Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Not specifically wewe, but wanawake kwa ujumla. Na ndiyo maana nimetumia uwingi kwenye kusemaUliwahi kunisikia?
Not specifically wewe, but wanawake kwa ujumla. Na ndiyo maana nimetumia uwingi kwenye kusemaUliwahi kunisikia?
Labda wanawake kama huyu mtoa mada wa kuwaganda wanaume😅😅Not specifically wewe, but wanawake kwa ujumla. Na ndiyo maana nimetumia uwingi kwenye kusema
Ila usipotuganda ukiwa bado kigori, ukishaingia 40 and above HATUGANDIKI UJUWE..!! Mishangazi ni ya kuipelekea moto na kusepa tu..!!Labda wanawake kama huyu mtoa mada wa kuwaganda wanaume😅😅
Sijawahi kumganda mwanaume kwenye usichana wangu na walikuwepo wa kutosha unajiamulia tu uwe nae yupi.Ila usipotuganda ukiwa bado kigori, ukishaingia 40 and above HATUGANDIKI UJUWE..!! Mishangazi ni ya kuipelekea moto na kusepa tu..!!
kuna mishangazi mizuri mdogo wangu hufui dafuMishangazi ni ya kuipelekea moto na kusepa tu..!!
Sanaumetukosea sana we dada....
Sijawahi kumganda mwanaume kwenye usichana wangu na walikuwepo wa kutosha unajiamulia tu uwe nae yupi.
Mwanaume anigande na sio mimi nimgande..ipo hivyo na inapendeza kuwa hivyo.
Labda kwa kibomba, test tubes, matango na kusagana etc..!!So bila mwanaume huwezi ishi?
Sasa anayeringa uzeeni ana matatizo. Mdada binti ugande mwanaume ili iweje? Mgande anayekugandaSasa kama Mwanamke keshazeeka unategemea mwanaume kweli amgande?
Hujui wanaume wewe.
Maringo ya Mwanamke ni akiwa below 25 Baada ya hapo yeye ndiye akazane.
Inashauriwa Binti akiwa bado kigoli hata aringe vipi ajitahidi awe na Mume wake maana Baada ya miaka 25 quality yake inapungua hivyo hakuna atakayekuwa na muda naye wa kumganda.
Hata kama akinyanyaswa?Sasa kama Mwanamke keshazeeka unategemea mwanaume kweli amgande?
Hujui wanaume wewe.
Maringo ya Mwanamke ni akiwa below 25 Baada ya hapo yeye ndiye akazane.
Inashauriwa Binti akiwa bado kigoli hata aringe vipi ajitahidi awe na Mume wake maana Baada ya miaka 25 quality yake inapungua hivyo hakuna atakayekuwa na muda naye wa kumganda.
Umeamua kumganda yupi kati ya hao?
Nani aanze kumganda mwenzie? And why?Sasa anayeringa uzeeni ana matatizo. Mdada binti ugande mwanaume ili iweje? Mgande anayekuganda
Hivyo vyote ulivyoandika vinaridhisha balaa ..Labda kwa kibomba, test tubes, matango na kusagana etc..!!
Mwanaume ndo amgande mwanamke anayempenda. Na binti nae agandane nae kama anamkubali.Nani aanze kumganda mwenzie? And why?
We suzie _barbie weweee..!!! Ushatumia vyote?Hivyo vyote ulivyoandika vinaridhisha balaa ..
NakaziaHivyo vyote ulivyoandika vinaridhisha balaa ..
To yeye embu njoo huku useme neno hapa..!!Mwanaume ndo amgande mwanamke anayempenda. Na binti nae agandane nae kama anamkubali.
Mwanaume ndo mwanzilishi wa mahusiano...ipo hivyo