Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Ule ulikuwa ni mdahalo mbovu katika midahalo yote niliyowahi kuiona, kuisikia au kuhudhuria.
Kwanza Mwenyekiti alikuwa hajui akifanyacho. Alikuwa ana act kama vile ni mwenyekiti wa kikundi cha kuigiza.
Huyo Mbowe ndio kabisaa, hata sijui alikuwa anaongea nini, mara Rais tunamtambuwa, Mara serikali tunaitambuwa mara Matokeo jinsi yalivyotolewa hatuyaytambuwi, yaani ni kama komedi origino, na ataipata wiki hii kwa hao kina komedi, akajitazame.
Na huyo Hamad alikuwa haeleweki, yaani ni upupu mtupu.
Bogus.
Kwa hiyo ndugu yangu' kama ulikuwa unategemea majibu, nakupa pole sana. Wala hutopata majibu kutoka Chadema wala CUF.
Nadhani Chadema wangempeleka Zitto angeongea la maana kuliko huyo Professional DJ.
Bora kidogo HR aliongea vizuri.
Ndg yangu kama uliingia na U-CCM yako ungetarajia kupata nini? Uko so biased ndiyo maana umetoka kapa, tuliosikiliza na kuangalia tumejua nini kinaendelea acha ushabiki wa *******.