Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae


Muliza swalii hawaelewi hao ndiyo maana wanapata shida Sana kwenye ndoa au mahusiano ndiyo maana mahusiano mengi yanavunjika mara ndoa Zina kua ndoano vurugu si vuruguu?
Nawapongeza Sana wanaume kwa sabababu ni wavumilivu na jasiri. Mwanaume ana naweza Kuishi na Mwanamke ambaye Hana kazi anakaa tuu nyumbani kwa Miaka mi5
Lakini Mwanamke Kuishi na Mwanaume ambaye Hana pesa au kazi ni siku 5

Ngoja kwanza nikue nikitimiza miaka 25 nitakujibu ,maan bado sijapoa kihasira yaan
 
Hawa viumbe hatujui wanataka nini
d70b3b82d146beada7b00bc00a4f5134.jpg
 
AWE NA AKILI...namaanisha kichwa chake kiwe kinachemka vizuri,yaani nikikaa naye nusu saa tu niwe na cha kujifunza kutoka kwake.
Huyo ndio mwanaume nimtakaye!
 
Kama umenielewa nimesema hatuwezi tukafanana tunavyohitaji hivyo nikikwambia ninachotaka mimi huenda uliyenaye au utakayempata asiwe anahitaji hivyo.

Jitahidi tu kumsoma uliyenaye nina imani hutopata shida ya kujua nini anataka.
Nimependa hekima yako ya ujibuji maswali,barikiwa
 
Back
Top Bottom