Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae

Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae


Muliza swalii hawaelewi hao ndiyo maana wanapata shida Sana kwenye ndoa au mahusiano ndiyo maana mahusiano mengi yanavunjika mara ndoa Zina kua ndoano vurugu si vuruguu?
Nawapongeza Sana wanaume kwa sabababu ni wavumilivu na jasiri. Mwanaume ana naweza Kuishi na Mwanamke ambaye Hana kazi anakaa tuu nyumbani kwa Miaka mi5
Lakini Mwanamke Kuishi na Mwanaume ambaye Hana pesa au kazi ni siku 5
Mwanaume ndie mwenye jukumu la kumtunza mkewe.
 
Uuuuwi, Raimundo unaskia hii? Lakini afadhali ya bangi asee, aliyekufundisha pombe ndiyo nina hasira nae balaa, amekuharibu mdogowangu unamea YAMAZAKI kama unakunya castle lite! Hasara
Pombe ni wewe ulinifundisha kunywa.
 
Back
Top Bottom