Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

Moja tu hapana ongeza ongeza hata zifike tano
Mkuu sifa zinaweza kuwa nyingi lakini kuna ile moja ambayo wewe mwenyewe unahisi inagusa kabisa kwenye ufahamu wako na uvungu wa moyo wako.
Hiyo ndo naitaka hapa
 
Asilimia kubwa humu wamesema mwenye pesa/anayejiweza kiuchumi,mwenye uwezo wa kuhudumia!!tutafute pesa vijana wa kiume.
 
Ukifuatilia mambo wanayohitaji wanawake kwa wanaume unaweza ukajikuta wana kueliminate kwenye system ya kumiliki warembo! Wengi wao wanaojifanya wanaweka vigezo kama hivyo hujikuta wanachezewa na kuachwa hatimaye kuishia single mother's hali inayopelekea kulegeza masharti.....Ewe mwanaume ulie na akili timamu usikubali kuendeshwa na akili za wanawake, kwani utajikuta unatolewa kizembe kwenye competition ya kunasa saini za watoto wazuri.
 
We women tunatofautana interets zetu kwa wanaume zetu na kila mwanamke anadesign yake ya mwanaume anaemuelewa zaidi ambae mwanaume uyo ukienda kwa mwanamke mwingne atakwambua hapana sijamuelewa so we are very very tofauti
hat yakwako tunaitaka
 
Kama kichwa kinavojieleza,
Mdada ni ipi sifa kuu na muhimu zaidi kwako ambayo ukimkuta mwanaume mwenye sifa hiyo basi huta hangaika kutafuta mwingine.

Usiweke sifa zaidi ya moja kwasababu hapa tunataka moja ambayo wewe unahisi ni ya muhimu kuliko zote kwa mtu umtakae.

Karibuni.
Pesa pesa pesa mkuu
 
Back
Top Bottom