Kweli kabisa.Huu mdahalo unawanufaisha CCM na watajua ni wapi pakuwabomoa wapinzani tokea kwenye huu mdahalo!
nadhani anajitahidi kuwaweka watu kwenye mstari maana wengine wanaenda offpoint kabisaMdahalo unaharibiwa na wauliza maswali pamoja na ubabe wa mwenyekiti.
tundu lissu ndani ya nyumba
????????????????????????Mbowe Vs Mkuu wa mkoa MPYA wa Dar.
Not true......... unaimarisha zaidi upinzani utajua wapi hawaendani na kurekebishaHuu mdahalo unawanufaisha CCM na watajua ni wapi paku wa bomoa wapinzani tokea kwenye huu mdahalo!
Rose udikteta umemzidia.
na uwefiti maana inavyoelekea refa akikaa vibaya nae atapata kibanoDahh, noma hiyo hapo ni kwenye mdahalo, bado bungeni sasa, ntaomba kazi ya urefa wa ngumi bungeni