Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

Cha msingi watanganyika yunatakiwa tumpuuze huyu mbeba koti wa maalim,,haka kajamaa kanapinga saana muungano ilihali pesa anazolipwa na chama chake ni jasho la walipa kodi kutoka Tanganyika, jamaa ni mdini, mbaguzi na ana wivu mkubwa na maendeleo ya demokraisa huku tanganyiaka,

kwa mtizamo wake finyu alifikiri CUF KUUNGANA NA CCM angepewa uwaziri,,imefikia waktai sasa watanganyika tuamke na kuwapinga wazi wazi hawa wazanzibari,ambao bila sisi hawataweza endesha kataifa chao

wewe JUSSA twajua upo hapa JF kwa ID nyingi tu dharau zako zitafika mwisho kumbuka soon utakuwa unakuja dar es salaam kwa Passport wewe pamoja na huyo unayembebea koti

WATANGANYIKA AMKENI akiwemo raisi hawa vibua na wala popo nunda ni chui wa karatasi wanatetea ulaji wao Tanganyika na sasa wanakula bila kunawa mbunge wa zanzibar hapa TANGANYIKA NI mjumbe wa nyumba kumi angalia ukubwa wa baraza lao la mawaziri makatibu wakuu kila tume ya muungano zanzibar inawakilishwa na wajumbe zaidi.......... angalia kwenye mdahalo wapemba walivyo jazana bado wanadai wanaonewa unapo kula na kipofu usimshike mkono
 
Kwa mtazamo wa juujuu unaweza kusema hivyo. BUT, mark my words: 1. Mdahalo wa leo unatoa taswira nzima juu ya nani anabeba matumaini ya watanzania. Siku zote tumekuwa tukijikita 2. kwenye mawazo ya kuunganisha upinzani, ambayo 3. kimsingi nayaona kwamba si mawazo yenye sustainability ndani yake. Hii ni kwa sababu wakati baadhi ya vyama vikijikita katika kutetea maslahi ya Taifa, vingine vimekuwa vikitaka tu kupata madaraka.

4. Amin amin nawaambia: Mdahalo huu utaongeza nguvu ya CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani bara maradufu. And this is the last thing CCM would want to see happening.

Kabla ya Mdahalo huu, nilifikiri Hamad ni kiongozi mwenye upeo, la hasha...Nachelea kusema kwamba " ashukuriwe Mungu afunuaye na kuyaweka peupe yale tusiyoyajua, hata dhamira za wanadamu"

- Mkuu tatizo la Wapinzani kutokuuungana ndipo hasa kwenye mtaji wa CCM kutawala hili taifa kwa muda mrefu sana, I mean realistically itachukua miaka mingapi chama kimoja cha upinzani Tanzania, kuweza kuingiza majority ya wabunge bungeni bila ya kuungaana na vyama vingine?

- I mean ni chama gani cha siasa Duniani ambacho lengo lake sio kushinda uchaguzi na kutawala, utafanya mageuzi gani kama hutawali? Au hata kua na harufu ya kutawala? Kweli unaamini kwamba Chadema on its own wana uwezo wa kuwalazimisha CCM, kubadili katiba? CCM sawa wana mapungufu makubwa sana kwenye uongozi, lakini hawajawahi kuwa na mapungufu kwenye ku-figure out how to stay in power, I mean politically Wapinzani wawili wanapopigana lazima kuna atakayefaidika na ile vita na huhitaji kuwa na PhD kujua mshindi wa vita vya leo ni nani,

- Chadema wanahitaji sana kuwa strong Bara na Visiwani pia, kwa mwendo wa huu mdahalo wa leo hiyo ni ndoto ya muda mrefu saaaana, CCM hawawezi kuwa wajinga kukubali serikali ya Muafaka kwenye uchaguzi huu unafikiri waliona nini mbele? Ni lazima walijua kwamba CUF wakishinda uchaguzi Visiwani wakashika nchi ni rahisi sana kuhamishia mabadiliko hayo huku Bara, kuyazuia ilikuwa lazima kukubali muafaka in the process kuwagawa zaidi Wapinzani kama ilivyothibitishwa leo na huu mdahalo, I mean nothing personal lakini Demokrasia inaturuhusu kutoa analysis tofauti kwa the same political event!

Thaanks!

William.
 
"PEOFFESSIONAL DJ"......hii imanikumbusha aliyepindua serikali ya MADAGASCAR.....kumbe bwana Mbowe ni proffessional katika hii fani...ooh thats great and new vocabullary to me
ooh dear....

What a crap of the week!!

sijui hii post inaendanaje na topic ya mdahalo wa jana... and i wonder nini maana ya PhD iwapo DJ na PhD holder wanatoana kamasi hadi wa PhD anahamaki kitoto

In short ni kwamba tuna safari ndefu sana huko mbele....

  1. Muongoza mdahalo bado hajaweza kukamata usukani ipasavyo
  2. walioalikwa walishindwa kwa kiasi kikubwa kuwa na kauli zilizo wazi na za kuwakilisha vyama vyao... it was more of "if" and "then"... we dont have straight answers to straight questions, which means level ya confidence ya viongozi we tu bado
  3. wachangiaji humu ni ushabiki mtupu that means we didnt have time kuangalia mdahalo with "neutral minds" - we went in with preconceived ideas and we killed the meaning and expectations of the whole debate
its a circus in Tanzania with those outside the country totally misled and confused from what we see, read and talk

TOO BAD FOR THE COUNTRY
 
Wadau mliopo nyumbani hebu mtujuze nini kinaendelea; nimeikamata hii kwenye Facebook wall ya IISMAIL JUSSA (Mbunge wa CUF) akidhihaki mahojiano ya kwenye ITV ambapo Mbowe na Rashid wanahojiwa "live"
Kwani kulikoni?
Nawasilisha

Ismail Jussa: "Geoffrey, ukiwa shabiki wa Chadema una haki ya kuwa na mtazamo wako ulio tofauti na wangu. Kwa wewe Chadema kuniita mimi CUF muongo wala hainipi shida. Yeyote aliye mkweli kwa nafsi yake anaona jinsi Mbowe alivyo mtupu! After all, ungetegemea nini kutoka kwa professional DJ?"

That's what's called freedom of expression SIR! thanks god we live in a 'democratic' tz hahah haah

Huyu Jussa ndiye anayengojea kurithi mikoba ya ufisadi ya Rostam pindi Muirani huyo atakapotimka nchini. Wawili hawa ni maswahiba wakubwa
sana na kinachoendelea kati yao si vigumu kukijbaini -- kuwaibia Watanzania.
 
In short ni kwamba tuna safari ndefu sana huko mbele....

  1. Muongoza mdahalo bado hajaweza kukamata usukani ipasavyo
  2. walioalikwa walishindwa kwa kiasi kikubwa kuwa na kauli zilizo wazi na za kuwakilisha vyama vyao... it was more of "if" and "then"... we dont have straight answers to straight questions, which means level ya confidence ya viongozi we tu bado
  3. wachangiaji humu ni ushabiki mtupu that means we didnt have time kuangalia mdahalo with "neutral minds" - we went in with preconceived ideas and we killed the meaning and expectations of the whole debate

Sulphuric i agree with you!.... kwanza members of the floor hawakuitendea haki debate... pili vyama vinahitaji kutenganisha wahuni washabiki na wanamaendeleo ndani ya vyama vyao...... tatu organizers wa mdahalo bado kabisa kwa nini?.. midahalo inaongozwa na rules.... sikuona sikuona rules za mdahalo zikisomwa kbla ya mdahalo ..... ili mtu akivunja rules anatolewa nje mdahalo unaendelea.... but all was fracas btn some groups whom i call then uncivilised
 
Ivi wewe una Ubongo au una jiwe coz ungekuwa na Brain ungekuwa unafikiria hata kidogo c unatuwekea Uharo hapa.
Ishu sio Mshahara wa Wabunge wa Chadema ni Mfumo wa Mishahara na Marupurupu wa Watumishi wa Umma wa Kada ya Juu unatakiwa Ubadilishwe ili uendane na Maslahi ya watu wa Kawaida walimu,askari nk,mwenye Jukumu lakubadilisha Khali nzima ni Chama dola sa unafikiri Chadema wakigomea Mishahara tatizo ndo litakuwa limeisha...TUMIA AKILI KAMA HUNA HOJA PIGA KIMYA.

hapa jamaa alishindwa kujua kuwa wabunge wa CDM wakiipeleka hoja hiyo itakataliwa na CUF kwa kushirikiana na CCM na ndio maana mbowe kajibu hivyo hivyo jibu lake halina shaka
 
Wana Jf baada ya kufwatilia mdahalo wa jana kati ya Mh Hamad R na Mh Freeman, nilibaki na maswali mawili magumu kwangu dhidi ya kauli ya Mh Hamadi aliposema kuwa "CUF kutoshiriki uchaguzi wa 2015 ni sawa na kuwaachia NGURUWE shamba".

Sasa je,
1 Mh Hamadi anafananisha washiriki (watu au vyama) wengine kwenye uchaguzi kama HARAMU?

2.Mh Hamad anatuambia kwamba siasa(shamba) imeingiliwa na watu HARAMU?

Hebu nisaidieni wana Jf
 
- Mkuu tatizo la Wapinzani kutokuuungana ndipo hasa kwenye mtaji wa CCM kutawala hili taifa kwa muda mrefu sana, I mean realistically itachukua miaka mingapi chama kimoja cha upinzani Tanzania, kuweza kuingiza majority ya wabunge bungeni bila ya kuungaana na vyama vingine?

- I mean ni chama gani cha siasa Duniani ambacho lengo lake sio kushinda uchaguzi na kutawala, utafanya mageuzi gani kama hutawali? Au hata kua na harufu ya kutawala? Kweli unaamini kwamba Chadema on its own wana uwezo wa kuwalazimisha CCM, kubadili katiba? CCM sawa wana mapungufu makubwa sana kwenye uongozi, lakini hawajawahi kuwa na mapungufu kwenye ku-figure out how to stay in power, I mean politically Wapinzani wawili wanapopigana lazima kuna atakayefaidika na ile vita na huhitaji kuwa na PhD kujua mshindi wa vita vya leo ni nani,

- Chadema wanahitaji sana kuwa strong Bara na Visiwani pia, kwa mwendo wa huu mdahalo wa leo hiyo ni ndoto ya muda mrefu saaaana, CCM hawawezi kuwa wajinga kukubali serikali ya Muafaka kwenye uchaguzi huu unafikiri waliona nini mbele? Ni lazima walijua kwamba CUF wakishinda uchaguzi Visiwani wakashika nchi ni rahisi sana kuhamishia mabadiliko hayo huku Bara, kuyazuia ilikuwa lazima kukubali muafaka in the process kuwagawa zaidi Wapinzani kama ilivyothibitishwa leo na huu mdahalo, I mean nothing personal lakini Demokrasia inaturuhusu kutoa analysis tofauti kwa the same political event!

Thaanks!

William.

Kaka Hapa umemalizaaaa kabisaaa na nafikiria topiki ifungwe tu maana maelezo yako yamejitosheleza Na ndio maana jkila mara nasema Damu ya wale 45 waliokufa itawahukumu CUF kwani hawakufikiria mbali waliingia kichwa kichwa kwenye huu muafaka CUF hawahitaji Madaraka znz na wataendelea kutekeleza sera za CCM na JK alisema wanaangalia kwa hii miaka mitano ikimaanisha mambo yakienda sawa na muafaka utauliwa mbali

thanks Bro. Willy kwa bmchanganuo mzuri na kuweka itikadi yako pembeni na kueleza hali halisi kama ilivyo
 
CUF ni chama cha kidini, ni wabaguzi wanaoendekeza siasa za kidini, hakuna maelezo zaidi, ni SERA ZA CHAMA CHAKE, WABAGUZI, WADINI NA HAWAPENDI KUONA USHINDANI KWENYE SIASA! Walizoea wao pekee kuwa wanasifika, sasa wanaitafutia sababu CDM...
 
@ LAT hujaelewa nini na unamuuliza nani? Kamuulize mh hamad maana mtoa hoja/thread nae anatafuta majibu
 
Hamad rashidi anawivu tu na sio kitu kingine, mie kwanza sijawahi kumwona hamad rashidi kama nimtu mwenye akili hata siku moja. Basi tu kulikuwa hakuna chama makini cha kuwakilisha upinzani...kama kilivyo chadema.
 
@lasikoki.... do you think the quotation is right.... "CUF kutoshiriki uchaguzi wa 2015 ni sawa na kuwaachia NGURUWE shamba".
 
Wana Jf baada ya kufwatilia mdahalo wa jana kati ya Mh Hamad R na Mh Freeman, nilibaki na maswali mawili magumu kwangu dhidi ya kauli ya Mh Hamadi aliposema kuwa "CUF kutoshiriki uchaguzi wa 2015 ni sawa na kuwaachia NGURUWE shamba".

Sasa je,
1 Mh Hamadi anafananisha washiriki (watu au vyama) wengine kwenye uchaguzi kama HARAMU?

2.Mh Hamad anatuambia kwamba siasa(shamba) imeingiliwa na watu HARAMU?

Hebu nisaidieni wana Jf

JAMANI MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI

Kama kweli sisi ni watanzania na kiswahili ndio lugha yetu nadhani tunaelewa ktk lugha ya kiswahili kuna Nahau, Methali, Misemo nk. alicho tumia HR ni msemo ambao utumika sana ktk maongezi hasa ya waswahili wa PWANI mfano.... kumuachia FISI bucha, ....kumuachia nguruwe shamba, ukicheka na nyani utavuna mabua nk.
Walio matajiri wa lugha ya kiswahili hasa wakazi wa mwambao hutumia vizuri sana misemo hii waongeapo, na ndicho alichokifanya HR ktk kuonyesha msisitizo (wengine tumezoea msisitizo huonyeshwa kwa lugha ya kingereza)
na mkumbuke kunakiswahili chenye rahaja ya kiunguja na chenye rahaja ya Lamu, hivyo alichokifanya RH ni kutumia msemo na tamathali za semi(kama sijakosea) katika kuongea kwake pia mkumbuke HR kiswahilichake ni chenye rahaja za kiunguja hivyo tusihukumu hapa kuwa huyu Bwana ni mdini au kafananisha watu na nguruwe kama hatusjui vyema kiswahili tuombe msaada wa manguli wa kiswahili kama Prof Safari nk
 
please clarify ... sijaelewa

mimi nadhani Mh. Hamad Rashid alisema kususia matokeo ya uchaguzi 2010 ni sawa na kumuachia nguruwe shamba....

kama nimeelewa tofauti naomba nieleweshwe
 
Mbona mnamkoti vibaya hr, alisema kuwa ukiwa na shamba huwezi achia nguruwe wakala, akifananisha na kususia uchaguzi
 
Chadema bado kinalack ktk kuatract Muslim Voters. Inabidi wasolve hiyo issue kwanza.

Nakushangaa mwili mzima, CHADEMA inatanguliza maslahi ya TAIFA MBELE siyo maslahi ya dini fulani. CHADEMA siyo taasisi ya dini mbona Yahaya10 (John10) huelewi? thread zako zote zina harufu ya udini dini wewe vipi? Mgumu wa kuelewa harafu mwepesi kusahau tukusaidieje? Tuzungumzie siasa za kitaifa siyo dini za kwenye mahekalu na masinagogi!
 
Yaani hata Kiswahili ni tatizo kwenu? Inaonyesha wengi wenu mlikuwa mnakimbia somo la Kiswahili darasani na badala yake mlikuwa mnakimbilia masomo mengine.

Mh. Hamad Rashid kamtoa show DJ na mmiliki wa only strip bar in Tanzania. Akabaki kujichekeshachekesha tu!
 
Back
Top Bottom