Nicky82
JF-Expert Member
- Mar 14, 2009
- 941
- 67
kuna mdau kauliza kuhusu upinzani mbona wanawachanganya ccm? hawaoni kama wanawanufaisha CCM?
swali lingine: Hamad anazungumziaje kuhusu kuwaunganisha wapinzani wote??
wanajibu, anaanza Hamad:
anaanza na lile la serikali ya umoja wa kitaifa, anatolea mfano wa lib na conservative kule uk kuiwa wapiga kura ndo wanaforce kwa majibu ya kura