Wajumbe njoeni huku kuna bomu.Ila hiyo kampeni ya Kataa ndoa ni ya kuipinga kabisa Kataa ndoa alikuwa na maana gani jamani Je familia Bora zitatokea wapi
Heloo,
Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!
Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.
Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.
Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.
Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.
Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.
Ni mwendo wa kukomaaa!
NAKAZIAKataa ndoa
Ww umeliwa bana kwani kuna ubaya ukisemaJamanii sio Mshana huyu
Hii ndo Nia yangu wote mpaka kielewekeDada upo sawa kabisa.
Wanawake acheni wivu wakijinga
Mwanaume ni wa wote, Ila tunampenda mmoja.
Na huyo mmoja akiniganda vizuri lazima ntatulia tu.
Pongezi ziende kwake mama Chanja,
Alinipambania bila kuchoka.
Leo naitwa baba bora
@Cute Wife ukaniloge kabisa sasa nisione mwingine Zaid yako

khaaaaaaaa!!! JamaniShuhuda ni nyingi Sana oooh nilichukuliwa mume au mchumba na rafiki au na house girl au na binamu lkn ukichunguza Kuna upenyo huyu Dada aliachia wewe Ndugu mdada pambania mahusiano Ganda kwenye mahusiano ng'ang'ania mahusiano ndo Siri ilipoYaani inasikitisha sana. Wewe Flowers ni jambo la kumshukuru MUNGU umeyajua haya.
Tunaangalia mileage hao age goo pussy isharide sana de libolos acha ile pensheniMsiwafanyie hivyo wanawake age goo au mnataka tu Machidren( haaa haaa)
Well said. Kumbe mmeshagundua kuwa mkizingua tunawasubiria tuu pale mnapotaka watoto tunawajaza na kuwaacha kama masingle mamaHeloo,
Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!
Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.
Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.
Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.
Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.
Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.
Ni mwendo wa kukomaaa!
Duuuu Aaaah sawaMimi sipo serious hata na mimi mwenyewe, seuze yeye
Nikiamua kuwa serious nitaona "logical non sequitur" logical fallacy katika kila kitu unachosema, na kuorodhesha contradictions zote kwenye Biblia, Quran na katiba zote za dunia, sifikiri kama utapenda.
Mheshimiwa DC kaamua azae tu aitwe angalau mamaAiseee