uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,703
- 37,939
umetukosea sana we dada....
Amesema kuna machizi kawaona na mimba, hizo mimba si za kwetu wa zee? Ajatukosea.
umetukosea sana we dada....
@Cute Wife ukaniloge kabisa sasa nisione mwingine Zaid yakoHeloo.
Hope you are doing poaa!
Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!
Ni hivi:Zama za kususa kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina!! Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu
Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki Tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi Titi utaganda! Wewe ongeeni Kama ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.
Ipo hivi Hawa wenzetu Kama hamjui wao kulala hata na Chizi kwao ni sawa Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani?? Ni Hawa Hawa akina Mshana..so Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee Bahati uliyopata ebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu Kama mhe.fulani mrembo unajua why? Maana hakuna asiyependa kuitwa mama Sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.
Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo
Ni mwendo wa kukomaaa!!!
💯🤝Ni hivi:Zama za kususa kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina!! Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu
💯🤝Maana hakuna asiyependa kuitwa mama Sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.
Waambie kabisa wakiwa singo maza ndio wanalika zaidi maana wanatapatapa hawajui nani atamuoa.ebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani
💯🤝Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo
Ni mwendo wa kukomaaa!!!
Unataka ulee bao la Vunja Bei sio?Ama mhe fulani akaamua kuzaa Ni jokate. Mtu anipe namba yake Nimsitiri jamani ama mnasemaje waajukwaa
Halafu wewe... malizia kauli yakoWanawake bana
Wamefanyeje? Tulia wenzako wanafundwa hapaWanawake bana
Niishie tu hapo rafiki yangu😅😅Halafu wewe... malizia kauli yako
Ungetia neno ungetusaidia sanaNiishie tu hapo rafiki yangu😅😅
Tena kamtaja Mshana Jrumetukosea sana we dada....
Natulia, niache kiherehere maana hayanihusuWamefanyeje? Tulia wenzako wanafundwa hapa
Nakuja hapo ulipo tukae woteNipo pale
Kwani hao machizi hawawezi kupewa mimba na machizi wenzao? una uhakika gani kua wamepewa mimba na watu timamu?Ipo hivi Hawa wenzetu Kama hamjui wao kulala hata na Chizi kwao ni sawa Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani??
Hapana kwa kweliUngetia neno ungetusaidia sana
Yeah hapa tunadeal na hawa hawajaolewa wasije wakachina mitaani huko na vitoto kila kitoto na baba yakeNatulia, niache kiherehere maana hayanihusu
MYOBNatulia, niache kiherehere maana hayanihusu