Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Nimewaona hata humu wamekuja oooh unaongea Ya wazer wa zamani.Ngoja wawe wanabadirisha waume mpaka wakome
Unamaanisha nini kubadilisha wanaume? So you want to settle for a rubbish kisa unaogopa uliwapa wangapi moyo wako, is it a crime kubadili mwanaume, what's about wengi wanaokuja kwa fake promise, hakutaki unamganda una akili, si utajikuta unaenda kwa mganga "umdhibiti" mwisho uwe mchawi. Kwani mwanamke hana haki ya kuchagua mwanaume anayeona anafaa, what's the mantiki ya uchumba then? Kwani lazima mfanye matusi, uchumba ni kujuana na ni maamuzi ya mtu kuwa sexual or not na it doesn't have to count nothing, sex or no sex mwanamke naye ana haki ya kuamua mwanaume anamfaa maishani, what does number of potential men has to mean katika kutafuta the right person wa maisha yako? Mwanzo you wrote like you don't care just hold that man sasa you trying to justify post yako, I wish usije kupata binti utamtesa sana kwa hizi ideology za miaka 47, my dear the world is fast changing, change with it as well . Dating ain't the same as mama zetu walivyodate, amka mwanamke jitambue na uthamini utu wako. Nyie ndo wale mpenzi wako anakucheat unahangaika na the other woman badala ya mpenzi wako. Mapenzi ni kupendana bibi we lakini wote mkiwa na uelekeo mmoja siyo mmoja anaenda mashariki mwingine magharibi, akikupenda kweli wala hutapata shida, hiyo ndo kanuni pekee, anakutongoza, unaona anafaa mnapeana muda wa kufahamiana, kama mnaendana basi you plan for the next step together, siyo kwa kushikana mashati. Kemea kabisa ujinga huo. Key point, you should know the man vizuri before ufanye maamuzi kama anakufaa kuwa mume au la, hii ikiwa ni pamoja na kujua kama anakupenda, uchumba ni wakati wa kufahamiana na kufanya maamuzi kama kuwe na ndoa au la. Mwanamke hatakiwi kuolewa tu kisa mwanaume alikutaka ukakubali sasa ishakuwa nongwa lazima ndoa.
 
Hili suala la eti ukimganda Kama Hana hisia mnatoa wapi? Anaweza kukuua kivipi? Au Mimi sielewi jamani hivi mpaka watu wanaanza mahusiano na kushika Kasi huwa ni Nini kimetokea mpaka muwaze hayo? Kuua ni Hila za shetwani ingekuwa hivyo hata Ile ya mwanza mume na mke kuuana isingetokea mauaji Kuna wakati sababu ni nyingine kabisa.
Dia mwanzo ni matamanio tu wanaume wanayafanya kwa wanawake. Falling in love ni different story 8t might take years. Ndo maana mwanamke you shouldn't be quick to generalize, usipende kuvua nguo mapema, asiyekupenda wala hatapoteza muda wake kusubiri, shida yetu wanawake tunataka mwanaume aseme amekupenda right away, hawapendi kirahisi hivyo, badala yake nawe tumia muda huo kumsoma, no papuchi mpaka ufikie mahali uone huyu asingekaa muda wote huu bila game, na usiruhusu nafsi yako iweke emotional connection zitakupotezea uhalisia wa mambo yalivyo kati yenu maana wanajua kuzitumia weakness hizo, na wala usimpe hope ya game unless nawe unataka, let him stay akijua hakuna uwezekano mbona wanaondokaga tu, ila msiwe wepesi kuwaomba hela mtazilipia nawaambia ,huyo siyo baba yako atoe hela bure.
 
Point hapa huwa siielewagwi kumganda mtu anakuwa hakupendi?? Au tuna maana Ile Hali ya uvumilivi maana nakataa Ile kila mtu unazila unaanza upya kwa mwaka mahusiano Kama ,6 why tho
Tukubali au tukatae mapenzi ni game ambayo inataka investment ya muda na hisia. Ukikwepa haya mawili utakuwa kila siku unatafta uhusiano mpya sababu we aren't perfect. Unapitia mahusiano kadhaa ili kujifunza but not expecting to get the perfect guy. Kinachoponza wadada wengi sikuhizi hawataki kuinvest time kumjua mtu. Huwezi mjua mtu kama hujatulia nae kwenye mahusiano.
 
Kuna wadada wanaganda sana alafu unakuta kabisa sio wife material ila anakuganda mpaka unajutia kumtongoza hakika na waambieni..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ni kumuelekeza tu kwamba huoni kama mtafikia lengo kutokana na 123...So usingependa aumie na kupotezeana muda zaidi.
 
Haya subirini hao wa kushushwa toka mbinguni.Wanapendana ndo Mana wapo . Haya ya kusema hapendwi. I dhana ya kuendekeza uhuni Sasa Kama A hukumpenda why usiende kwa B toka mwanzo ili huyu A asikugande? Ladies ni kuganda tu
Una uwezo mdogo sana kufikiri dear sister.
 
Point hapa huwa siielewagwi kumganda mtu anakuwa hakupendi?? Au tuna maana Ile Hali ya uvumilivi maana nakataa Ile kila mtu unazila unaanza upya kwa mwaka mahusiano Kama ,6 why tho
Personally,siwezi kukaa kwenye toxecated relationship ever!call me whatever u like lakini siwezi kuishi na mtu asiyenitaka.....Mapenzi ni maelewano,Mapenzi furaha, changamoto ziwepo za kawaida sio mtu keshamove on we umekomaa tu hapana tu Kwa kweli
 
Siwezi kukubadirisha msimamo Ila kwenye maandishi yako nimeso.a kitu Cha zaidi.Umetendwa na Unadhani ni wote.Hapana you need a man I your life.
Aiseee🤣🤣🤣🤣
Basi sawa mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom