Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Umezaliwa umezikuta unatumia utaziacha na msiba wako hela zitatumika - sir Andy chande FREEMASON CHAIR MAN.
Dah, huyo Mzee alikuwa rafiki yake sana mshua.

Ukitaka mtoto aingie sijui Shaaban Robert au Mzizima, huyo simu moja tu anamaliza mchezo.
 
Heloo,

Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!

Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.

Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.

Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.

Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.

Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.

Ni mwendo wa kukomaaa!
Hahahahahahaaaa
 
Dah, huyo Mzee alikuwa rafiki yake sana mshua.

Ukitaka mtoto aingie sijui Shaaban Robert au Mzizima, huyo simu moja tu anamaliza mchezo.
Nadhani alikuwa ana nafasi fulani kwenye bodi ya wadhamini wa shule [or something like that].

Kwenye mikutano muhimu ya shule na wazazi alikuwa hakosi.
 
Pambaneni wenyewe mie sio mdada.
Na kisheria mwanaume ndo anatakiwa akugande, akutake wewe uwe mke wake sasa naona nyie mnataka kuvunja hiyo sheria. Mimi simo
Demi today's World is not the way you Guess or think Just change your mind set and you will simply your life but whether you like or not man will dominate and nothing we can do to change that so by saying so when you happen to have someone in life at least a good one just stuck on him
 
Back
Top Bottom