Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Sijui kama nitakuwa nimekuelewa vizuri lkn nadhani unaongelea kwamba ukipata mwanaume anayeeleweka umgande,right;, lakini nafikiri ungetumia neno"Muombee asibadilike" My dia kumganda mtu sio sababu ya yeye kuacha,lahasha,kama Hana mapenzi na ww hata umgande vipi ataondoka tu.


Tuna mifano halisi ya watu tuliowaganda pamoja na kuwa na madhaifu yao tuliyafukia tukawa tunaangalia mema tu,yani hata akosee vipi unaendelea kumpenda na kumganda tu,lkn mwisho wa siku anakutaftia sababu ambayo,wewe mwenyewe utanyoosha mikono useme yes,nimesarender.


Tusichokijua ni kwamba Hawa ndugu zetu wanaume,baadhi yao wakiona wanapendewa na kugandwa sana wanakudharau,sio wote lkn there are some men are very humbled,yani ukimpenda anajua kurudisha shukrani,ila mwingine ukimganda ndo umeula wa Chuya.

So jambo la msingi hapa ni kwamba endapo utapata mwanaume anayeeleweka,na mwenye mapungufu ambayo it can be solved,Muombee asibadilike,lkn kumganda mtu haisound na inategemea kuwa huyo mtu ana mapenzi kwako kiasi gani,kama anakupenda hata usipomganda ataendelea kukupenda tu,nakama hakupendi hata umgande vipi,ataondoka tu,I'm done
Msome kwanza kama yeye ni Kunguru au Njiwa kabla hujaamua kumfuga(kumganda).
 
Nadhani wewe ndo unaishi kizamani my dear, dunia ya sasa haipo hivyo unavyowaza. Mawazo yako ni kama ya bibi zetu wa mwaka 1922. Naamini hata binti yangu wa kizazi cha sasa hana mawazo kama ya kwako.
Baada ya miaka 10 hutaongea hiki unachoongea sasa hivi.

Kila la kheri kwenye kuwaganda hawa viumbe...nipo nimekaa paleeeee 👉👉
Huyu wa sayari Gani jamani?
 
Hana kitu huyo! we hujui tu mwaka wa 22 hana nauli ya kurudi bongo,we endelea kudanganyikawe Bora umgande shemeji yangu Countrywide atakupeleka hata Ngorongoro ukaone tembo huyo Kiranga ana miliki maneno tu

khaaaaaaaaaaa!!!!

Sister usinambie, nitapaliwa na chai mwenzio
Eti nauli ya kurudi hana

Lakini sio mimi ni wa coca huyo, mimi nilikua nakazia km shemeji tu

Sasa na sisi si tutakuwa km Gigy tutakosa nauli za kurudi bongo
 
khaaaaaaaaaaa!!!!

Sister usinambie, nitapaliwa na chai mwenzio
Eti nauli ya kurudi hana

Lakini sio mimi ni wa coca huyo, mimi nilikua nakazia km shemeji tu

Sasa na sisi si tutakuwa km Gigy tutakosa nauli za kurudi bongo
Yaani coca ndio kajiweka hapo ?hakika ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu!we jifanye tu unamsindikiza huyo udugu wako mtajua hamjui huko ughaibuni!yatawahusu ya Gigy🤣🤣🤣🤣 cocastic mlongo wa Nene,mwe bambo yule umganila ki?ailepe na kindu yola.....Usije sema sikukwambia
 
Yaani coca ndio kajiweka hapo ?hakika ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu!we jifanye tu unamsindikiza huyo udugu wako mtajua hamjui huko ughaibuni!yatawahusu ya Gigy cocastic mlongo wa Nene,mwe bambo yule umganila ki?ailepe na kindu yola.....Usije sema sikukwambia

Ndio ninachokupendea dada mkubwa huna kona kona

Udugu cocastic njoo uchukue file la shem wa USA kutoka kwa dada, usije kujichanganya etiii

Kwakweli ngoja nikitulize na passport niirudishe nisubiri baby wangu Kantri anipeleke Dubai holiday au Sanya juu nikalishe majani twiga
 
Heloo,

Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!

Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.

Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.

Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.

Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.

Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.

Ni mwendo wa kukomaaa!
Asante sana kwa ujumbe huu kwa wenzetu hawa!
Kuna mtu natamani angesoma uzi huu ila hana interest na mitandao.
 
Mnazitamani sana ndoa mkizipata tu mnaanza Kasi ya kuzibomoa, wanawake wa Kikristo ndio hovyo kabisa Bora uishi nao uchumba sugu hawajui kabisa Nini maana ya ndoa,wakishazichezea uenda kulia Lia hovyo kwa mtume wao kukanyagishwa mafuta ya urejesho.Hovyo kabisa.
Wa kiislam angalau sababu wanaishi Kama mpangaji.
Kuna muda naona kama ndoa ya kikristo ni utumwa mwingine ambao umehalalishwa.
 
Well said Demi,
No wonder ndoa nyingi za siku hizi ni migogoro mitupu hayo mambo ya kumganda mtu hata hakupendi unaolewa nae hisia na moyo wake kaacha kwingine,kifuatacho hapo ni dharau,vipigo,kudhalilishwa na kila aina ya tafran.
HIvi unamgandaje mtu asiyetaka, woi hiyo inipite
 
khaaaaaaaaaaa!!!!

Sister usinambie, nitapaliwa na chai mwenzio
Eti nauli ya kurudi hana

Lakini sio mimi ni wa coca huyo, mimi nilikua nakazia km shemeji tu

Sasa na sisi si tutakuwa km Gigy tutakosa nauli za kurudi bongo
nasemajee huyo baba ana helaa balaa, anaweza kuinunua JF yote pamoja na mello na moderators wake.
 
Yaani coca ndio kajiweka hapo ?hakika ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu!we jifanye tu unamsindikiza huyo udugu wako mtajua hamjui huko ughaibuni!yatawahusu ya Gigy cocastic mlongo wa Nene,mwe bambo yule umganila ki?ailepe na kindu yola.....Usije sema sikukwambia
Mlongo nileka na lidoda langu leniliii, lina hela, koto kumkinilaa wengaaa, au ve ugani lepa tuhamba kwe ku marekano??uwaya kukwela mndege?? Apu hinu pe paunijovili niyeliwi he.

 
Back
Top Bottom