Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Ndugu wana jamvi hili Tukufu,
Jana nilkuwa naangalia Luninga na hususan ITV. kipindi live kilikuwa ni Mdahalo kati ya Mbowe na Hamad. Kilichonisikitisha na Hadhira iliyohudhuria. Hawakuwa na discipline! Sasa je ni uchanga wa kuendesha na kuhudhuria midahalo au ni ushabiki? maana midahalo kama ile ushabiki upo lakini basi uwe na kiasi. Maana ilikaribia ngumi!!!! it was a shame!! mpaka ITV kwa busara wakaamua kukatisha matangazo mpaka pale hali ilipotulia. Je what kind of A lesson tumepata pale kama kweli tunataka sauti zetu zisikike? hata kama mnatofautiana mitazamo use arguments sio ushabiki usio na mipaka as if it was a campaign ya kutafuta mshindi!! Jamani WATANZANIA TUBADILIKE NA TUWE WASTAARABU MAANA NEXT TIME WATU WANAWEZA KUDHANIA MIDAHALO HAINA MAANA. Tuache utamaduni wa kutumia hoja ya nguvu na hisia kufikisha ujumbe badala tutumie nguvu ya hoja. Ni VEMA KWA WANDAAJI WAWE WANATOA ELIMU KWA HADIRA INAYOHUDHRIA KABLA YA KUANZA KURUSHA LIVE Its embarasing. Sijui wenzangu mnasemaje kuhusu hilo. Jamii forums as great Thinkers what do we suggest?

nawapenda watu wenye fikra chanya kama zako, tatizo letu watanzania tupo kiushabiki, yaani mtu akipenda kitu haangaiki hata kufauatilia kuwa wapi kiko sawa au kimekosea, sisi tunaendeshwa na mawazo ya wanasiasa badala ya kufanya utafiti kujua ukweli wa yale wanayoyasema, tunenda katika midahalo tumemeza maneno yao sasa si lazima tutwangane hapo hasa pale anapochokonolewa na upinzani uliomakini wakatiwashabiki wanajua kuwa chambo hilo ni hivi , mfano mdogo ni humu jf ukiwa tofauti kidogo ugomvi, utatukanwa mpaka ukome, watu wamebinafsisha jamvi sasa mdahalo unadhani patakalika huko
 
mimi naomba nikae pembeni maana niliwahi kusema baada ya chadema kuona haiwezi kupambana na ccm baada ya jk kuchagua mawairi makini sasa turufu ya kisiasa itakuwa ni kupambana na cuf. Asante kwa kuwa admin aliondoa ujumbe wangu lakini kama nilivyosema chadema wangefia mikononi mwa cuf. Sasa yamekuwa!. Sisi wananchi tunawasoma wote na tuna maamuzi yetu. Jamani huu ulikuwa ni mdahalo kati ya mwenyekiti wa chama na mbunge. Sio mwenyekiti na mwenyekiti. Au katibu wa chama na katibu mwenake. Hiki ndicho chama makini!!!!!. M/kiti anayumbayumba. Bora mbayuwayu anachanganya pia na akili zake. Its a political shame to chadema and gain to cuf.
chadema wanajishtaki kwa wananchi. Lost of political power.
wale tunaoshabikia nadhani niwakati wa kuangalia ukweli na mustakabi wa nchi yetu. Hatuwezi kufika tuendako ikiwa tunaanza kuonyesha ubinafsi na uzandiki sasa. Ombi langu kwenu wanasiasa "msitupeleke kwenye siasa zisizo chimbuko la utanzania". Sifa yetu inatokana na mila zetu tukufu. Enedelea kudelete lakini watanzania sio wajinga.
 
Ndugu wana jamvi hili Tukufu,
Jana nilkuwa naangalia Luninga na hususan ITV. kipindi live kilikuwa ni Mdahalo kati ya Mbowe na Hamad. Kilichonisikitisha na Hadhira iliyohudhuria. Hawakuwa na discipline! Sasa je ni uchanga wa kuendesha na kuhudhuria midahalo au ni ushabiki? maana midahalo kama ile ushabiki upo lakini basi uwe na kiasi. Maana ilikaribia ngumi!!!! it was a shame!! mpaka ITV kwa busara wakaamua kukatisha matangazo mpaka pale hali ilipotulia. Je what kind of A lesson tumepata pale kama kweli tunataka sauti zetu zisikike? hata kama mnatofautiana mitazamo use arguments sio ushabiki usio na mipaka as if it was a campaign ya kutafuta mshindi!! Jamani WATANZANIA TUBADILIKE NA TUWE WASTAARABU MAANA NEXT TIME WATU WANAWEZA KUDHANIA MIDAHALO HAINA MAANA. Tuache utamaduni wa kutumia hoja ya nguvu na hisia kufikisha ujumbe badala tutumie nguvu ya hoja. Ni VEMA KWA WANDAAJI WAWE WANATOA ELIMU KWA HADIRA INAYOHUDHRIA KABLA YA KUANZA KURUSHA LIVE Its embarasing. Sijui wenzangu mnasemaje kuhusu hilo. Jamii forums as great Thinkers what do we suggest?

Anything can happen anywhere and organisers cannot forsee everything. Midahalo iliyopita ilienda vizuri na hivyo kila mtu alitegemea hata huu utaenda vizuri. Nirudi kwenye hoja yako. Mimi nimejifunza kuwa CUF ni nusu serikali na nusu upinzani na hivyo si rahisi kuunda kambi ya upinzani wenye nguvu! Kwa vyovyote CUF itatumika kudhoofisha nguvu za upinzani ili agenda yake ya serikali ya kitaifa ionekane ndiyo suluhisho la pekee!
 
Pipoooooooz!!! Kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!
Mbona sisikii kule? Pipooooz!!! Ziiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
Mdahalo kati ya "mbunge" na "mwenyeketi"
natamani chadema iongozwe na mh. Zito zuberi kabwe! Mbunge pekee makini - chadema!
 
hao nguruwe ni akina nani? kulingana na dini yake alikuwa anamaanisha kabisa wala sio mchezo,akutukanaye hakuchagulii tusi...
Mbona mnamkoti vibaya hr, alisema kuwa ukiwa na shamba huwezi achia nguruwe wakala, akifananisha na kususia uchaguzi
 
Ule ulikuwa ni mdahalo mbovu katika midahalo yote niliyowahi kuiona, kuisikia au kuhudhuria.

Kwanza Mwenyekiti alikuwa hajui akifanyacho. Alikuwa ana act kama vile ni mwenyekiti wa kikundi cha kuigiza.

Huyo Mbowe ndio kabisaa, hata sijui alikuwa anaongea nini, mara Rais tunamtambuwa, Mara serikali tunaitambuwa mara Matokeo jinsi yalivyotolewa hatuyaytambuwi, yaani ni kama komedi origino, na ataipata wiki hii kwa hao kina komedi, akajitazame.

Na huyo Hamad alikuwa haeleweki, yaani ni upupu mtupu.

Bogus.

Kwa hiyo ndugu yangu' kama ulikuwa unategemea majibu, nakupa pole sana. Wala hutopata majibu kutoka Chadema wala CUF.

Nadhani Chadema wangempeleka Zitto angeongea la maana kuliko huyo Professional DJ.
Bora kidogo HR aliongea vizuri.

Ukiangalia mdahalo ukiwa biased huwezi kujifunza chochote. Zitto kakufanyia nini au kakupa nini mpaka ndiye akiongea hata kama hajaongea aonekane bora kwako kuliko Mbowe? Na alternative ya Hamad naye angekuwa Zitto au wewe mwenyewe?
 
Ule ulikuwa ni mdahalo mbovu katika midahalo yote niliyowahi kuiona, kuisikia au kuhudhuria.

Kwanza Mwenyekiti alikuwa hajui akifanyacho. Alikuwa ana act kama vile ni mwenyekiti wa kikundi cha kuigiza.

Huyo Mbowe ndio kabisaa, hata sijui alikuwa anaongea nini, mara Rais tunamtambuwa, Mara serikali tunaitambuwa mara Matokeo jinsi yalivyotolewa hatuyaytambuwi, yaani ni kama komedi origino, na ataipata wiki hii kwa hao kina komedi, akajitazame.

Na huyo Hamad alikuwa haeleweki, yaani ni upupu mtupu.

Bogus.

Kwa hiyo ndugu yangu' kama ulikuwa unategemea majibu, nakupa pole sana. Wala hutopata majibu kutoka Chadema wala CUF.

Nadhani Chadema wangempeleka Zitto angeongea la maana kuliko huyo Professional DJ.
Bora kidogo HR aliongea vizuri.

Sasa mbona unajichanganya? tukuelewe vp, mara HR upupu mtupu mara aliongea vizuri!
Halafu suala la Professional DJ linaingia wapi? nafikiri ni vyema uchambue kile kilicho ongelewa bila kuangalia ni nani kaongea.
 
sasa kama mwenyekiti wa chama alikuwa hajui anachokiongea wafuasi watakidefendi vipi chama mitaani, Mdahalo wa jana umenifanya niwaze kuwa kunatatizo ndani ya chadema, wanashindwa kuoganize mambo yao ili wananchi waelewe nini hasa msimamo wao, mara tunamtambua Rais, ila matokeo hatuyatambui, we mbweha nini tushike nini tuache nini? sasa naanza kuona chanzo cha zittoku tokubali suala la kutoka nje wakati mkwele anahutubia kumbe wenda kulikuwa na mkanganyiko katika kutambua basis ya lile tendo ni nini?

Maoni yako usiyafanye yawe matters of fact.
 
hao nguruwe ni akina nani? kulingana na dini yake alikuwa anamaanisha kabisa wala sio mchezo,akutukanaye hakuchagulii tusi...

sasa wewe unadhani hao nguruwe ni kina nai mbona naona unajitukana mwenyewe kwa kujipachikia tusi
 
mimi naomba nikae pembeni maana niliwahi kusema baada ya chadema kuona haiwezi kupambana na ccm baada ya jk kuchagua mawairi makini sasa turufu ya kisiasa itakuwa ni kupambana na cuf. Asante kwa kuwa admin aliondoa ujumbe wangu lakini kama nilivyosema chadema wangefia mikononi mwa cuf. Sasa yamekuwa!. Sisi wananchi tunawasoma wote na tuna maamuzi yetu. Jamani huu ulikuwa ni mdahalo kati ya mwenyekiti wa chama na mbunge. Sio mwenyekiti na mwenyekiti. Au katibu wa chama na katibu mwenake. Hiki ndicho chama makini!!!!!. M/kiti anayumbayumba. Bora mbayuwayu anachanganya pia na akili zake. Its a political shame to chadema and gain to cuf.
chadema wanajishtaki kwa wananchi. Lost of political power.
wale tunaoshabikia nadhani niwakati wa kuangalia ukweli na mustakabi wa nchi yetu. Hatuwezi kufika tuendako ikiwa tunaanza kuonyesha ubinafsi na uzandiki sasa. Ombi langu kwenu wanasiasa "msitupeleke kwenye siasa zisizo chimbuko la utanzania". Sifa yetu inatokana na mila zetu tukufu. Enedelea kudelete lakini watanzania sio wajinga.

Unless uoneshe wapi aliyumba, nitaendelea kuamini unachosema ni upupu. Kama una chuki binafsi huwezi kuona chema chochote kutoka kwa mtu unayemchukia au kwa mtu ambaye chama chake unakichukia. Lete data na siyo tu kutoa 'blanket statements'!
 
Nafikiri huu ni msemowa kawaida wa kiswahili,kwa kuwa nguruwe ni mnyama mwalibifu wa mazao ya shamba,mnyama huyu hutumiwa kama kitoweo na baadhi ya wanadamu.
 
HR alikuwa na maana CUF hawawezi kuwaachia CCM manguruwe wale shamba peke yao lazima na wao wale na nguruwe pamoja, ina maana nguruwe wakitapika CUF wanakula, simple kwanini mzunguke wakati maana iko wazi?
 
why Nguruwe na isiwe nyani? ina maana hajui nguruwe ni sacred animal kwa baadhi ya watu?
Ukiona kiongozi anawaza mambo kama hayo juwa na wafuasi wake wengi wanawaza hayo hayo, very short minded person hapa kaonyesha jinsi CUF walivyo na chuki na watu wengine ikiwemo CCM.
 
HR alikuwa na maana CUF hawawezi kuwaachia CCM manguruwe wale shamba peke yao lazima na wao wale na nguruwe pamoja, ina maana nguruwe wakitapika CUF wanakula, simple kwanini mzunguke wakati maana iko wazi?
nimecheka sana wewe kiboko unajua Taifa limefika pabaya sana kila kitu kinatazamwa kwa rangi ya udini
 
Unless uoneshe wapi aliyumba, nitaendelea kuamini unachosema ni upupu. Kama una chuki binafsi huwezi kuona chema chochote kutoka kwa mtu unayemchukia au kwa mtu ambaye chama chake unakichukia. Lete data na siyo tu kutoa 'blanket statements'!

na sawa sawav kwa unayempenda sana huwezi kuona mapungufu yake mpaka akufikishe mwisho
 
mdahalo ulikuwa mzuri. kila swali lilijibiwa vyema na Mbowe alikwa juu
 
Kaona mbali, pamoja na uchafu wote wa nguruwe (CCM) bado anashirikina nao ili CCM wasilimalize shamba la bibi peke yao, CDM mko wapi shamba linaliwa na nguruwe nyie mnaangalia tu mna strategy gani.

Big up HR it is a significant kind of message to CCM, but hard to swallow.
 
Back
Top Bottom