha.

Pia kitendo cha kusoea mbele na kujaza nafasi za wabunge wa chadema walipotoka ukumbini ni dalili mbaya sana kwa demokrasia nchini. Inaonesha hata viongozi ambao wanaweza wakawa wameshiriki kutunga sheria mbalimbali bado wakawa ni mambumbumbu. CUF wanapaswa kujua kwamba Watanzania ni werevu kuliko wanachama wake wa visiwani. Wanapozungumzia suala la UDINI kwenye CDM. wao wanasimamia mimbari ipi basi??

Nasema kwamba ccm ina majeshi mengi ya akiba na yanazidi kujitokeza kila kona. unajua mchawi anapokata roho hutapatapa sana mpaka kila kitu kiwe wazi ndo hufa. so as to ccm

Kwenye Red si kweli. CUF walikuwa na wa kutosha na waliunda kambi ya upinzani peke yao lakini baadaye wakaamua kuwashirikisha vyama vingine vya upinzani
 
kwani CUF ni wapinzani?

Tena, kwa nini Mdhalo ulikuwa baina ya Upinzani Rasmi (CHADEMA) na CUF; and not Upinzani CHADEMA vs CCM? Mwenye macho haambiwi tazama Umma ushaona kuwa CUF si Upinzani tena bali sehemu ya utawala.
 
Hivi hawa KAFU hawa, sorry, hawa Wapemba hawa wana nini kulinganisha na Wachaga? Nawatahadharisha waache wanyo yafanya, wasiendeshe na kuendeleza chokochoko zao hadi wakawafanya Wachaga washituke na kujiona kuwa ni walengwa wa kubaguliwa! Ole wenu na nyie Wapemba na wote wanao wadhamini katika hili maana wachaga watakapo aanza kuutafuta umoja wao Wapemba mtaumia!!

CCM na SMZ viliwabagua nyinyi kwa muda mrefu hadi ubaguzi huo ukawafanya mjitambue na kuwa na umoja, hivyo hivyo Wachaga wanaweza kuja kutambua kuwa CHADEMA ndiyo kwao na wakaisambaratisha CCM. Kumbuka Wachaga wako nchi nzima ukiacha Pemba!
 
Ukiangalia CUF ni kwamba sasa inakandamiza upinzani,imejiona ni sehemu ya chama tawala.Chama chenyewe uwakilishi wake ni wa ZNZ zaidi,huku bara ni sawa na zero.Nafikiri wao wangehangaika na siasa zao za huko visiwani kwani hata hazifanani na za huku.Ule mdahalo umetudhihirishia kwamba uamuzi wa cdm kutowashirikisha bungeni ni wa msingi kabisa.Na pia maslahi yanawaponza sana CUF.
 
Kwa wale wasojua siasa za CUF ni kwamba lengo lao ni Zanzibar na kwamba huku bara wapo kukidhi matakwa ya kisheria tu ndiyo maana namshangaa sana Prof. Lipumba kutogundua hilo licha ya kuidhinishiwa fedha kidogo san kwa kuimarisha chama bara na hata wanasiasa wote wa bara hukatishwa tamaa na hata ikitokea lolote kwa profesa akishindwa majukumu yake basi hana mbadala wake. Walio nje hudhani ni udini siyo, ni uzanzibari. Hata waislam wa bara hawathaminiwi kama wenzao wa visiwani(siyo Ukererewe!). Maalim Seif ana nafasi kubwa ya kuijenga CUF bara lakini kwa vile si lengo ameitelekeza na kung'ang'ania wapigakura wa Zanzibar ambao ni wachache kidogo kuliko wale wa jimbo la Ubungo(wakipiga kura wote)! Kwa ujumla Hamad anataka tu hiyo mil.200/= gari na nyumba ya KUB lakini wanajisahau wao ni watawala na wana uwezo wa kuomba nafasi za uwaziri kwa Kikwete na kwa vile wanamtmbua na kumtii sana hatashindwa kuwapa walau moja.
 
Back
Top Bottom