Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,520
- 94,681
Kichekesho hikiNdio natafuta pisi moja niiweke ndani tupike na kupakua
Kichekesho hikiNdio natafuta pisi moja niiweke ndani tupike na kupakua
Sio sisi sote,Amesema kuna machizi kawaona na mimba, hizo mimbe si za kwetu wa zee? Ajayukosea.
Jamani hata sijawahi muona After all sikumaanisha huyu Mshana wenu wa humu wapo kitaa.Kama kutumia jina lake I'm sorry ni sawa ningetaja JohnKashaliwa huyo. Hii id nina mashaka nayo sana lakini
Mshana simpatii picha akiwa anambamiza bamiza kitandani kama mpira wa chandimu.
Asee jf tamu sana.
Hao kataa ndoa wote hawajapata wale wadada majasusi wanaojua formula zote za kuganda hata above freezing point.Wapambane kuwaganda waolewe, wanaume wenyewe ndo hawa kataa ndoa
Soma Tena mwanzo wa mume ni Nini Sasa Kama unaachana kirahisi rahisi na wachumba kwa visababu vidogo mume unampataje maana hata mume mtashindwana in short mahusiano ya mume au mchumba ni kuchukuliana.Madhaifu ni mengi ndo ubinadamuni mume ndio unaweza kumganda msonge mbele lakini mpenzi ambae ni kama daladala muda wowote unashuka anapanda mwengine hapana,
Yaani inasikitisha sana. Wewe Flowers ni jambo la kumshukuru MUNGU umeyajua haya.Halafu yakiwakuta wanaanza kukesha kwa MWAMPOSA na kwa waganga
Hii Inaumiza Sana huwa naonaga Sana Single mother mitaani wanavyoteseka kupambana maskini mtoto wake akikosea kidogo tu vya kawaida mtoto atapigwa kipigo Cha mbwa Koko simply because she hate the fact the man dumped her..hey guys let us be serious on a serious noteWaambie kabisa wakiwa singo maza ndio wanalika zaidi maana wanatapatapa hawajui nani atamuoa.
Wanatupeaga yote wakijua tutawasitiri kwa ndoa af kidume kinasepa