Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
26,669
Reaction score
98,581
Hey people,
Happy weekend

Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu

Mimi deep down najijua ni mtu mwenye aibu kali sana inayopelekea kuonekana kama mpole
Japo najitahidi sana kuacha kuwa hivi hasa kwa watu wasionijua

Uzi tayari....
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Nina aibu Kwa mtu nsiemzoea,sio muongeaji sana Kwa mtu mtu nsiemjua mpaka nikujue.nina sifa ya ukimya
Mpole kupitiliza ila ukiniudhi navumilia nikifika ukomo moto unawaka😊
Sipendi kukaa na watu wengi,nafutahia zaidi kuwa na watu wachache au mwenyewe tu.
Kwa kifupi Nina sifa 99,% za kuitwa introvert
 
Mimi ni mlevi wa pombe tu .
Screenshot_20241224-130456~2.jpg
 
Back
Top Bottom