bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,345
- 25,301
Wenye akili labda na Sio wanaotumia hisiaSio wote
Wenye akili labda na Sio wanaotumia hisiaSio wote
ExactlyNaona hakuelewa andiko hata mkikutana kanisani kesho mnafunga ndoa hakuna courtship
Sijui To yeye ana lipi.Heloo,
Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!
Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.
Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.
Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.
Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.
Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.
Ni mwendo wa kukomaaa!
Tofauti ya mpenzi aliyekuzalisha tayari na mume ambaye bado hujazaa naye mtoto ni ipi?ni mume ndio unaweza kumganda msonge mbele lakini mpenzi ambae ni kama daladala muda wowote unashuka anapanda mwengine hapana,
Ndo mnavyosemagaNajitoa jamani.
Sipo level za wanawake wanaoongelewa hapa. Haitatokea
Nakazia.Ngoja nione kwanza To yeye na binti kiziwi wana maoni gani kuhusu hili.
Umaarufu una gharama imagine mtu anakutolea mfano kama huo.Tena kamtaja Mshana Jr
Kwani JF si ni 24/7 jamani..!!??? Tena kuna thread kabisa ya JF usiku wa manane..!! SIoni cha hatari hapo kwa yeye kuandika saa 8 usikuSawa lakini ndyo utuandikie saa nane usiku yalikukuta yapi mwenzetu
Mwambie Mshana aliyetajwa akurogee hiyo mtukhaaaaaaaa!!! Jamani
Let them reap wht they sowHii Inaumiza Sana huwa naonaga Sana Single mother mitaani wanavyoteseka kupambana maskini mtoto wake akikosea kidogo tu vya kawaida mtoto atapigwa kipigo Cha mbwa Koko simply because she hate the fact the man dumped her..hey guys let us be serious on a serious note
Kula tamu yake mzeiya upewe nini tena mkuu? Wake za watu huwa hawana gharama bwanake wa kumtunza yupo wewe ni kuichakata tuNi mke wa mtu, nae ameanza kuniganda.
mi simtumiagi sms hata siku 1. nikimhitaji napiga simu, sitaki ushahidi
nae kajitahidi kuniganda ganda😄😄View attachment 2678075
Sema huyo Kama namuelewa pamoja na kairukiMbona wapo waheshiwa wengi tu sio huyo
Uliwahi kunisikia?Ndo mnavyosemaga
Unaipinga kivipi? Waoaji wamegoma kuoa, unamganda unaishia kuwa single mazaIla hiyo kampeni ya Kataa ndoa ni ya kuipinga kabisa Kataa ndoa alikuwa na maana gani jamani Je familia Bora zitatokea wapi
Pambaneni wenyewe mie sio mdada.Demi weeeeee
Sahihi kabisa .Unaipinga kivipi? Waoaji wamegoma kuoa, unamganda unaishia kuwa single maza