Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,520
- 94,677
Nadhani wewe ndo unaishi kizamani my dear, dunia ya sasa haipo hivyo unavyowaza. Mawazo yako ni kama ya bibi zetu wa mwaka 1922. Naamini hata binti yangu wa kizazi cha sasa hana mawazo kama ya kwako.Demi today's World is not the way you Guess or think Just change your mind set and you will simply your life but whether you like or not man will dominate and nothing we can do to change that so by saying so when you happen to have someone in life at least a good one just stuck on him
Baada ya miaka 10 hutaongea hiki unachoongea sasa hivi.
Kila la kheri kwenye kuwaganda hawa viumbe...nipo nimekaa paleeeee 👉👉




